Na Elivius Athanas.
0745937016.
Nchi nyingi za Kiafrika zimeendelea kuwa tegemezi Barani Ulaya, Amerika, Asia na Mataifa mengine toka Mabara ya nje.
Serikali nyingi za Afrika, zimeendelea...
Kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na mabadiliko ya jamii kiujumla nilazima kuwepo na namna ya kubadili mfumo mzima wa elimu hasa katika kupunguza idadi ya miaka ambayo wanafunzi hutumia...
Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya...
Utimamu wa kiongozi bora ni kuwa na kichwa chenye ubongo wa hekima, unaowaza, unoainisha, unaochambua, na kuweza kufanya tathimini. Vile vile ukamilifu wa kiongozi ni awe na kinywa chenye ulimi wa...
Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu bila ridhaa yake na kumletea madhara mbali mbali kimwili, kiakili au kisaikolojia. Na huweza kutokea kwa wanawake, wanaume, wavulana na wasichana...
Utangulizi:
Ndoa ni muunganiko wa hiari unaotokana na maridhiano baina ya mwanaume na mwanamke. Maridhiano haya hutoka moyoni kwa kila mmoja baada ya kuwa ameshawishika na kuridhika na mwenzake...
Mimi ni mwanakijiji kutoka kijiji kile kilicho staarabika, naam ndio ustaarabu huu ambao vijiji vingi kama si vyote juu ya ardhi hii ya ulimwengu huutumia, nakiri kwamba kijiji nitokacho husifiwa...
Kama umepata nafasi ya kuzaliwa , kusoma au kuishi katika mkoa wa Dar es Salaam, utakubaliana na Mimi ya kwamba wanafunzi hupata wakati mgumu Sana wakiwa wanaenda mashuleni siku za wiki hasa hasa...
Hello ,Mimi ni daktari mafunzoni ,karibu katika uzi wangu.
Punde tu baada ya wapenzi wawili kukutana kimwili wengi wazo la kwanza kuja kichwani ikiwa hawajapanga kuwa na mtoto huwa ni P2(morning...
Sakata la chanjo ya UVIKO-19 linazidi kupata sura mpya kila kukicha huku uamuzi wa kuchanjwa ama kutochanjwa ukizidi kuwa na sintofahamu nyingi. Nia ya Makala hii leo sio kushawishi watu kuchanjwa...
Elimu ya kutunza pesa wengi wetu imetushinda. Hakuna umasikini mbaya kama kujutia maisha yaliyopita, kama ungetumia pesa vizuri ungefika mbali. Hii elimu ni muhimu kuwafundisha watoto. Wakipata...
UTANGULIZI
Pamekuwa na mijadala na minong’ono mingi juu ya kuporomoka kwa uelewa wa lugha ya kiingereza. Tafiti mbalimbali zimefanywa na watu pamoja na taasisi mbalimbali zikionyesha kushuka kwa...
Maana ya baadhi ya maneno
Application
Mfumo ambao hutumika kwa shughuli husika
Android application
Mfumo unaofanyakazi kwenye simu zinazotumia OS ya android
Apple application
Mfumo...
JE, NINA WEZA KUTUMIA JUISI BADALA YA MATUNDA?
Inashauriwa kula tunda halisi badala ya kunywa juisi ya matunda halisi,kwani matunda yana nyuzinyuzi kwa wingi na hivyo husaidia kuongeza makapi mlo...
Hakuna njia panya ya kwenda mahali pa thamani.
Ndugu zangu sikuzote mafanikio yanakuja kwa kujituma kwa bidii sana unatakiwa ujitoe ili ufanikiwe Mafanikio ni kutembeakutoka kutofaulu hadi...
Habari zenu wanajamii forum? Leo nataka nigusie swala la ndoa hususani matayarisho yanayofanywa kabla ya kuingia huko.
Ndoa ni muungano wa mume na mke katika mwili na roho. Wawili hawa wanapokaa...
Habari ewe mwanadamu.
Ninamshukuru Mungu kwaajili yako, pole pia kama upo katika magumu yoyote kwa fikra na macho ya kibinaadamu.
Moja kwa moja niende kwenye kusudi la kuanzisha nyuzi hii ambayo...
Nawasalimu wote mliopo kwenye Mtandao huu wenye Uhuru wa kujieleza.
Nimechukua fursa hii kuja na Mada ya kuomba sayansi ya kilimo kurudishwa Mashuleni kuanzia elimu ya msingi Hadi Sekondari...
SIRI YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YA BINADAMU
NA: NESTER REUBEN
'Unazo nguvu za kujidhuru au kutojidhuru mwenyewe kama utachagua kutokuwa na furaha hakuna mtu anayeweza kukufanya ufurahi''
Angalia...
Wanafunzi wengi wanapokwenda chuo, huwa na mitazamo chanya kabisa juu ya maisha yao ya chuo yatakavyokuwa ikiwa ni pamoja na ndoto hadithi za ndugu na jamaaa marafiki waliowahi kuwa wanachuo kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.