Siku zote kinachotufanya tushindwe maishani, ni ile tabia kujiona mdogo na hivyo huwezi kufanya chochote.
Pale unapojichukulia kuwa wewe ni mdogo, huna sifa, ni dhaifu, na huwezi kufanya Jambo...
Moja kati ya changamoto inayowasumbua wajasiliamari chipukizi ni kushindwa kutambua kutambua namna bora ya kukuza biashara/kampuni zao na kuwa zenye mafanikio makubwa.
Wengi wao hushindwa...
Habari zenu wana JamiiForums?
Natumaini mpo wazima..? Poleni na tozo za miamala.
Leo nawaletea andiko linaloelezea vyeti vya utafutaji kitaani. Yaani huku vyeti unakua navyo katika kichwa chako...
Habara za siku wa ndugu..?
Napenda kuwapa haka kaandiko tena tujifunze kidogo kupitia maendeleo ya wenzetu wa bara ulaya. Andiko hili litaangazia baadhi ya mapinduzi yaliyotekelezeka kule ulaya...
Napenda Kuihusia nafsi Yangu kama ninavyokuhusia wewe hapa Leo.
Kwenye maisha yako ya sasa unayoishi leo,na utakayoishi kesho,keshokutwa na Milele Usije ukaamini MTU.
Usiamini mtu wa Aina yoyote...
"Fahari ya kijana ipo katika nguvu zake na uzuri wa mzee ni kichwa chenye mvi (Mithali 20:29)."
Tambua kuwa ujana huishi katika maono na uzee katika kumbukumbu. Yote haya yako chini ya WAKATI...
Hivi tumewahi kuchukua sekunde zetu chache kutafakari namna watu wanayaishi maisha ya hatari na ya kutisha siku hizi?
Namna watu wanavyouana kinyama kwa sababu ya mapenzi, mali za urithi...
Muelekeo wa uchumi na tozo (uchumi kipofu)
Ebu tukae tulizungumze hili kwanza,
Kinachoendelea
Julai 1, 2021 serikali ilitangaza ongezeko la shilingi mia kwa kila lita moja ya mafuta.
julai...
Kwa zaidi ya miaka kumi wananchi wa kata ya Makowo iliyopo Mkoani Njombe, wamekuwa wakiishi bila kupata huduma stahiki za Afya kutokana na kukosekana kwa miundombinu rafiki katika kata hiyo...
Nyumba iliyo karibu kusombwa na Bahari, kijiji cha Mdimni wilayani Mkuranga.
Na Mwandishi Wetu
Maisha ya wakazi wa Kijiji cha Mdimni kilichopo wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, yapo...
Neno Demokrasia linamaanisha utawala wa watu (chanzo ; kamusi huru). Ili demokrasia iwepo wanahitajika watu wenye kuanzisha utawala wao ambao utawaongoza kwenye nyanja mbalimbali katika jamii...
Mataifa mengi duniani yamekumbwa na msukumo wa nje na hata wa ndani wa kuleta mabadiriko katika uongozi wa uma. Na madai ya kuataka mabadiriko yanatoka katika vyanzo mbalimbali ikihusisha Wananchi...
Change is Permanent.
Scholars aver; nothing is permanent except change. The only constant is change. Change is the only constant. Change alone is unchanging: thus, “Change is constant" means that...
Asubuhi ya jumatatu ya tarehe 26 Julai 2021 ilinikuta nikiwa kwenye ufukwe wa Coco,macho yangu yalikuwa yanaitazama fukwe hiyo maarufu nchini huku upepo mkali ukivuma kutokea baharini,meli na boti...
Neno Tozo kwa siku za hivi karibuni limekuwa kama wimbo unaoimbwa na kila mtanzania wa kila hali, hivi sasa tozo za maiamala ya simu hata tozo za majengo ni jambo la kuumiza na selikali imetoa...
Niliwahi kuja na andiko humu nikionesha huzuni yangu juu ya Kiongozi mmoja wa juu tena mwenye hadhi ya Udaktari aliyekuwa anaithibitishia Jamii kwamba kuna Mama kutoka eneo moja la nchi aliyekuwa...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Neno "Rushwa" linaweza kuelezwa na kufafanuliwa kwa tafsiri tofauti tofauti, lakini tafsiri rahisi na nyepesi ya neno rushwa, ni kitu au fedha inayotolewa kwa mtu...
[emoji625]Mtu yeyote anapokuwa kwenye mitandao ya kijamii hufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kutafuta, (Search) kupenda (like) au kusambaza (Share or Repost) kupakia ( upload) taarifa mbalimbali...
Teknolojia ni sayansi au maarifa yaliyowekwa katika matumizi ya vitendo kusuluhisha shida au kubuni zana muhimu kwa kutumia mbinu, njia au njia za kimfumo za kutatua shida. Teknolojia nyingi za...
Mara nyingi hutokea kwamba umma mkubwa unatupita sisi na una hamu zaidi ya kusonga mbele hatua moja na kwamba juu ya yote hayo viongozi wetu hawafaulu kuwa viongozi wa umma mkubwa bali wanafuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.