Tanzania is a country that is geographically located in the eastern side of the African continent.
It is bordering the Indian Ocean on the east, Kenya and Uganda on the north, Rwanda, Burundi...
Mawazo barabara yanatoka wapi? Jee yanaangukia kutoka mbinguni? La. Jee, yamo akilini tangu mtu kuzaliwa? La. Mawazo barabara yanatokana na vitendo vya mtu katika jamii tu. Mawazo barabara...
Habarini wanaJamiiForums
Ni imani yangu mko salama. Leo napenda kuangazia suala zima la collabo au partnership katika kutafuta mitaji. Kutokana na ugumu uliopo katika kupata mtaji wa kuanzishia...
When speaking of the modern-day technology world we cannot carve out Artificial Intelligence and Machine Learning. Some of you might have heard about this interesting and fascinating technology...
Habarini wana jamii.
Katika kada ya Elimu hususani vyuoni Kuna umuhimu mkubwa wa wanafunzi wa vyuo vya Kati kuwekwa katika bajeti ya kupata mkopo.
Jumla ya wanafunzi katika vyuo vya kati au vyuo...
Habari wana jukwaa wa jukwaa la story of changes, naomba tuzungumzie suara hili la ajira kwa vijana wa nyanja zote (wasomi na wasiosoma)
Kwa tafsiri fupi ajira ni kazi yoyote isiyo vunja taratibu...
UTANGULIZI; Kama tufahamuvyo uraibu wa madawa ya kulevya unavyozidi kushika kasi na kuongezeka kwa kiwango kikubwa nchini kwetu. Hii inatokea hususani kwa vijana wengi miongoni mwao ni watoto...
Ukweli ni kwamba kwa umuhimu wa elimu hakuna shaka kusema ndio kiungo kikubwa kwenye maisha ya binadamu kwasababu hiyo ili jamii iwe ni jamii kamili na yenye usawa na lazima kuwaelimisha wanawake...
Nadhani inafahamika namna ambavyo kipaumbele cha kuajiri serikalini huwa ni vyeti bila kujali uwezo wa Watu hao kiutendaji.
Labda ndio maana mpaka sasa bado imebaki ni mtihani mkubwa kwa...
Hatukuwa tumewahi kufiwa na mmoja wa wanafamilia,kwa maana ya kaka au dada wa tumbo moja na baba mmoja.Misiba mingi ilikuwa ni kwa ndugu na jamaa tu wa karibu.Msiba huu wa dada yetu aliyekuwa...
Habari wana Jf,
kama kichwa cha habari kinavyojeleza, lengo la uzi huu ni kuwa endelevu, kuorodhesha startups mbalimbali na mawazo mbalimbali ya kuanzisha Startups hapa Tanzania ili kuletata...
Na Elivius Athanas.
Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais...
Habari wanaJF na wasomaji wote wa andiko hili.
Hongereni na pilikapilika za ujenzi wa taifa.
Utangulizi.
Kumekuwa na misemo mingi sana ambayo imekuwa ikielezea maana na umuhimu wa elimu kwa mtu...
Natumaini ndugu zangu wote wa jamii forum ni wazima wa afya ,Kwa ufupi nitaeleza stori ya kweli kuhusu Maisha ya kijana maskini chouni bila ya mkopo na fursa za kujiajiri
Naitwa Hiro nimezaliwa...
Trend ya Dunia inakoelekea ni wakati sasa wa Familia nyingi kuwa na Famiily Business yenye nguvu na kusimamiwa na Familia.
Kama ikibidi ni kwenda kutafuta ushauri kwa wasomali na Wahindi au...
nawasalimu wote katika jukwaa hili la JamiiForum
Nitazungumzia bussiness whatsapp kama nyanja muhimu ya kujiingizia kipato
Mtandao wa whatsapp umekuwa ukipata umaarufu kila kukicha kwasababu...
Katika maisha kuhangaika ni jambo la kawaida bila kujali wewe ni mfanyabiashara, mkulima, mfugaji, mwanasiasa, mtumishi wa uma, mvuvi, msanii au mwanasanaa, fundi nk. Kila mmoja ana jambo ambalo...
Mwishoni mwa mwaka 2019 ndiyo kipindi ambacho habari za kuwepo kwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya korona yaani UVIKO-19, kwa kiingereza COVID-19 zilianza kuripotiwa na kuenea duniani...
Wakati nimefika AYA Sec 2007 Kondoa kuanza form 1 (boarding), niliibiwa suruali 3, mashuka 2, viatu, nk. Ilikuwa ndio 'Welcome Party' pale kila mwaka. Kuhamishiana vitu ilikuwa ni kawaida sana...
Kuanzia mwaka 2019 kila nchi karibu dunia nzima imekumbwa na hali mbaya ya kutembelewa na ugonjwa wa hatari wa CORONA ambao umeendelea kusambaa kwa kasi kubwa huku ukiendelea kunyofoa roho za watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.