Habari, mimi dukuduku langu ni kuhusu sekretarieti ya ajira, haifanyi fair kabisa.
Mwanzo nafasi za kazi za halmashauri zilikuwa zinatangazwa na halmashauri wenyewe na kusimamiwa na wenyewe...
Tunafahamu juhudi za serikali katika kuhakikisha watoto wote wanaotoka katika familia duni wanapata elimu na ndio maana serikali ilisema marufuku michango ya aina yoyote katika shule za serikali...
Hii kero inahusu mzani wa magari makubwa ambao upo mtaa wa Changani- Temeke. Sina hakika kama hizi barabara za mitaani zina uwezo wa kuhimili uzito wa haya magari makubwa.
Barabara ya mtaa wa...
Mimi ni Mdau wa Elimu ninayeishi Goba Mpakani, Mtaa wa Tegeta A, Kata ya Goba, kuna changamoto ambayo imejitokeza ni miezi kadhaa sasa inaendelea kuwa kikwazo kwa Watoto wa Shule kupata haki yao...
Wasafiri wanaoingia au kuelekea mikoani wamekuwa wakiibiwa pesa zao. Unatozwa nauli ya luxury ila unapandishwa ordinary bus je hili limekaaje LATRA au huu wizi umebarikiwa?
Nilishtushwa na maelezo kutoka kwa vijana waokota makopo kuwa aina hizo za chupa hazina soko na hazitumiki tena viwandani kwa maana ya kuwa recycled.
Tunashuhudia uchafuzi mkubwa wa mazingira...
Kuna gate moja la barabarani wanakaa tra liko pale Makuyuni, jamani pale kuna tatizo. Iwapo utapita na lori lako pale umebeba mafuta ya kula umetoka zako Dar jamaa wanasumbua utadhani unavuka...
Chuo cha SUA Campus ya Mazimbu kinatiririsha maji taka ya chooni kwenye mifereji ya barabara ni zaidi ya Mwaka sasa.
Ukipita ukielekea maeneo ya Lukobe ni harufu tupu, je angekuwa mtu binafsi...
Tarehe 10/05/2024 Polisi Tanzania walitoa tangazao la kazi kwa vijana wa kitanzania waliohitimu Shule ya Upili Mwaka 2018 na kuendelea.
Deadline ya lile tangazo ilikuwa Mei 16, hivyo kwa sababu...
Hapa Mbezi Luis, Karibu na soko ambalo linapakana na Shule ya msingi Mbezi Kuna bar na gest ipo karibu na soko kwa nyuma ya soko, bar hii inaitwa Lubumbashi na maeneo yake ya jirani kunafanyika...
Nina wiki moja nimekuja Moshi, nimetembela baadhi ya sehemu za Wilaya ya Moshi Vijijini, Shabaha, Kata ya Mabogoni.
Wananchi wa Shabaha wanateseka sana na barabara iwe kipindi cha mvua au...
Huu ndio muonekano wa Barabara ya kutoka Tabora Mjini kwenda kwenye Kata za Igalula, Goweko, Nsololo na Nyahua iliyo Wilaya jirani ya Sikonge.
Barabara hii ndio kama kiungo kikubwa cha Huduma za...
Suala hili kweli ni kero kubwa, sana Kwa watumishi, inafifiza moyo wa kufanya kazi, chanzo Cha magonjwa ya zinaa na UKIMWI, msongo wa mawazo, ukosefu wa furaha nk.
Usitawi wa familia unaangania...
Tatizo la maji bado ni kubwa sana.
Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru.
Sijui viongozi wa maeneo hayo...
Habari mimi ni Mdau wa Jamii Forums kutoka Arusha.
Naomba utusaidie kupaza sauti dhidi ya watu wanaochafua mazingira na mabango haya kwan wao baada ya kumaliza mikutano yao huwa hawana utaratibu...
Wadau habarini,
Mimi ni mwalimu katika moja ya vituo binafsi vya mitihani kwa private candidates (Mufindi DC). Tuna wanafunzi wa kike waliokuja kwa programu maalumu ya serikali (SEQUIP) ambao...
Wadau kuna tatizo kubwa la maji Ilazo Extension Dodoma. Inaelekea DUWASA wameshindwa kabisa kutoa huduma ya maji safi. Kwa mwezi mzima maji hayajatoka hata kidogo. Tunaiomba serikali kuhakikisha...
Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba Watu zaidi ya 35,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji.
Sehemu ya kukojoa kwa Wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.