Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila...
Malamba Mawili maji ni ya mgao yanaweza maliza wiki 2 bila kutoka na yakitoka yanatoka usiku wa manane yakitoka kidogo kidodo, yanachirizika hayana kasi hata kidogo kiasi ambacho baadhi ya watu...
Jamani tunaomba kupaza sauti zetu, kwa siku ya jana Mei 15, 2024 ilikuwa siku ngumu zaidi kwa wakazi wanaozunguka eneo la godauni la kuhifadhia 'sodium' kwenye eneo la barabara Mchicha Jijini Dar...
Baadhi ya Wanafunzi zaidi ya 150 hadi 180 hadi leo hawajapatiwa fedha zao za ‘boom’ la Kwanza (Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), walicheleweshewa boom mpaka ikafika wakati wa...
Inawezekana hili ni jambo lisilosemwa ila ukweli huu hakuna mwenye nguvu ya kuupinga.
Nalieleza hili kwa kuwasaidia watoto wakimaskini ambao hawana watu wakuwapigania(connection), na kuinusuru...
Asante sana JF kwa kutupa Wananchi platform kama hii za kueleza kero, dukuduku na mengine yote ambayo inaweza kuwa ngumu kuyafikisha kwenye mamlaka mbalimbali za binafsi na Serikali hasa kwa sisi...
Kuna wadada wapo kituo cha Azam Kilimanjaro pale Ferry ya kwenda Zanzibar wanakupokea na kukuambia tunakukatia ticket hivyo naomba kitambilisho chako.
Ukiwapa, wanakusajilia line ya AzamPesa, ni...
Barabara ya External kwenda Majichumvi eneo la Migombani (Majichumvi) inayopita OBAMA BAR kuanzia Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mianzini kutokezea njia Panda ya Bonyokwa na Segerea inatutesa sana...
Hii imekuwa kero kubwa hasa katika kituo cha Afya Zamzam kilichopo Manispaa ya Bukoba ambapo jirani na kituo hicho Kuna Kanisa ambalo mara nyingi zinapigwa Ngoma hali inayosababisha usumbufu kwa...
NEMC na taasisi zingine za uthibiti, eneo la Mchicha Vingunguti kuna hewa kali sana ambayo ukipita lazima ushindwe kupumua na kupata kikohozi kikali. Watu wanasema sulphur inayotoka viwandani...
Kumewekuwepo na upotevu mkubwa wa maji hasa katika sehemu tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na miundombinu mibovu hasa ya maji.
Ukitembea hatua chache uanakuta barabara zimejaa maji na maji hayo...
Mvua za Disemba mwaka 2023 zilikata mawasiliano ya mitaa katika eneo la Goba Kulangwa jijini Dar es Salaam.
Cha kushangaza mwenyekiti wa Mtaa na na uongozi mzima wa mtaa unatambua hali hiyo...
Tarehe 6 na 7 mwezi huu wa tano kulikuwa na mitihani ya mock Wilaya.
Wilaya ya Mvomero watoto walichangishwa 'rim papers 10' kwa kila mtihani kwenye uhalisia wa matumizi, ni mtihani moja tu wa...
Mimi kama mkazi wa Ukonga, naetumia barabarani ya Tabata naomba kutoa ombi kwa IGP ama mkuu wa usalama wa barabarani mkoa wa Dar es Salaam.
Inajulikana kwamba asubuhi ni muda wa rush hours, watu...
Mimi ni mdau kutoka mkoa wa Songwe, halmashauri ya mji wa Tunduma, kata ya Mpemba tunaomba serikali itatue changamoto ya magari yanayotoka stendi kuu ya Tunduma kutia mgomo tangu asubuhi ya Leo...
Ustadhi wa Madrasa mwenye umri wa miaka 70 anayeishi hapa mtaani kwetu, ana tuhuma za kumbaka binti wa Miaka 16 mara kadhaa hadi kumsababishia hasara, kinachouma zaidi ni kwa kuwa mtuhumiwa ni...
Huduma ya Majisafi Manispaa ya Morogoro ni kitendawili kilichoshindikana kuteguliwa, mara nyingi maji yanatoka yakiwa machafu
Huduma ya Majisafi katika Manispaa ya Morogoro chini ya Mamlaka ya...
Kuna changamoto kubwa ya barabara inayotoka Mlalo mpaka Lushoto hususani katika kipindi hiki cha mvua barabara zina mashimo makubwa nyingine hazipitiki kabisa kwa sababu ya matope ni wiki ya pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.