SoC01 Threads

  • Suggestion Suggestion
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litalenga zaidi uhusianishaji wa teknolojia katika kusaidia Maisha ya...
1 Reactions
0 Replies
672 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
LUCAS MESHACK Hivi karibuni serikali kupitia Bunge lilipitisha sheria ya tozo katika mihamala ya simu kwa njia ya simu. Sheria hiyo ilitokana na mapendekezo ya Bajeti ya Serikali 2021/22 pamoja...
1 Reactions
0 Replies
656 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Sote tunakubali uwiano usio na usawa wa kiuchumi kwa maana ya wingi wa wasionacho na uchache wa walionacho unaopelekea baadhi ya mambo ama tabia zetu na hata mahusiano yetu kuathirika kwa namna...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
DUNIA NI YA NANI? Dunia ni yenu (vijana), pia ni yetu (wazee), lakini katika uchambuzi wa mwisho, ni yenu. Nyinyi vijana, mkiwa mmejaa hamasa na nguvu, maisha yenu ndio kwanza yanachanua, ni...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kabla ya yote ninataka ujifikirie kama mwimbaji anayependa kucheza, ukifanya mazoezi katika chumba chako cha kulala maneno mapya ambayo yalikutokea jana usiku… AU kama mjasiriamali anayefanya...
1 Reactions
0 Replies
530 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Habarini wana Jamii Forum ni matumaini yangu yote ni wazima. Andiko langu linahusu jinsi TEHAMA inavyoweza kusaidia vijana katika kupanua uwelewa wao na kuweza kutumia ili wajipatie kipato...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kwanini plastic welding? 1. Ni shughuli ya mtaji mdogo 2. Watu wengi hawaijui, hivyo utakuwa unique 3. Watu wengi wamekuwa wakitoa vyombo vyao vya plastics vilivyoharibika kwa watu wa screppers...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
KUKOSA UAMINIFU. Vijana wengi sio waaminifu .
2 Reactions
0 Replies
431 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Leo jumatano ya tarehe 15 Septemba 2021 mwili wa Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Zacharia Hans Poppe utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele mjini Iringa mahali ambako...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Upvote 9
  • Suggestion Suggestion
Binadamu ni kiumbe aliyejaliwa uwezo mkubwa wa kufikiri na kupambanua mambo ikiwa ni pamoja na kupambana na changamoto mbalimbali za maisha. Amejaliwa uwezo wa kubadili changamoto yoyote iliyo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Unajua nini kuna mitandao ya kijamii ukiifuatilia utacheka sana wakati mwingine inasikitisha kwasababu waandishi hawana tena uweledi yaani hawaandiki tena uhalisia wa maisha wanaandika kile bosi...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Regardless of the diverse in cultures and ideologies spread throughout all of humanity, one thing is certain; we all fantasize of becoming prosperous. If you haven't yet subscribe to this fantasy...
1 Reactions
0 Replies
417 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
How can Africa’s Young Entrepreneurs and Innovators make the AfCFTA’Magic Happen? The African Continental Free Trade Area Agreements (AfCFTA) It is a plan signed On March 21, African Nations...
1 Reactions
0 Replies
493 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Nchi nyingi za kiafrika huwa zinapokea mikopo na misaada kutoka nje ya afrika, ila mikopo hii na misaada inaonekana kuto wanufaisha waafrika kiujumla ila zaidi inawaweka katika mzigo Wa madeni na...
1 Reactions
0 Replies
718 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Habari wanajamiiforum, Namshukuru Mungu na natanguliza shukrani za dhati kwenu nyote maisha yangu yanaweza kuwa funzo kwenu vijana mliokosa ajira baada ya kumaliza Chuo. Mimi ni kijana...
11 Reactions
10 Replies
5K Views
Upvote 18
  • Suggestion Suggestion
Habari, hi ni stori ya kweli inayo nihusu Mimi mwenyewe. Nimeguswa kushea na wanajamii Forums, ili kuwatia moyo vijana na watu wengine ambao wanapambana kutoka kimaisha. Kama Mtanzania wa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Huwa ni kawaida kuona vitu vinabadilika kutokana na mabadiliko mbalimbali. Mfano, mavazi, kutoka kwenye makuti au maganda ya mimea kwenda kwenye kuvaa nguo, jinsi ya ufanyaji kazi, kutoka...
1 Reactions
0 Replies
768 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Takwimu za soko la ajira kwa mwaka 2018,Zinaonesha kuwa Vijana 800,000 huingia kwenye soko la ajira kila mwaka nchini Tanzania,lakini ni asilimia 10 tu ndio hufanikiwa kuajiriwa. Zipo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Nini maana ya chanjo? Chanjo ni kitu kinachofanya kazi ya kuupa mfumo wa kinga ya mwili kuzalisha kinga ili kupambana na ugonjwa Fulani. Chanjo hufanya kazi kwa kuufunza mfumo wa kinga...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Kilikuwa kipindi kigumu nilipo jua uhalisia kuwa ukikubali kuishi ni lazima ufanye kazi, na maendeleo ya mtu ni kinyume sawia na ubora wa juhudi zake katika kazi anazozifanya. Sababu hakuna aliye...
1 Reactions
0 Replies
532 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom