Kujiajiri ni kinyume cha kuajiriwa. Yani mtu kufanya kazi fulani kwalengo la kujipatia kipato, Mtu wa ngazi yeyote ya elimu anaweza kujiajiri mradi tu anaufahamu wa kile anachotaka kukifanya...
GIRL ON FIRE.
"OUR HISTORY IS NOT OUR DESTINY".
In Tanzania, truer words have never been spoken!
27th January 1960, was just a regular Wednesday, a bouncing baby girl was born in Makunduchi...
At all times Changes is a choice between alternative's and always changes comes with changes,if you can not change the way things are done you can not expect changes in outcome and lastly “The...
Antimicrobial resistance (AMR) or drug resistance is the ability of a microbe to resist the effects of medication that once could successfully treat the microbe. It happens when microorganisms...
TAALUMA ZIHESHIMIWE MAENDELEO YAPATIKANE.
Kwanza kabisa tujiulize maswali mawili, Taaluma ni nini na maendeleo ni nini?.
Taaluma ni ujuzi ambao mtu ameupata kutokana na mafunzo maalumu ya elimu...
Twenty years ago, I started a journey—a journey of searching for truth. I had to. I’d graduated from the university a couple of years earlier and had a “good” job, but I was by no means contented...
Biashara ya upatu, ni uchangishaji fedha unaoweza kuendeshwa na mtu au kampuni kwa ahadi ya kuwapatia faida kubwa baada ya kipindi kifupi.
Baadhi ya makampuni hujificha katika kivuli cha kuuza...
Vyombo vya habari vimekuwepo kwa karne na karne tangu kuanza kugunduliwa kwa teknolojia ya habari na mawasiliano, vikiwa na kazi kubwa ya kuhabarisha umma, na kuimulika jamii kiujumla. hata hivyo...
Je Kiswahili ni bidhaa? Kwa vipi Kiswahili kinaweza kuuzika?
Swala hili linaweza kuwa geni kwako hasa kama hujawahi kupata fursa yakutangamana kimazungumzo au maandishi ya manguli hawa walugha...
Picha na mtandao
Usuli
Biashara ni kitendo cha kubadilishana huduma au mali kwa fedha au huduma kwa huduma. Kwa kawaida kumekuwa na dhana kuwa ili mtu aweze kuanzisha biashara yeyote nilazima...
Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini
Habari wanajamvi,
Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni.
UTANGULIZI
Tunapozungumzia mimba za...
Habari zenu..?
Andiko hili litatoa mwanga kwa uchache kama sio wingi jinsi gani nchi za bara la Afrika zinavyoweza kuwa na uongozi bora kwa maendeleo ya jamii.
Andiko hili litagawanyika katika...
Katika mada iliyopita tulijaribu kuangalia ni jinsi gani jamii ina mchango mkubwa katika kuwasaidia watu wenye matatizo ya ugonjwa wa akili , pia tulijaribu kuonyesha ni kwa namna gani magonjwa ya...
Heko kwa mkandarasi yule tusiewahi kumuona, japo ndie muasisi wa vyote tunavyoviona, kuvisikia na kuvihisi. Ubora na wake ufanisi si vyepesi kuunena, tena abadan si rahisi kuuelezea kwa marefu...
My name is OTC. I am over the counter drug. I live in every street. I live in town and I live in villages. I live in urban areas and I live in rural areas. I am easily accessed but not frequently...
UTANGULIZI:
Hakutakua na daraja la kati, aminini nakuambieni,
Kesho yetu vijana wa sasa itakua ni ya madaraja mawili; aidha utakua maskini ama utakua tajiri.
Hakutakua na daraja la kati. Katika...
EMMANUEL STANSLAUS NKAYAMBA
Hili ni pendekezo langu kwa viongozi wa Taifa letu la Tanzania kuunda Jeshi la vijana wenye ujuzi na maarifa ya uzalishaji wa kilimo na ufugaji wa kisasa, na kisha...
Nukuu kutoka kwa Bibi;
Mjukuu wangu; pesa haitafutwi kama kutafuta mtu. Ni lazima uchimbe mfereji ambao utazileta kwako. Ukifanikiwa zitakuja kama maji,cha msingi wewe uwe mwisho wa mfereji ili...
Wafugaji ni kundi muhimu sana katika Duniani hii, bila wao hatupati nyama,maziwa,ngozi na mboleya ya samadi.
Kwa Tanzania makabila ambayo ni maarufu kwa ufugaji ni Wasukuma,wamasai,wataturu nk...
Karibu katika andiko hili muhimu juu ya utatuzi wa tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania. Andiko hili pia limejumuhisha takwimu muhimu za ajira nchini, sababu za ukosefu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.