Habari wanajamvi,
Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi.
Naona...
Ndugu zangu wana JamiiForums huko kwenu Hali ya umeme ikoje baada ya mvua?
Huku kwetu tuna siku 3 mfululizo hatuna umeme maeneo ya vikindu kilongoni tumeshapiga simu weee jamaa wamekausha.
Wengi...
Yaani TANESCO KIBITI mnatia aibu sana. Kila siku umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja au mawili. Hii haijalishi ni usiku au mchana. Yaani ni mwendo wa washa zima. Mjitafakari sana.
Na...
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki...
Wakuu habari za muda huu,
Nipo zangu natoka Mwanza kuelekea Sengerema nmepanda hii MV Mwanza kwakweli usafi wa vyoo sio mzuri hata kidogo na cha ajabu hivi vyoo naona vipo pembeni na canteen yao...
Habari,
Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Majumbani, hifadhi, hotelini, huduma za jamii na ushauri (CHODAWU) hawajalipwa mshahara tangu October 2021.
Wafanyakazi wana wakati mgumu sana wa...
TRA ya Tabata Segerea ni changamoto, huduma zao ni duni sana, pia hawana lugha nzuri katika kazi zao, ukiwaambia kuhusu hilo wanakuwa wakali kuliko pilipili.
Ujumbe huu uwafikie viongozi wao wa...
Mvua zinazoendelea kunyesha zimehathiri miundombinu..
Hili ni eneo la mtongani kona kunduchi, mabomba ya maji safi yamepasuka, kipande cha barabara kinazidi kumeguka na ardhi inayoingia kwenye...
Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na...
Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA.
Eneo hili lipo...
Ofisi ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Mtwara imekuwa kikwazo sana kwa wateja, hakuna huduma nzuri na mambo meni hayaendi kwa wakati, wanachelewesha mambo hata katika mambo ambayo...
Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe...
Mimi ni mkazi wa Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo, Dar es Salaam) huku kwetu kuna kero ya barabara kuwa mbovu.
Changamoto hiyo inasababisha ajali na usumbufu mkubwa hasa kwa watoto wa shule...
Inasikitisha sana siku hizi polisi kama nchi ni ya kwao kabisa.! As if Serikali imeshawapa ruhusa ya wanachokifanya. Mikoa mingine sijui, hapa Mtwara Kilimanjaro kuna hawa polisi wanatoza tu hela...
Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
Naomba nitoe malalamiko kwa Serikali juu ya Barabara ya Kilombero Mkoani Morogoro ambayo mwanzo ilikuwa ya vumbi ila Serikali ya Awamu ya 6 imetutengenezea lami, napongeza kwa hilo.
Barabara hiyo...
Kuna hali ya kutozijali barabara za Wilaya ya Temeke kwa kiasi kikubwa, wahusika ni kama hawajihusishi kabisa.
1. Barabara ya Temeke ina mashimo makubwa ambayo yanachangia kuharibu magari...
Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu.
Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama...
Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata...
Habari,
Licha ya kuwepo Malalamiko ya mara kwa mara kuhusu adha ya ubovu wa barabara Maeneo ya kuanzia Juu kidogo kwa Mpalange mpaka Kituo Cha Mwisho Mwanagati lakini hakuna hatua zinachukuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.