Mheshimiwa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hongera Kwa kazi kubwa unayowafanyia wakazi wa Dar.
Naomba upitie barabara kutokea Magomeni inayopita Tandale Ili iunganishe na...
Nashindwa kuelewa kama TANESCO ni shirika linalosimamia maslahi ya umma, nini maana ya kutoa ahadi feki kila siku?
Kwa masikitiko makubwa sana, shirika hili limegeuza kile kinachoitwa 'Mgawo wa...
LATRA tunaomba mtuokoe na huu wizi wa mchana kweupe akitokea dalali akakuelekeza kwenye basi ujue utalipa nauli zaidi ya nauli halali. Hebu fichueni makucha yenu tuone faida ya uwepo wenu maana...
Mimi ni Afisa Afya, katika moja ya majukumu yangu ya kutoa chanjo, nimebahatika kufika katika moja ya kijiji ndani ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita, mbacho kinaitwa Kamengo.
Nilipofika hapo...
Mimi ni mkazi wa Mkoani Tabora, niweke wazi kuwa huku ketu hakuna sukari, maana nimezunguka maduka mengi bila mafanikio, nimekuja kuipata lakini nikashindwa kuinunua kutokana na bei kuwa juu.
Bei...
Huku Tabata kisukulu (Luhanga mpaka maeneo ya kwa mkuwa), tangu wiki ya kwanza ya January 2024 mpaka leo February 26 hatuna maji.
Serikali za mitaa wanasema wamepeleka taarifa Dawasa lakini...
Kumekuwa na changamoto ya mazingira ya chakula hasa katika hizi Shule za Serikali zinazowaweka Wanafunzi bwenini.
Mara kadhaa Wanafunzi wamekuwa wakilalamikia uhaba wa chakula lakini suala hili...
Tunaomba Mtufikishie malalamiko haya Ngazi za Juu
Habari wahusika wa Mtandao wangu pendwa wa Jamii Forums,
Kuna shida Mwanza katika Chuo kikuu cha SAUT ambacho ni takribani miezi minne sasa...
Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo.
Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na...
Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana
Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu...
Wapendwa wadau habarini,
Mkoa wa Mwanza na viunga vyake (Nyamagana) kumekua na ukosefu mkubwa wa maji unaopelekea watu kuhangaingaika Kila kukicha.
Serekari ilitamka December mradi mkubwa wa...
Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho.
Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo...
Chuo cha uhasibu Arusha (IAA) kimekuwa na gharama kubwa ya malipo ya Ada kulinganisha na vyuo vingine vya serikali pia mlipaji hapewe mchanganuo wa malipo hayo ya Ada.
Kiasi kilicho pelekea...
Sisi Watumishi wa Serikali ajira mpya ambao tulijiriwa mwezi wa Agosti, 2023 katika Sekta ya Afya, tunachangamoto ya kutolipwa pesa ya kujikimu tangu tulipo ajiriwa na kila tukifatilia tunapewa...
Habari ndugu wazazi wenzangu!
Jana nilifanikiwa kuhudhuria kikao cha wazazi pale ugindoni primary iliyopi kigamboni!
Kikao kiliitishwa na maafisa wafuatao kutoka manispaa;
1. Afisa Maendeleo ya...
Katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoa wa Lindi kuna mbu wengi kuliko kawaida.
Cha kushangaza hata ukiwauliza manesi wanasema wamezoea sasa najiuliza pale ni hospitali unapeleka mgonjwa na...
Tumekuwa tukiwalalamikia mara kwa mara hawa mamlaka ya maji sengerema kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wananchi wao
Mbunge pamoja na wananchi wamepiga kelele weee mpaka wamechoka lakin...
Katika kulalamikiwa maji safi hayapatikani na maji Taka nayo yamewashinda kabisa. Huku Sinza Mapambano kua maji machafu yana Miezi minne sasa yanamwagika tu.
Wachangamshe vichwa jamani sio...
Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es...
Kuna jopo la watu limezagaa Dar es Salaam wanaovaa uniform za shati jeupe na suruali nyeusi wanaokamata magari kwa madai ya wrong parking.
Natumia neno kwa madai kwa sababu ni kama wanaotengeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.