SITAKI UMASIKINI, NI ZAMU YA MABADILIKO.
Habari wana Jamii Forum katika jukwaa la story of change.
Andiko hili limelenga kuonesha nini tufanye ili kuondokana na umasikini wa aina zote hasa wa...
Habari ndugu msomaji wa andiko langu la leo ijumaa 17 september 2021 litaangazia maendeleo yetu katika jamii na taifa kwa ujumla naomba ungana na Mimi tushere wote hizi pointi
MAENDELEO NI...
Kijana wa kidijitali anaamka asubuhi na mapema.
Badala ya sala,kijana huyu anachukua simu yake na kuwasha data.
Hapa ndipo ratiba ya kijana huyu inapoanza.
[emoji3578]Anaingia Instagram.
Hapa...
Katika BIBLIA kuna maandiko kadhaa yanayoonesha ahadi za Mwenyezi Mungu kwa taifa la Israel pindi alipokuwa akiwatoa utumwani Misri. Ni ahadi ya kuwapeleka katika nchi ya maajabu, nchi...
Serikali Imewekeza sana kwenye miundombinu ya sekta ya elimu kwa miaka sasa, uwekezaji huo unaanzia Elimu ya msingi, sekondari za kata, vyuo vya ufundi na vyuo vikuu na kumekuwa na ongekezo kubwa...
Utetezi,ni mchakato wa kupata msaada mkubwa kwa sababu fulani au sera fulani yaani kuwapa watoto wa mitaani sauti kwa kuwataka wawe na nguvu na ushawishi wachukue hatua ili waweze kujitetea na...
Nini maana ya tatizo la nguvu za kiume?
Hili ni tatizo linalohusisha hali tofauti kwa wanaume ambalo linaweza kuathiri njia ya mkojo na uzazi kwa mwanaume.
- wanaume wengi wamekuwa wakipata hofu...
.
*********
“Where’s your dad?” My friend Maria asked me with curiosity. It was a visiting day at our school
“Well, I don’t have a dad” I turned and answered her without pressure, I was already...
Habari zenu wanajamvi ni matumaini yangu wote ni wazima. moja kwa moja nianze kuelezea namna wananchi watakavyo fanikiwa kulivusha Tiafa letu kutoka katika uchumi huu wa kati. yafuatayo ni...
Nawasalimu wanajukwaa wenzangu, salamu iende mbali zaidi kwa wewe kijana mwenzangu ambaye hapo ulipo sio muajiriwa, muajiri wala hujajiajiri.Salamu hii iwe chachu ya kuleta jibu juu nani anapaswa...
1. Utangulizi
Inawezekanaje tutumie vyuo vikuu kukabiliana na tatizo la ajira ikiwa wahitimu wa vyuo hivyo ndilo kundi linaloongoza kwa kusota mitaani bila ajira?
Japo ni kweli kuwa tatizo la...
Ndugu wazalendo wana JamiiForums hususani jukwaa la Stories of Change Kwa afya niliyonayo leo ninawaombea wote pia Mungu awaunganishe na Mimi katika andiko langu hili mkiwa na afya njema mungu...
1. UTANGULIZI
Awali ya yote naomba kuwashukuru Jamii Forums kuandaa hii story of changes kwa wale watakao shiriki kila mmoja atakuwa na mtazamo wake ivyo itawapelekea jamii forum kupata mawazo...
ELIMU KUHUSU CHANJO KWA UJUMLA
Habari za muda huu wana JF hususan wa jukwaa hili la “stories of Change”, Karibuni tushirikishane elimu kuhusu Chanjo zote zinazotolewa hapa nchini, iwe umewahi...
Tanzania bado ina safari ndefu ya kumwinua mkulima ili ajikwamue kutoka kwenye kilimo cha kujikimu kwenda kwenye kilimo cha kibiashara ambacho kitamwezesha kuwekeza kwenye sekta hiyo kikamilifu...
Katika kitabu kitakatifu cha Biblia kuna simulizi maarufu ya safari ya wana wa Israeli kutoka uhamishoni Misri kuelekea katika nchi waliyoahidiwa na Mwenyezi Mungu. Nchi iliyokuwa na kila aina ya...
Ukiondoa mchezo wa soka ambapo jambo kuu ninalojivunia ni kuishi katika zama moja na magwiji wawili wa soka duniani Muagentina Lionel Messi na Mreno Christiano Ronaldo, jambo jingine ninalojivunia...
Mwishoni mwa miaka 1700's kuelekea mwanzoni mwa 1800 huko Uingereza kulikuwa na mapinduzi makubwa sana ya kilimo. Mapinduzi haya yalichochea kuongezeka kwa idadi ya watu kutokana na wingi wa...
Serikali zote Duniani ni lazima ziwe na vyanzo vya mapato vya uhakika vya kuendeshea Serikali mapato hayo ni muhimu kwa sababu ndiyo yanayojenga barabara,yanayonunua silaha,yanayonunua madawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.