Tanzania ni nchi katika dunia au Bara lá afrika ambayo ina kila rasilimali zinazohitajika katika maendeleo mfano madini,Ardhi nzuri, watu wachapakazi na vivutio vingi vya utalii
Pamoja na hayo...
Kilimo kama tunavyo fahamu ni moja ya sekta ambayo inagusa maisha ya zaidi ya asilimia 70%waishio mijini na vijijini nchini Tanzania. Na kama tunavyoelewa uchumi wa wakazi wengi waishio maeneo ya...
Watu maarufu waliowahi kula udongo.
Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima kijiko...
Nakusalimu ndugu usomaye makala hii. Makala hii haikusudii kumlazimisha mtu akubaliane na mtazamo ulioandikwa ndani yake, kila msomaji ana uhuru wa kukubali au kukataa chochote kilichoandikwa...
Disclaimer: This article is not written by a bongo flava star. Sorry to disappoint you. But I will quote Snoop Dogg and Rihanna somewhere in here. So calm down, it’ll get interesting.
Have you...
Na ISMAIL MAYUMBA
Kundi la vijana wakiwa kwenye mgahawa ambao ulio wazi kiasi cha wapita njia kuwaona. Vijana wakiwa wanakula chakula na kufurahi na hata pale walipotosheka na chakula bado...
Rashid Abdallah Makwiro mmoja kati ya wasanii bora zaidi wa Hip Hop nchini. Watu wengi hawawezi kulijua jina hili, huyu anafahamika kwa jina maarufu sana la Chid Benz.
Unamkumbuka Chid Benz...
Willis Austine Chimano, Bien Aime Baraza, Delvin Savara Mudigi na Polycarp Otieno ni wanamuziki kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Katika moja ya wimbo wao bora unaowavutia...
Can anyone imagine how many students graduate Universities and go back homes with full of books and hand-outs in their heads but with no any idea neither skills of how to fight the poverty in...
Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka...
Hali ilivyo:-
1.Watanzania waishio nje.
Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya...
Uhaba wa walimu.
Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za...
Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya...
Kwanza nianze kwa kusema napendezwa sana na vijana wanaothubutu kufanya vitu tofauti na ilivyozoeleka. Mfano kuna dada mmoja huwa namuona mitaa ya Mikocheni kwa Mwalimu anauza miwa, anakuwa na...
Tuanze kwa kusema nini maana ya mfumo wa elimu.
Mfumo rasmi wa Elimu kwa Tanzania, ni njia kuu ya kutoa huduma za masomo ya elimu kuanzia elimu ya awali hadi Chuo Kikuu. Mfumo wa elimu kwa...
Ili kukuza uchumi wa viwanda nchini na ili viwanda viendelee kuwepo, kuzalisha na kutengeneza ajira kwa watanzania ni lazma yafuatayo yatekelezwe;
Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji, kama...
Salaam Wakuu.
Kwanza kabisa kila mmoja anafahamu
Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao...
Je, huna mtaji na ungependa kujiajiri?
Je, una wazo zuri la mradi au biashara lakini hujui uanzie wapi sababu ya kipato? Leo nitakufungulia njia kidogo na kukupa mwangaza!
Leo hii ningependa...
Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es...
Habarini wakuu.Maisha yana funzo kubwa sana,ukiwa na roho nyepesi waweza kukata tamaa.
Ilikuwa ni siku ya jumamosi asubuhi,mwezi wa kumi mwaka 2019,miezi miwili tangu nihitimu shahada yangu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.