KERO Threads

Anonymous
KERO
Ukiomba kupata huduma ya kuunganishiwa maji DAWASCO Kibaha, uwe umejiandaa kifedha. Zoezi linaanza kumpata surveyor, bila elfu hamsini hatafika site. Ukishatoa hiyo hela na surveyor akapima...
1 Reactions
6 Replies
556 Views
Anonymous
KERO
Chuo Kikuu cha Iringa kina ubabaishaji, hawajali afya za Wateja wao (Wanafunzi) haiwezekani mwanafunzi kafanya usajili kuanzia Novemba mpaka Desemba, lakini bima yake haijawa activated. Mnufaika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nainaishi tegetar maguzo. Kuna jirani anafungulia maji taka, inavyoelekea choo kimejaa hivyo mvua zinaponyesha hutukua fursa hiyo kuflash choo. Sikukaa kimya nikamueleza adha inayonikumba...
5 Reactions
17 Replies
799 Views
Anonymous
KERO
Kutoka Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Kata ya Kiseke, Mtaa wa Nyabusaru kuna hii kero ya Kodi ya Jengo, mwanzo Serikali ili tangaza kuwa kama unamiliki Mita Mbili za umeme au zaidi ya hapo ndani ya...
3 Reactions
2 Replies
331 Views
Anonymous
KERO
Kuna tabia imeibuka au yawezekana ipo kwa muda mrefu, nasema hivyo kwa kuwa sikuwahi kuelewa kuhusu hilo siku za nyuma lakini baada ya hili nitakalozungumza hapa kutokea nikishuhudia, nimepata...
0 Reactions
4 Replies
565 Views
Anonymous
KERO
Sinza palestina mtaa wa mpangala -bar inaitwa mwanzo pub ipo katikati ya makazi ya watu inapiga mziki mpaka asubuhi Anadai yeye ni kigogo vituo vya polisi vya jirani urafiki na mabatini wanambeba...
0 Reactions
2 Replies
277 Views
Anonymous
KERO
Wananchi wa mtaa King'azi Kata ya Kwembe pamoja na maeneo kadhaa ya Kifuru hatuna maji tangu Januari. Tunateseka nina vipele mwili mzima kwa kuoga maji ya visima
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Shirika la ATCL linapoelekea linapoteza muelekeo kabisa...sasa hivi tupo Mwanza international airport tunasuburi ndege tangu saa tano na nusu usiku, na mpaka sasa hivi wanatuambia kuwa tutaondoka...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero. Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa. Kila bomba ukichota...
4 Reactions
22 Replies
733 Views
Kama ulikuwa hujui hilo basi sasa anza kuchukua tahadhari mapema. Ama usipande kabisa hilo basi au ukipanda huku ukikaa kwa tahadhari kubwa sana, maana utingo wa basi ndio mastermind. Kampuni ya...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Mbagala na Chamanz Dar es salaam kumekuwa na umeme wa mgao usio na kipimo siku ya TATU sasa umeme Changamoto. Hii nchi tatizo la umeme hautoisha wapigaji ni wengi.
0 Reactions
2 Replies
321 Views
Habarin wadau, Naomba mwenye uelewa anijuze nawezaje kupata haki yangu, Tarehe 04 -03-2024 nilitumia Airtel Money kufanya muamala wa TZS 150,000 kwenda tigopesa hiyo pesa kwangu ilitoka lakin...
2 Reactions
2 Replies
466 Views
Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana. Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote...
13 Reactions
101 Replies
5K Views
Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Anonymous
KERO
Habari, Utaratibu wa Makondakta katika stend kuu ya Nyegezi si mzuri hata kidogo. Makonda wanawavamia abiria hivyo kupelekea kupoteza baadhi ya vitu kama simu NK. Asubuhi nimeshuhudia abiria...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Anonymous
KERO
Samahani kwa sisi Wakazi wa Dodoma sehemu moja wanaita Ipagala B shule ya msingi kuna adha ya kujaa maji hasa kwa kipindi hichi cha mvua. Kuna kipindi maji yalijaa mengi sana yakaingia mpaka...
2 Reactions
6 Replies
480 Views
Ni wiki ya tatu Sasa nafatilia zoezi la upigaji picha katika ofisi ya nida temeke ili nipate kitambulisho lakin hakuna sijafanikiwa kupiga picha. Ofisi hakuna watumishi badala yake askari watatu...
4 Reactions
9 Replies
892 Views
Anonymous
KERO
Habari JF, Ni wiki na zaidi sasa maji yamekuwa yakitoka machafu hivi na wakati mwingine huwa machafu zaidi na yenye harufu mbaya. Niliuliza kwa mjumbe maana ni jirani yangu kama anakutana na...
0 Reactions
6 Replies
793 Views
Hizi namba za 3D imekuwa Ghafla sana kung'olewa, na Jeshi la polisi limesimama imara katika Hili, Ombi langu kwa Jeshi la Polisi ni hili:- Namba za Ajabu Mtaani huku kuna namba nyingi ambazo sio...
0 Reactions
4 Replies
527 Views
Kwa hali ya kusikitisha maeneo mengi sana ya Tabata yamekumbwa na tatizo la maji, ni zaidi ya mwaka lakini DAWASA imekuwa ikitoa majibu yaleyale kwamba watu wawe wavumilivu huduma itarejea. Wito...
1 Reactions
6 Replies
462 Views
Back
Top Bottom