KERO Threads

Anonymous
KERO
Shule ya sekondari BUJINGA iko Tukuyu mkoa wa Mbeya wazazi tumeambiwa tuanze kuchangia sh. 60000/= kwaajili ya kambi kidato cha nne.. Hii ililetwa kama agenda ktk kikao kilichoitishwa na walimu...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Nimeshangazwa leo nilipokwenda jengo Millennium Tower 2, kwa ajili ya suala la kiofisi, mjengo ambao unamilikiwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Watumishi wa Umma (PSSSF) nimekuta lifti tano...
5 Reactions
7 Replies
952 Views
Juzi niliamua kuingia soko la mitumba Karume kwa mara ya kwanza. Kweli ni sehemu nzuri ya kupata nguo nzuri za mitumba. Ila kuna kero moja isiyovumilika kwa watu tunaopenda ustaarabu. Kila...
17 Reactions
87 Replies
3K Views
Wakazi wa Tegeta A (maarufu kwa Bedui) tuna kero ya Barabara, huu ni mwezi wa tano sasa unaelekea wa sita, barabara ni mbovu na inatuumiza Watumiaji. Barabara ninayoizungumzia hapa ni ile ya...
2 Reactions
13 Replies
896 Views
Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya...
2 Reactions
13 Replies
700 Views
Anonymous
KERO
Mimi ni mfanya biashara ya chakula cha mifugo kama pumba na mashudu. Ukinunua mashudu au pumba,ili kusafirisha kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine inatakiwa kuwa na kibali ambacho kinatolewa na...
1 Reactions
0 Replies
315 Views
Ni mchezo mchafu wa wanaotoza hela kwa wanaotaka kuingia Magufuli stendi, ni mara kadhaa kila nikifika pale ukiwa na sh. 500 au 1000 nk watakwambia hawana shilini 100 au 200. Mara nyingi wanafaya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hali ya usafiri wa katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ilivyo asubuhi ya leo Septemba 25, 2023, Mdau anasema hakuna gari za Mwendokasi, foleni ya abiria imefika zaidi ya watu 9,600 Pia...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Mimi ni mkazi wa Kawe - Mzimuni karibu na Shule ya Ali Hassan Mwinyi, kwa muda wa wiki yote hii kama sijakosea ni kuanzia Jumapili (Machi 17, 2024) nimeshuhudia taka zikizagaa mitaani tena...
2 Reactions
7 Replies
545 Views
Anonymous
KERO
Kwa heshima na tadhima naomba JF ujumbe huu uwafie wahusika. Kipindi umeme wa REA unasambazwa, mwaka 2017 aliyekuwa Waziri wa Nishati Menad Kalema alituahidi wana Ipande kwamba umeme utaenda...
0 Reactions
2 Replies
419 Views
Anonymous
KERO
Nawasalimu kwa jina la JMT! Ni imani yangu ujumbe huu utafika kwa wote, na kadhalika utawafikia Walengwa na mara Moja wataacha Tamaa na tabia zisizoridhisha.. Kwanza niwasifu baadhi ya Maafisa...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Anonymous
KERO
Mradi wa maji Ihungo-Bugashani-Nyakato-Burugo - Kahororo manispaa ya Bukoba. Mamlaka ya maji Buwasa wameshindwa kutekeleza ni miaka mitatu sasa wananchi wa maeneo haya wameshindwa kupata huduma...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Hello habari za majukumu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki Ruaha (RUCU) kilichopo Iringa. Kwasasa changamoto ambayo wanafunzi wengi tunaipotia ni ucheleweshwaji wa pesa za...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania. Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo...
1 Reactions
6 Replies
807 Views
Jamani, mimi sielewi kwanini huku Dar maji yanaweza katika kwa muda mrefu bila taarifa. Maji yanakatikaje wiki mpaka wiki mbili bila taarifa? Ni changamoto tofauti kuwa na uhaba wa maji, lakini...
0 Reactions
4 Replies
332 Views
Mmiliki wa haya mabasi kama hii route ya Mwanza-Kahama haikulipi hebu waachie wawekezaji walio serious na biashara na huduma nzuri. Shida kubwa ni kutokujali muda wa abiria, kujaza abiria kupita...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
KERO
Kuna shule ya Msingi inaitwa Gulukakwalala iliyopo Ilala, kabla mtoto hajaingia darasani lazima atoe Tsh. 1,200 ambayo ni Tsh 1,000 ya chakula na Tsh 200 ya uji kila siku, ambapo kama huna hela...
2 Reactions
22 Replies
893 Views
Naomba NEMC aisee muingilie kati. Hawa jamaa wa The Place bar Moshono Arusha wanapiga muziki kwa sauti ya juu sana usiku kucha. Majirani hapa hakuna kulala. Watoto usiku kucha ni kuhangaika nao...
3 Reactions
14 Replies
693 Views
Wanabodi (Kwa sauti ya Paskali Mayalla), Nasikitika sana kuleta kero yangu kwa hawa DAWASA ambao wameamua kutufanyia uhuni sisi wateja wao wapya. Binafsi nililipia kuunganishiwa maji tangu...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Anonymous
KERO
Kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya utitiri wa adhabu za viboko shuleni. Watoto wanaogopa kwenda shuleni kisa adhabu za viboko ni kali na pia namna ya utoaji wa adhabu hiyo umepelekea wanafunzi...
2 Reactions
6 Replies
518 Views
Back
Top Bottom