Tatizo la ajira linazidi kuwa janga kubwa sana afrika na dunia na soko la ajira zitazidi kuwa baya zaidi miaka kadhaa baadaye baada ya dunia kuendelea kuamini juu teknolojia ya roboti kuliko...
Mambo vipi wakuu, leo katika jukwaa hili nitaorodhesha kazi ambazo unaweza kuzifanya mtandaoni na ukapata kipato kizuri.
Bila kupoteza muda, katika ulimwengu wa leo, teknolojia imekwenda mbele...
1:ELIMU DUNI YA TANZANIA
What is education?? Is the process of facilitating or the acquisition of knowledge, skills,values,morals,beliefs and habits!!so my betlief ni lwamba elimu ipo in...
Leo naandika kuhusu nchi yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na vipi iwekeze kwa vijana wa taifa letu.
Andiko litaelezea katika sehemu tatu utangulizi ambapo nitatoa maelezo kidogo juu ya...
Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa kupata fursa kama hii katika kukuza na kukifikisha mbali kiswahili
Inatia moyo kuwa kumbe bado watu wanamapenzi ya dhati na lugha yetu ya kiswahili...
Posa ni kitu chenye thamani ambacho hutolewa katika familia ya mwanamke na kundi la watu wenye lengo la kuthibitisha uwepo wa ndoa kutoka kwa mwanaume.
Katika karne hii ya 21, kundi la wazandiki...
Probably huna hela/mtaji mkubwa wa kufanya biashara, hiyo haitakiwi kukuzuia usitajirike Kuna namna 'nature' inaweza kukuAccomodate kwa kdg ulichonacho kupitia
MINYORORO YA THAMANI
1. Kama kuna...
Rejea katika historia
Hii ni kinyume kidogo Na utaratibu tuliozoea kusikia au kushauriwa na wataalamu Wa kiuchumi au wahamasishaji,motivational speakers. Dhana ya kuweka akiba imekuwa ikielezwa...
Na Prof Sankara
Kitu gani unazingatia unapo nunua matunda?, ukubwa, rangi, utamu urahisi wa bei au mazingira yanapouzwa?.
Kwa asili kila biandamu hupenda huduma bora, hata hivyo kulingana na...
Nianze kwa kurejea maneno ya waheshimiwa majaji katika kesi ya rufaa No. 175 ya Mwaka 2010 ya JUSTINE KAKURU KASUSURA VS REPUBLIC ambapo majaji walisema hivi “Kwa heshima zote tunapenda...
"With references from the movie Coming 2 America"
From the movie coming 2 America i have learned that unity between actors,comics and musicians can lead to the making of something big and as in...
“TANZANIA’S CAPITAL MARKETS.”
(ANOTHER UNEXPLOITED RESOURCE)
Tanzania being a lower middle-income country, as of July 2020 according to the World Bank; is trying to its...
Leader is a person who have influential power over other people and which is rule other people, suppose I am a leader and I get time to talk with my fellow leaders inside and outside my country, I...
Utangulizi
Binafsi nafurahi kuona vijana wengi wakike na wakiume wakijiongeza kiuchumi kwa kujiunga na ujasiriamali. Wameichagua moja ya njia inayoweza kutumika kupunguza tatizo la ukosefu wa...
Ni kitu cha kushangaza mpaka leo huu mfumo wa kutoa mahali bado unaendelea. Tumefundishwa tokea tulivyo kuwa shule ya msingi ya kuwa mahali sio nzuri kwa mwanamke, inashusha thamani yake katika...
AIBU YAKO UMASKINI WAKO
Aibu na Umaskini, Vijana wengi tumekumbwa na changamoto ya aibu na kutupa wakati mgumu tutaanzaje kukabiliana na maisha hasa kwa wale walio jaliwa kupata elimu na kuhitimu...
Mwaka 2017 wakati nakaribia kumaliza masomo ya shahada yangu ya kwanza pale chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA) nilipata nafasi ya kipekee sana ya kuhubiri mbele ya wanfunzi wenzangu na baadhi...
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Namueleza mchumi kama mtaalamu ambaye kesho atajua kwanini vitu alivyotabiri jana havijatokea leo. Mjasiriamali...
Tanzania ni moja kati ya nchi masikini Duniani kwenye kundi hilo tupo na Burundi, Sudan Kusini, Niger, Msumbiji pamoja na nchi nyingine nyingi. Nchi hizi masikini Duniani zina sifa zinazofanana...
Thomas Edison ni mgunduzi na muasisi wa kanuni za msingi za umeme aliyeishi kati ya mwaka 1847-1931. Wakati Thomas akiwa shule ya msingi walimu wake walisema ni mjinga na hana uwezo wa kujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.