Habari wakuu namshukuru Mwenyezi Mungu na natumaini mko salama.
Napenda kujumuika nanyi katika ukurasa huu kwa kugusia suala zima la afya hasa nikilenga kwa zile taasisi binafsi au mtu mmoja...
MAABARA NI NINI
Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials)...
Kwa jamii yetu ya Sasa ni ngum Sana kumtambua mtu anayeishi na maambukizi ya virusi vya ukimwi, au mgonjwa ukimwi kwa kumuangalia kwa macho ya kawaida bila kufanya vipimo vya kisayansi
MAKUNDI...
UTANGULIZI
Askari wa Usalama barabarani nikiungo Muhimu Sana kati ya wamiliki wa vyombo vya usafiri na sheria zilizotungwa na bunge katika kudhibiti makosa yote ya usalama barabarani na sambamba...
NDOA NI CHANZO CHA UMASKINI AFRICA
Wa hali gani wapenzi wasomaji wa jukwaa hili la Hadithi za mabadiliko. Bila shaka ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya. Karibuni katika makala hii ambayo...
Kuna watu wanatusimanga eti Tanzania ni nchi maskini, na watu wanaamini. Watu wanaishi mbali nje, na saa nyingine hawajawahi onana na wanaoitwa maskini wa Tanzania, lakini wanatusema. Wameweka...
[CHANZO: Pinterest]
Wasifu wa mhenga wa kigeni
Kabla hawajazaliwa wazee wa wazee wetu, katika shamba moja mbali sana kutoka kijijini kwetu, alizaliwa mtoto. Kabla hujaweka maneno katika aya...
Karibuni Sana Marafiki zangu Damdam!!
Kama hukubarikiwa kipaji huna option nyingine zaidi ya kuwa na bidii.
Ukizaliwa na kipaji, its God given, huna option nyingine zaidi ya kutumikia hiko...
Tanzania imekuwa ikipitia changamoto nyingi sana toka mapinduzi ya kwanza ya viwanda kuanza. Tanzania amekuwa mtazamaji wa mapinduzi haya na sio mshiriki hasa katika nchi yake mwenyewe. Mapinduzi...
Utangulizi
Uziwi ni hali ya upotevu wa usikivu. Hali hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile magonjwa,ajali,uziwi wa kuzaliwa nao,kuishi sehemu yenye baridi sana na uchafu wa masikio.
Kwa...
Utalii ni shughuli ya kibinadamu inayohusisha watu kusafiri kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kwa shughuli mahsusi ikiwemo, mapumziko na starehe, biashara, mikutano au matukio mengine yeyote...
Hii picha nimeitoa mtandaoni
Ipo changamoto inayoonekana kwa sasa kukua kwa kasi sana na ambayo isipofanyiwa kazi mapema basi tutakuwa na watoto/vijana wengi wenye matatizo ya kifua. Kwa sasa...
Vaa viatu vya mzazi/mlezi aliyejibana ili kijana wake apate elimu zaidi huku akiamini kabisa kuwa elimu ni daraja kuelekea mafaniko. Au mfikirie kijana aliyeamua kwa dhati kusoma kwa bidii ili tu...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Nimekaa nikawaza, kumbe kupitia mitandao ya simu Kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, nk inaweza ikachochea maendeleo ya moja kwa moja kwa wateja wake bila...
SUFFERINGS TANZANIANS FACE DUE TO IGNORANCE OF THE LAWS.
Written by Joseph
The latin maxim “ignorantia iuris nocet” which means Not knowing the law is harmful
Tanzanians have been stagnant in...
Sadoth H. Balilonda
( Mjasiliamali )
sadothhenry250@gmail.com
+255756536474/+255676436474
Makala hii inatoa muamko ambao unalenga kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali za uchumi kupitia...
Kwa muda mrefu sana watoto wetu wamekuwa ikiwalazimu kubeba mzigo mkubwa wa madaftari wakati wa kwenda shuleni.
Na kwa watu wengi imeshachukuliwa kana kwamba ni hali ya kawaida kumuona wanafunzi...
Kama umekua katika familia ya Kiafrika hasa ya kitanzania kupigwa pale unapofanya kosa kumekuwa ni Jambo la kawaida. Mzazi anaweza kutumia fimbo, mikanda, au kukurushia kikombe, sufuria au...
Moja kati ya changamoto inayowasumbua wajasiliamari chipukizi ni kushindwa kutambua kutambua namna bora ya kukuza biashara/kampuni zao na kuwa zenye mafanikio makubwa.
Wengi wao hushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.