Kiuhalisia kabisa jamii nyingi za kitanzania kuanzia wananchi wa kawaida mpaka viongozi wa maeneo husika wakiserikali na hata wale wasio wa kiserikali imekuwa ni kawaida sana kutumia muda mwingi...
“Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.”
Sigmund Freud
”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu...
John Karanga nikijana Wakitanzania aliyezaliwa mwaka 1993 mkoani Songwe wilaya ya Mbozi kata ya Vwawa. John alikulia Vwawa na baadae kuanza elimu ya msingi katika shule ya msingi Ichenjezya...
Hivi ulishajiuliza kwanini upo hai mpaka leo?
Hili ni swali gumu sana lakini sio kila mmoja anaweza kutoa majibu sahihi, kwa ufasaha wa swali hili ni lazima mtu awe alishajiuliza ni kwanini...
Je, umewahi kujiuliza ni kwanini watu wengi wanaamini kuwa bila kwenda kwa mganga huwezi fanikiwa? Bila shaka umewahi kujiuliza, lakini je, ulishawahi kwenda mbele kidogo na kujiuliza ni kwa namna...
HAKI ZA BINAADAMU.
Haki za binaadamu zinajumuisha mahitaji yote ya muhimu/stahiki za kila binaadamu pamoja na sheria maalumu za kumlinda na kumpa muongozo binaadamu yeyote katika utekelezaji wa...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Ni kweli kuwa Kiswahili kina umuhimu, ni kweli kuwa Kiswahili ni lugha yetu, ni kweli kuwa Kiswahili kinakua.
Ukiulizwa utaje lugha tano (5) zenye wazungumzaji...
Afya ni kitu cha kwanza muhimu kabisa kuliko vyote katika uhai wa mwanadamu. Mtu akikosa afya bora hata kamanakiwa na utajiri wa hadhina za dunia yote bado atakuwa hana furaha ya kufurahia mambo...
Kutokana na kukithiri kwa udhalilishaji na kuyasahau maadili yetu . Nimeamua kuja na makala ya ushairi yashajihishayo kulinda maadili na kupinga udhalilishaji
TUYALINDE MAADILI KUPINGA...
.
Uzalendo ni msamiati au neno gumu sana kwa baadhi ya watanzania hasa ukitazama na kukumbuka jinsi mambo mengi yanavyokwenda na kuchukuliwa nchini.
Mapema wiki hii tarehe 3 ya mwezi Septemba...
Tanzania ni nchi tajiri na yenye amani kubwa inayopaswa kutunzwa na kuendelezwa. Utajiri huu unatokana na rasilimali tulizonazo Kama vile Madini, watu, Wanyama na vinginevyo.
Uendeshwaji na...
Afya ya akili ndio msingi wa maendeleo kwa kijana yeyote mwenye chachu yakuweza kufanikiwa au kufikia malengo fulani ambayo amejiwekea. Katika kipindi cha ujana vipo vingi ambavyo kama vijana...
Nijambo lisilopingika kuwa mwanadamu anahitaji mafanikio. Ili kusema mtu anamafanikio lazima kuwepo kwa mabaliko chanya kwa mtu husika katika nyanja zake zote za kimaisha kutoka hatua moja kwenda...
Na. M. M. Mwanakijiji
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinataka kukiondoa Chama cha Mapinduzi (CCM) madarakani na hivyo kishike hatamu za uongozi wa taifa letu. Katika kufikia lengo...
Utangulizi
Ninasikitishwa sana na utendaji wa Wizara ya fedha katika suala zima la uandaaji wa bajeti kwa Serikali ya Tanzania. Kila mara bajeti inaposomwa Bungeni na Waziri wa fedha pamoja na...
Advancement of science and technology displays more merit rather than demerit in all fields laid on. The knowledge from the advancement has qualified extensively in every activity done; be it in...
Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia Shuleni .
Mfumo wa utoaji elimu ndio kitu pekee kitachopelekea elimu kupokelewa vizuri na wahusika katika mahala sahihi .
Jamii yetu ya Tanzania imetawaliwa...
Nikiwa seminari tuliwahi kufundishwa kilatini ijapokuwa ntakuwa nimesahau maneno mengi bado nakumbuka msemo wa muhimu sana wa kilatini unaosema kama wengine wameweza kwanini mimi? Kwa kilatini Si...
“Most people do not really want freedom, because freedom involves responsibility, and most people are frightened of responsibility.” - Sigmund Freud
”Watu wengu hawataki uhuru wa kweli, sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.