SoC01 Threads

  • Suggestion Suggestion
Anaitwa Bahati, tangu akiwa mdogo alishaamua atapambana na maisha na kuboresha maisha ya familia yao. Baba yake alikua Mchungaji wa kanisa, mama mwalimu. Wakizaliwa sita na kati ya hao wa kike...
2 Reactions
4 Replies
771 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi. Ama baada, ningependa kuzibainisha nukta 03 zitakazo chambuliwa katika mnakasha huu. 01) Mapinduzi ya Viwanda kwa ujumla wake. 02) Hali ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kwa miaka takriban mitatu niliishi mjini Tokyo, Japan. Ukiachilia mbali maajabu katika mifumo ya usafiri hasa treni katika mji huo, jambo ambalo lilinistaajabisha kila siku ni jinsi mji huo ulivyo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ni muda sasa tangu Taifa letu lianze kulalamika juu ya ukosefu wa ajira kwa vijana na wanajamii nzima kwa ujumla. Tatizo hili linaonekana kuwa changamoto inayo ongezeka kwa kasi, siyo tu ndani ya...
0 Reactions
1 Replies
528 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kiuhalisia kabisa jamii nyingi za kitanzania kuanzia wananchi wa kawaida mpaka viongozi wa maeneo husika wakiserikali na hata wale wasio wa kiserikali imekuwa ni kawaida sana kutumia muda mwingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
YUPI MKE BORA/MUME BORA (NDOA NA MAHUSIANO) Lengo kuu la andiko hili ni kwenda kuibadilisha jamii ya watanzania hususan vijana wa kizazi cha leo ilo kuweza kutambua vema dhana halisi ya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Personally ntawaongelea wenye nacho hatuwezi kuokoa wote but wanaowezekana tuwaokoe To the government and graduates,.tangazo la bodi ya mikopo linasema litawafadhili wanafunzi 160,000. wazo...
3 Reactions
2 Replies
656 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Kwa wale waliosoma vizuri somo la Kingereza, watakuwa wamekutana na huo usemi, a hungry man is an angry man – mwenye njaa ni mwenye hasira. Huenda ni kweli na hili linaweza elezewa vizuri na mtu...
1 Reactions
0 Replies
550 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Habari wana jamiiforum, Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona. Nimeamua kuchukua nafasi...
8 Reactions
0 Replies
4K Views
Upvote 9
  • Suggestion Suggestion
Andiko hili linaelezea suala la ukombozi wa kifikra kwa Watanzania na Waafrika kwa ujumla kama nyenzo ya kujikomboa kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni. Jamii ya watu wasiojiamini, wenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Naitwa Teju nikijana wa kitanzania nilisoma shule ya sekondari Ivumwe Secondary school nilipata ufaulu wa Diraja II (Division Two) na ALevel Mbalizi Secondary school nilipata ufaulu wa Daraja I...
5 Reactions
2 Replies
931 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Habari ya wachezaji wa Simba Clatous Chota Chama raia wa Zambia ambaye amenunuliwa na klabu RS Berkane ya Morocco na Jose Luis Miquissone raia wa Msumbiji ambaye amenunuliwa na Klabu bingwa ya...
3 Reactions
0 Replies
856 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Rafiki yangu mpendwa, Ule ushauri maarufu kabisa wa nenda shule, soma kwa bidii, faulu vizuri na utapata kazi ya uhahika, inayolipa vizuri na kukuwezesha kuwa na maisha mazuri, haufanyi tena...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Upvote 20
  • Suggestion Suggestion
Je ulishawahi kujiuliza familia inayoibiwa mtoto inaishi katika mateso ya namna gani? Usiombe yakukute! Ukiweza yaepuke kwa kuchukua tahadhari zote. Sisi tulinusurika kubadilishiwa mtoto akiwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Inclusive and sustainable development stipulated in Agenda 2063: The Africa We Want, will be illusory if we don’t effectively mitigate violent extremism which is gaining momentum in sub-Saharan...
2 Reactions
0 Replies
435 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
GEREZA NI SHULE YA UCHUMI Gereza ni sehemu au makazi ambapo wakosefu wa sheria za nchi Fulani wamekua wakiishi kwa ulinzi na uangalizi mkali. Inafahamika kua gereza ni sehemu ya kuadhibu watu...
1 Reactions
1 Replies
933 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
MITAJI / MIKOPO a) Wakopaji Kuna wadau wengi katika Jamvi letu wanakuwa na uhitaji wa pesa kwa wakati Fulani lakini hawana pa kuzipata. Pia sababu watu hatujuani ni vigumu kuaminiana ila JF...
3 Reactions
5 Replies
976 Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Chapisho hili limegawanyika katika sehemu kuu nne; 1. Utangulizi 2. Mapendekezo 3. Hitimisho UTANGULIZI Serikali kupitia wizara ya fedha ina jukumu kubwa la kuhakikisha pato la Taifa linaongezeka...
1 Reactions
0 Replies
419 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Habari wanajukwaa leo nitazungumzia suala la Elimu ya juu na umasikini hasa kwa vijana. Tunaelewa kua elimu ilipewa maana mbalimbali wwngine wakijaribu kusema kua elimu ni mwanga, Elimu ni...
1 Reactions
1 Replies
792 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
TANZANIA YA VIWANDA Kumekua na sera nzuri sana katika nchi ya Tanzania ambayo ina mtazamo chanya unaoweza kubadili taswira na ramani yote ya kiuchimi ulio dhalili na kua nchi yenye mafanikio...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom