Chuo cha MUST kina vijana wahadhiri wengi wameishia degree ya kwanza wanafundisha mpaka mwaka wa nne uhandisi. Ni wasumbufu mno wanachosha.
Ingependeza waishie kufundisha mwaka wa kwanza basi ...
Habari mimi ni mdau, changamoto yangu kubwa ni kuwa namba nyingi za simu za mashirika ya umma hazipatikani na zingine ukipiga zinakuwa hazipo...
Pamoja na changamoto hiyo, bado mashirika...
Kuna changamoto katika shule za sekondari na msingi kuwatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa hela kwa ajili ya masomo kwa siku za kawaida na wasipokuwa na hizo pesa...
Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu.
Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami.
Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu MZUMBE, Ndaki Kuu (Morogoro).
Nalalamikia namna ambavyo serikali ya wanafunzi, ambayo kwa mujibu wa sheria za Nchi - universities Act, Mzumbe Charter na...
Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko...
Waziri Bashe kuna ujumbe wako huku kutoka kwa Vijana mliowatoa huko Dar eti mnakuja kuwafundisha kulima kupitia programu ya BBT.
Yaani graduate ametoka IFM aache kutafuta kibarua cha kulipwa 150k...
Highbury Bar iliyopo Tabata Mawenzi imekuwa na kawaida ya kupiga muziki usiku kucha kwa sauti ya juu sana na hivyo kupelekea usumbufu kwa wakazi waishio jirani na bar hii.
Pamoja na viongozi wa...
Tusaidiane kufikisha hili kwa mamlaka husika.
UCHIMBAJI MCHANGA UNAVYOHARIBU BARABARA YA GOBA - MPAKANI KWENDA MADALE.
Kutokea Goba - Mpakani , eneo maarufu kama "kwa ajali" ukiwa unaenda Madale...
Mimi ni mtumishi wa serikali. Kuna malalamiko yaliwahi pia kuandikwa hapa siku za nyuma lakini lile tatizo nadhani limezidi maradufu. Kampuni za mikopo mfano Bayport, Manoto Bank, ABC na zingine...
Habari,
Natumaini n mzima wa afya , wananchi wa wilaya ya ilala kata ya vingunguti tuna kero ambayo inaenda miaka miwili na nusu sasa ya maji machafu ambayo yanakuja mitaani kutoka kwenye mabucha...
Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika...
Ukitaka kujua hujui piga namba za kituo cha huduma kwa wateja, itaanza vizuri tu karibu utumish kituo huduma kwa wateja, kwa msaada wanaanza bonyeza namba kama 1 au 2 au 3.
Ukichagua namba ya...
Hii ni barabara ya Nguvu Kazi -Yongwe ambayo imekuwa ni kero kubwa kwa wakazi na watumiaji wa barabara hiyo.
Pamoja na ahadi kemkem za viongozi mbalimbali tangu mwaka 2020 hakuna lililotekelezwa...
Kwa Sasa watumiaji wa simu za mkononi mkoani Kagera wamekumbana na tatizo la baadhi ya wafanyabiashara kupandisha bei ya vocha za simu za mikononi.
Vocha ya 500 Sasa inauzwa 600 na vocha ya 1000...
Wahusika wa Barabara za Bugarika kwenda Mahina hadi Nyakato Temeke ni changamoto kubwa kwa wapita njia.
Imefikia wakati vyombo vya moto vinasubiriana upande kwa upande jambo ambalo linapoteza...
Nashindwa kuelewa ni kwanini madampo yako pembezoni ya masoko isitoshe mabwana afya wapo na ni maeneo ya vyakula na huduma mbalimbali.
Aidha unakuta fremu ipo karibu na dampo laki bado...
Matumizi ya Speaker ina mipaka yake. Ukizidisha sauti inakuwa sio adhana bali ni kero kwa wananchi, ambapo sio wote ni waislamu.
Dini yetu inasisitiza sana kuchunga haki za majirani na kwenye...
Daladala tajwa hapo juu siku si nyingi zimelalamikiwa. Ukipanda daladala kutoka Makumbusho kwenda Chama au MagengenI wanakulazimisha ulipe 1100 maugomvi mengi yanatokea kila siku.
Mfano...
Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.