KERO Threads

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wa Muungano...! Wanaohusika na ukarabati wa barabara ya Kimanga, hasa kipande cha kuanzia Bima hadi Mawenzi wawajibike tafadhali, au mnasubiri mpaka madereva...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Wana morogoro maeneo ya manyuki mwisho tuna teseka na Maji ya Serikari Maana kuna mambomba lakin maji yana toka jumanne tu kila Week Licha ya kutoka mara 1 bado yanakuwa hayana nguvu kiasi...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Anonymous
KERO
Hivi karibuni niliona kuna andiko lipo JamiiForum kuhusu Shule ya Jakaya Kikwete kuwa Wanafunzi wanalazimishwa kununua karanga utoka kwa Walimu wao, nami nikaona nishee hii kero ninayoiona. Huku...
2 Reactions
8 Replies
460 Views
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao. Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi...
24 Reactions
56 Replies
2K Views
Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za Land Cruisers, Exels za Land Cruisers na vifaa vingine vya magari ya Watalii...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Afisa afya au mtendaji hivi hii sehem tena mbele ya shule ya msing Lumumba mbele kabisa maji ya choo imekuwa kero,tena mbele ya ofisi za jiji maji machafu ya choo. Tuwasaidie hawa watoto na wapita...
0 Reactions
5 Replies
381 Views
Kuna shida ya ubovu wa barabara ya kutoka Mombo kwenda Lushoto ina mashimo mashimo na pili hakuna ufuatiliaji wa nauli za bei mfano bei ya kilometa moja ya lami ni shilingi 30-40 lakini wao...
4 Reactions
10 Replies
758 Views
Habari: fedha ya kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo hususani Chuo cha mipango na maendeleo vijijini imeingia toka tarehe 30 ya mwezi 4 lakini ajabu mpaka leo tarehe 8 ,fedha izo azijaingizwa kwenye...
2 Reactions
11 Replies
865 Views
Anonymous
KERO
Pamoja na kwamba ni jambo jema kuutangazia umma kua wanafunzi kadhaa wamepata ufadhili kupitia wizara ya afya(siku hizi wamebadili jina wanaita Dr Samia super-specialized scholarship program)...
0 Reactions
13 Replies
947 Views
Habari wanajamii, Naomba msaada ili serikali iweze kuwajibika kutokana na changamoto ya Kilwa road kutoka kokoto mpaka vikindu. Kutokana na ubovu na wembamba/udogo wa hiyo Barabara basi imekuwa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Anonymous
KERO
Mwishoni mwa mwezi Aprili nimeandika hapa malalamiko yangu kuhusu changamoto za utoaji huduma katika ofisi za Bima ya afya ya Taifa (Tawi la Ilala). Hii changamoto imekwenda mbali zaidi na sababu...
1 Reactions
1 Replies
348 Views
Anonymous
KERO
Imeshindwa kwa sababu Chakula hakikutolewa baada ya wazazi kutokuchangia, na walimu wamewazuia wanafunzi kutokuondoka kwenda kula mpaka saa 11:30 jioni, hivyo kushinda shuleni na njaa. Hata ule...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Anonymous
KERO
Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE). Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo. College ya CIVE ina jumla ya...
2 Reactions
8 Replies
574 Views
Anonymous
KERO
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Anonymous
KERO
Baa ya Lavipark – iliyopo Tegeta Jijiji Dar es Salaam chemba zake zinatiririsha maji machafu barabarani zaidi ya miezi mitano sasa lakini hatuoni hatua zikichukuliwa. Tunaomba mamlaka zitusaidie...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
KERO
Nimevurugwa sana. IKO HIVI. Hapa napoishi tulikuwa tukitumia mita ya zamani, sasa TANESCO Tanzania walikuja na kuibadilisha na kuweka mpya, ile ya zamani ilikuwa na Units zaidi ya 80, na Units...
0 Reactions
3 Replies
334 Views
Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,. Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo. Kijiji...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Anonymous
KERO
Kumekuwa na kero ya Watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya Mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya Saa Kumi na Mbili kasoro asubuhi siku za mapumziko wakati tumelala. Hii...
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Anonymous
KERO
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la uuzwaji wa wazi wa madawa ya kulevya aina ya Heroin katika stendi kuu ya mabasi ya Arusha. Vijana wanavuta unga waziwazi bila ya kificho, na wanaongezeka...
0 Reactions
5 Replies
411 Views
Back
Top Bottom