SoC02 Threads

  • Suggestion Suggestion
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Zaidi ya asilimia 77 ya wakazi wa Tanzania ni vijana. Serikali ya Tanzania imezidi kupanua wigo kwa vijana kupata elimu, kwa kutoa elimu bila...
1 Reactions
3 Replies
859 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
"Kilimo ni moja kati ya sekta kwenye uchumi inayobeba sana maendeleo kwenye nchi yetu", ni kauli ambayo husikika ikisemwa na watu wengi hususani viongozi wa serikali. Ila kwangu mimi hapo mwanzo...
3 Reactions
3 Replies
676 Views
Upvote 8
  • Suggestion Suggestion
Kauli tata ilitoka kinywani mwa aliyekuwa Raisi wa Marekani awamu iliyopita Bwana Donald Trump ambayo ilisababisha taharuki na tafrani miongoni mwa wengi wapenda haki na amani duniani hasa kutoka...
1 Reactions
0 Replies
332 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kama Wahenga wetu walivyosema'Ndege anayetaka kutua kwenye bua la mtama ale sharti Kwanza atue kwenye mti wa pembeni ili aone vizuri bua lenye mtama mzuri'. Kujitolea ni Hali ya kufanya...
2 Reactions
0 Replies
502 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
UWAJIBIKAJI Uwajibikaji ni hali au kitendo cha kuchukua hatua kutekeleza majukumu mbalimbali uliyo kabidhiwa na watu kimaandishi au kimaneno au kujikabidhi mwenyewe binafsi. Uwajibikaji ni dhana...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
i) Kupata wazo kutokana na taaluma yako; wazo la biashara linaweza kutokana na taaluma yako. Unaweza kuangalia fursa zilizopo katika taaluma yako kwa maana ya fani ambayo ulisomea au ile ambayo...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
kwanini tunafanya biashara? Mfanya biashra ambae hufanikiwa ni mfanya biashara ambaye huanzisha biashara akiwa amejiwekea malengo yake binafsi. Malengo aliyojiwekea mfanya biashara ndicho kitu...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Wazo la kibiashara ni nini? Mawazo ya kibiashara ni mawazo aliyo nayo mfanyabiashara au mtu yoyote kunilngana na mtazamo wake juu ya biashara na biashara anayotaka kuifanya. Mawazo ya kibiashara...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Maana ya sensa: Ni utaratibu wa kitakwimu wa kuhesabu, kuchambua na kutunza kumbukumbu za watu na makazi. Kwa mjibu wa sensa nchini Tanzania, ilianza baada ya nchi kupata uhuru. Hivyo imekuwa Kila...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ni katika mpangilio wa sayari saba zenye kupendeza ambako inapatikana sayari moja inayoitwa dunia na ndani ya hiyo dunia kukiwa na mabara yapatayo saba(7) basi kati ya hayo mabara linapatikana...
93 Reactions
38 Replies
3K Views
Upvote 172
  • Suggestion Suggestion
Mtunzi wa Shairi- Anna Meleiya Mbise (annambise2015@gmail.com) Jina la Shairi – Mwarubaini wa Haki Mwarubaini wa Haki 1. Amani tunda la haki, kukua lataka wote, Wenye viti nazo dhiki, pamoja...
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ama kweli unanipenda sana, ama kweli unaniwaza sana, ama kweli unanitafuta sana lakini unawaza mbona hunipati? Nimeamua kutoka mafichoni unapo nitafuta nikujie kwa maana kiu yako ni kubwa sana...
2 Reactions
1 Replies
663 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mada Kuu: MISINGI YA UKUAJI KIUCHUMI KWA MTAZAMO NA UZOEFU WANGU. Nimefurahi kupata nafasi ya kueleza jambo kuhusu uchumi kwasababu binafsi nimejikita katika shughuli za kiuchumi kwa muda mrefu...
1 Reactions
5 Replies
647 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
ILI NCHI IENDELEE, INAHITAJI MAPATO. Pato la taifa linachangiwa na vyanzo kama vile viwanda, kilimo, madini, uvuvi, usafirishaji, utalii, kodi, ushuru, na tozo mbalimbali. Kwa Sasa hebu...
1 Reactions
0 Replies
406 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Katika jamii zetu za kitanzania kwa sasa utakuwa shahidi wewe mwenyewe kuona kwa jinsi gani ongezeko la watoto wanaolelewa na mzazi mmoja, sababu za zinawezakuwa ni KIFO cha mzazi mmoja au...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata...
4 Reactions
3 Replies
581 Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
Bado hakuchoka, bwana Kingambe aliendelea kupambana katika kutafuta maisha. Hakusahau kuhusu mambo ya ubunifu. Akaja na jambo la ajabu zaidi la vocha zenye tarakimu 4. Hili aliliwaza baada ya...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UKATILI KWA WATOTO Ukatili kwa watoto hufanya kwenye jamii zetu pamoja na majumbani hujumuisha ukatili wa kisaikolojia kimwili ,vitisho ,ukatili wa kingono. Ukatili unaweza kutokea kwa Watoto wa...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Sera za kigeni za mataifa makubwa kwa madogo kwa kuzingatia maitaji yao kimaendeleo na kiuchumi,zimejikita katika kutengeneza uhusiano mzuri katika uwanja wa mahusiano ya...
0 Reactions
2 Replies
624 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom