Mfano mzuri wa changamoto ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe ni Idara ya Macho ambayo kiukweli haina utulivu kabisa. Mgonjwa anaambiwa aje Saa 2:00 Asubuhi kwa ajili ya operation, analazimika...
Machi 6, 2024 nikiwa natoka Morogoro kurudi Dar es Salaam nilikata tiketi vizuri tu katika Ofisi za Mabasi ya Abood, tumetoka Stendi Kuu siti zipo levo, lakini kufika vituo vya mbele wakaanza...
Sisi wananchi wa Mwarusembe eneo zima la Kinene hatuna umeme kwa mwezi moja sasa na kila tukitoa ripoti inapuuzwa, kutumiwa ujumbe taarifa imefanyiwa kazi na hali ya kuwa bado, tupo mkoa wa pwani...
Habari wana Jamvi,
Leo nimekuja kuwasilisha kero yangu moja kubwa sana kuhusu hawa watu wanaotupangishia Nyumba au Frame za biashara. Naelewa ni zao na wana haki ila kitendo cha Mmiliki kuamua...
Soko la Karume limejaa madalali wengi sana (Mawinga) hawa mabwana wamekua Kero sana kwani wanakuvutavuta kukuita na makwazo mengi sana.
Ifahamike kile mteja aanajua bidhaa anayohitaji lakiji hawa...
Wakati mwingine watu wanajiuliza hili jimbo lilianzishwa kimakosa? Barabara zote muhimu ni chakavu na sio za lami.
Nilipita barabara ya kibanda cha mkaa kwenda mjimpya nikajiuliza hili jimbo lina...
Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza!
Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba...
Mimi ni mkazi wa Mlamleni kata Tambani Wilaya Mkuranga.
Tuna shida ya barabara hadi sasa ni siku ya tatu barabara haipitiki kutokana na ubovu wa barabara, gari kubwa la mzigo semitrela limeziba...
Wananchi wa Mtaa wa Bulumawe kata ya Bunju tunakutana na adha kubwa ya kupita katika barabara baada ya barabara hiyo kuanza kutengenezwa, lakini wameichimba tu na hakuna kinachoendelea hadi sasa...
Salaam,
Natambua vema kuwa kuna maeneo mengi tu jijini Dar Es Salaam ambayo ni machafu mfano Tandika sokoni, Vingunguti sokoni……n.k lakini wilaya ya UBUNGO inabakia kinara wa UCHAFU kwa hoja...
Imagine unakaa dakika 20 huoni gari ya kuelekea unakoenda, na unatumia usafiri tuliotangaziwa kwa mbwembwe na bashasha kwamba ndiyo mkombozi wa shida ya usafiri.
Kwa hali hii, serikali iruhusu...
Habari wapendwa.
Tukiwa tupo mbioni kumsaidia mh rais samia kwenye kuleta maendeleo kuna baadhi ya mambo ambayo huenda yanasababishwa na viongozi kwa kujua yaani makusudi au kwa kutojua.
Nianzie...
Umeme katika line ya KARATU maeneo ya
NMC, Mangafi, Gibbs, Endoro, Marera, Ayalabe, Rhotia, kilima tembo, Mbulumbulu, Manyara kinaoni, Chemchem, Mto wa Mbu, Selela, unakatika sana, yani mara kwa...
Naipongeza Serikali kwa ujenzi wa barabara hii. Changamoto iliyopo ni kuwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Safina Olasiti hadi Morombo hajaweka alama ambazo zinawataka/kuelekeza watumiaji wa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Viongozi wa Mji wa Korogwe hamuoni ile barabara ya kuelekea Hospitali ya Magunga? Barabara mpya ambayo inaonganisha mtaa wa Mountain view na Kanisa la Roma imeanza...
Kumekuwa na ongezeko ya idadi kubwa ya malori yanayopaki ama kuegeshwa katika mitaa ya tabata mfano; mtaa wa shule ya st.mary’s na NSSF huku malori hayo ikileta maafa yafuatayo;
1. Kuharibu...
Wadau siku hizi kumekuwa na Mtindo wa Watu kufanya JOGGING Asubuhi maeneo mbalimbali ya JIJI.Kwanza nawapongeza kwani Wanaiweka imara Miili yao.
Pamoja na Kuwapongeza NAWALAUMU sana kwani...
Hatari! Hatari! Hatari!
Ndugu zangu Watanzania mtuombee tufike salama Mwanza muda huu tunaelekea Nzega
Gari nililopanda nikitokea Dar limejaza abiria balaa wengine wamesimama, wengine wamepanda...
Serikali ya SMZ ikiangalie kisiwa cha Pemba kama ni sehemu muhimi ya uchumi wa Zanzibar.
Barabara zaid ya 90% zimechakaa kwa kiwango kibaya sana zina mashimo mfano wa visima.
Tofauti na kisiwa...
Naomba kuulizia, ni nini hasa kinachoshindikana kwa serikali kukijenga kipande hiki cha Barabara kisichozidi hata kilomita mbili na kuondokana na usumbufu unaosababisha msongamano wa magari katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.