Msongo wa mawazo ni hali ya mtu kuwa na mfadhaiko wa akili kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku.
Wengi wamejikuta wakikumbwa na hali...
Boda za Tanzania ni lango kuu LA uchumi.
KUPATA MANUFAA FANYA YAFUATAYO
1)Angalia vijiji vya pembeni mwa boda nchi za jirani hasa kule mbali na boda lakini inaweza kuwa karibu zaidi na mpaka wa...
Utangulizi
Ndugu zangu wanajamii forum ningependa kuanza na nini maana ya Afya ? Ni hali ya kujiskia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Katika Afya kuna...
UTAWALA BORA
Utawala Ni mamlaka aliyonayo mtu wa uteule aliyeteuliwa au kuchaguliwa na watu ili aweze kuwa muwakilishi na kiongozi wao katika kushughulikia masuala mbalimbali ya kijamii katika...
INTRODUCTION.
Agriculture is the backbone of the Tanzanian Economy but its contribution towards the country's Gross Domestic Product (GDP) is still not significant in comparison to other sectors...
Katika historia ya dunia tumekuwa tukipoteza wapendwa wetu siku hadi siku kwasababu nyingi. Takwimu za mwaka 2017, zinaonesha kulikuwa na vifo zaidi ya millioni 50 vya mwaka huo dunia nzima...
Maisha yetu huwa na thamani pale tunapoona uwezo wetu wa kutatua changamoto ni mkubwa. Maisha yetu hukosa thamani pale tunapojihisi hatuna kile kinachoweza kuongeza thamani katika maisha yetu...
Utangulizi
Urasimishaji wa Biashara ni shughuli muhimu kwa kuiwezesha nchi kukusanya kodi lakini pia kuwawezesha wafanya biashara ndogo ndogo kutoa huduma za kibiashara kwenye mfumo rasmi kwa...
Habari wanajamvi
Tuendelee kuchukua tahadhari juu ya janga hili la CORONA.
Basi bila kupoteza muda nielekee moja kwa moja kwenye lengo la Uzi..Wakuu baada ya mawazo...
Sasa imekuwa kama mtindo wa maisha kwa watanzania wengi, bila kufahamu kuwa wanapoteza pesa na muda mwingi ambao ungetumika katika kujenga jamii.
Baadhi ya watu hasa wa maisha ya kawaida kwa...
Hivi ushawahi kujiuliza chanzo cha picha za utupu ni nini? Ama chanzo kuvujishwa kwa siri za wakati wa tendo la faragha ni nini?
Imekuwa janga kubwa kwa Taifa, ingawa inaonekana kupendwa na...
MAENDELEO NA KAGERA
Dhana ya maendeleo watu wengi huitafakari tofauti kabisa.
Wataalamu wengi husema maendeleo ni ile hali ya kutoka kwenye hali duni kwenda kwenye hali bora( hali yenye unafuu...
It is absolutely fascinating just knowing the fact that, we are currently living in the best era in terms of technological advancement. This is of course, relative to the past times when every...
WATU maeneo mbalimbali duniani wamekuwa wanasumbuka kupata 'kiwakilishi' sahihi na bora kwenye kubadilishana bidhaa toka dunia kuumbwa.
Baada ya uwepo wa DOLA ya Kimarekani na EURO ya Ulaya watu...
Leo naegemea katika vipengele vya kushusha kodi katika vileo na kupandisha bei katika mafuta na kuongeza makatato katika miamala ya fedha inayofanyika kwa simu.
Jambo hili nimekua nikilitafakari...
Habari zenu wadau .?
Mimi nitaandika kidogo kuhusu utulivu wa mtu na jinsi unavyoweza kumsaidia myu katika kuaminiwa, au kufanya jambo lolote lile katika maisha ya kila siku.
Ni maanaya...
Ni wazi ofisi na mtaani ni mazingira mawili tofauti kabisa,hivyo yanahitaji mbinu tofauti kupata kipato cha kuendesha maisha yako.
Kwa kuwa wastaafu wengi wametumia muda mwingi kazini ( hadi...
MAZINGIRA SIO MGODI
Ikisiri (Abstract)
Uwezo wa mazingira wa kutimiza mahitaji ya mwanadamu, wanyama na mimea unaendelea kupungua. Kutoweka kwa viumbe, mimea na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia...
Ni jambo lisilofichika sasa kuwa mfumo wetu wa elimu uko dhoofu li hali, kama sio hoi bin taabani. Haumuandai mhitimu kujiajiri au kuweza kutengeneza ajira, hali ni mbaya sana, wahitimu wengi wa...
TUSIJIDANGANYE kutaka Kiswahili kuenea fumba na kufumbua duniani. Tutosheke na kukiona Kiswahili kinatawala Afrika hatua kwa hatua.
KOKOTE Afrika viongozi, wanasiasa, wasomi na jamii kwa ujumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.