KERO Threads

Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa Majohe kwa muda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha...
3 Reactions
11 Replies
656 Views
Naomba niwasilishe kero yangu inayonisumbua nikiwa pamoja na wenzangu tupate ufumbuzi. Tunaomba kujua ni lini chuo cha Western Tanganyika kilichopo kigoma itawapa wanafunzi wake waliohitimu chuo...
0 Reactions
2 Replies
447 Views
Barabara ya Kwa Barikiwe - Kinzudi ni kero, najiuliza wasimamizi walisinzia wakati kinamwagwa kifusi cha gadeni tena kipindi hiki cha mvua? Hali ya Barabara Africana njia ya kuanzia kwa "Kwa...
2 Reactions
5 Replies
786 Views
Anonymous
KERO
Wahitimu wa kozi za Afya ngazi ya Diploma nchini zilizopo chini ya Baraza la Elimu na Mafunzo ya Ufundi(NACTVET) tunawasilisha malalamiko kuwa tumemaliza chuo tangu mwezi Septemba 2023 na matokeo...
1 Reactions
5 Replies
788 Views
DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji...
3 Reactions
8 Replies
735 Views
Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala. Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa...
2 Reactions
9 Replies
812 Views
Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa...
0 Reactions
1 Replies
514 Views
Zipo dalili za uwepo wa mgomo na kuhujumu magari ya Mwendokasi DAR. Leo naambiwa hakuna magari huku madereva wakiwa wametelekeza magari ubungo kwa kisingizio cha uchakavu. Waziri mwenye dhamana...
2 Reactions
3 Replies
653 Views
Anonymous
KERO
Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati Arusha ukipeleka malalamiko unataka kukata RB, wanakwambia “Karatasi ya kunukuu maelezo hatuna” kisha wanakupa moja wanakwambia katoe kopi tano ulete na ukanunue na...
4 Reactions
15 Replies
840 Views
Anonymous
KERO
Kwa nini kila kukiwa na Mechi za Simba, Yanga au Azam umeme unakatwa Meatu? Kumekuwa na changamoto ya kukatika kwa umeme bila mpangilio wala utaratibu maalumu Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu. Hali...
1 Reactions
6 Replies
353 Views
Habari wadau, Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo. Mimi ninafanya shuguli zangu nchini...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Huku wilaya ya Rufiji umeme unakatika sana sana,kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara 30 ,sio uongo ni kweli kabisa,wanaoishi huku ni mashahidi Mimi ninaisha Nyamwage hapa lakini hii imekuwa...
0 Reactions
18 Replies
726 Views
Anonymous
KERO
Nina kero tena kubwa hasa, hizi ndege zetu Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) zinazofanya ruti ya kwenda Comoros, yaani ni mfano wa daladala, unakata ticket kwa Shilingi Milioni moja sio mchezo...
4 Reactions
10 Replies
848 Views
Kuna tabia ambayo imekuwepo kwa muda, awali ilianza kama kitu kidogo kwa kufanywa na watu wachache lakini sasa hivi inazidi kuwa kama ndivyo uhalisia. Daladala za kutoka Kawe kwenda Buza (Dar es...
0 Reactions
6 Replies
802 Views
Nazungumzia daladala za Dar es Salaam. Kihistoria mpaka mwaka 1983 hakukuwa na mabasi ya abiria yaliyokuwa yakiitwa ‘daladala.’ Jina hili ‘daladala’ lilianza kutumika mwaka 1983. Mwaka 1983 Dar...
1 Reactions
23 Replies
969 Views
Habari za muda huu wana JF, Licha ya kuwepo kwa mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji katika mkoa wetu huu wa Mbeya lakini maeneo mengi yamekumbwa na ukosefu mkubwa wa maji. Kwakweli hali ni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Anonymous
KERO
Naomba ujumbe huu uwafikie Viongozi wetu wa huku kwetu Goba Matosa Uzaramuni kuna changamoto ya Barabara ya Kawawa (Kawawa Road) imeharibika kwa kiwango kikubwa. Huu ni mwezi wa nne tangu hali...
0 Reactions
7 Replies
722 Views
Anonymous
KERO
Kuna kero kubwa tunaipata Wazazi dhidi ya Shule ya Msingi Nyabulugoya iliyopo Nyegezi Jijini Mwanza, tunaomba tupazie sauti ili wenye nafasi zao wapate ujumbe huu. Kila Jumamosi Wanafunzi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Anonymous
KERO
Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza. Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Anonymous
KERO
VYOO Katika Shule ya Msingi Rubale iliyopo kijiji Businde Kata Businde Wilaya ya Kyerwa Mkoani kagera vimekataa na kujaa kitu kinachofanya wanafunzi kukusaidia vichakani wazazi wamechagishwa hela...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Back
Top Bottom