UTANGULIZI
Imepita takribani miaka sitini tangu Watanzania tupate uhuru mwaka 1961 chini ya baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na sasa ni awamu ya sita chini ya rais wa Jamhhuri ya...
MCHANGO WA MITANDAO YA KIJAMII KWA VIJANA
Karne ya 21 ni karne ambayo kumekuwa na mabadiriko makubwa katika maisha ya binadamu katika nyanja mbalimbali kama vile kiuchumi, kijamii, kisiasa na...
Tanzania nchi yangu, naipenda nchi yangu TANZANIA.
Kwa sasa nchi yetu inaenda kufanya zoezi la muhimu mno la kujua idadi ya watu,maeneo wanayoishi na hali zao kwa ujumla.
Kwa umuhimu huu napenda...
Habari wanajamii. Natumaini nyote mu wazima.
Kwa majina naitwa Godwin Nyalusi.
Leo hii nimechukua hii fursa na nafasi niliyoipata kuwajuza na kuwashirikisha kile nilicho nacho.
Ni maisha yangu...
Habari kwa kila mmoja.
Andiko hili linachochea mabadiliko kwenye nyaja za elimu ,biashara/uchumi/ujasiriamali, afya, utawala bora, demokrasia, kilimo, sayansi na teknolojia.
ELIMU
Ili kuchochea...
Mnyororo wa thamani (Value Chain) ni mfumo mzima wa uzalishaji, usindikaji na uuzaji wa bidhaa haswa za kilimo na ufugaji (agriculture products).
Kama ilivyokuwa zamani tuliwahi kuiishi kauli...
Utangulizi:
Nchini Tanzania, Mtoto ni binadamu mwenye umri chini ya miaka 18, Ni tafsiri kutoka sheria ya watoto ya mwaka 2009, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019, sehemu ya pili, kifungu cha...
Kuna Wimbi kubwa sana la Vijana mtaani wanaomaliza masomo yao katika Ngazi mbalimbali za Elimu lakini vijana hao wapo mtaani wakihaha na Kuwaza ni lini watapata Ajira Rasmi, Ilhali wapo Vijana...
Ndugu msomaji wa makala hii, kwanza napenda kukukaribisha katika kuchanganua mawazo yetu kwa namna Moja ama nyingine Ili tu kujenga weredi na utashi wa maarifa yetu kupitia jamvi hili ambapo...
Mfumo wa kielektroniki wa malipo ya fedha
Mfumo wa malipo ya fedha (miamala) kwa njia ya kimtandao huu ni mfumo chanya ambao utawezaa kusaidia katika ongezeko la uchumi, pato kwa...
Utawala bora ni utendaji au uongozi wenye kuleta tija na manufaa kwa maendeleo ya nchi na wananchi wake, na kwa uharisia utawala bora hudumisha upendo na uhusiano baina ya serikali na wananchi...
Jukumu la kupunguza uhalifu na wahalifu ni jukumu la jamii nzima. Mkuu wa Jeshi la polisi aliye maliza muda wake CPF (CHIEF OF POLISI FORCE) marufu kama IGP (INSP GERAL OF POLICE), SIMON NYANKORO...
UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA
Kwa miaka ya hivi karibuni utolewaji wa elimu nchini ya Tanzania umeimarika sana ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo serikali na taasisi binafsi zinapigania vyema...
Mafanikio ya binadamu yeyote hutegemea namma anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini na kuyatamani. Wakati maarifa ni zao la teknolojia iliyopo, maono hutokana na mitazamo na...
JE, NCHI YETU MALI YA NANI?
Nikiwa kijana niliyehitimu Elimu ya Chuo kikuu mwaka huu wa 2022 katika shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma. Nilitumia muda wangu mwingi kujifunza kuhusu...
Hili ni andiko juu ya sensa na makazi KUHUSU kuwepo kwa uwazi wa zoezi lenyewe.
Nimeamua kukumbushia hili maana tayari zimebakia siku 7 tu ili wananchi wapate kuhesabiwa.
Zoezi hili Lina manufaa...
Kalamu ya uandishi wangu inakusanya maono ya fikra, hisia, mawazo na shauku ya msomaji mwenye ari ya kutaka kufahamu kichwa cha makala hii kinalenga nini hasa? na je, makala hii inanigusa? na...
SERA YA ELIMU IMESIMAMA IMARA, MAKANDOKANDO KATIKA ELIMU YETU YANATOKA WAPI?
Kuna mambo kadhaa ambayo yanatakiwa kuangaliwa kwa macho matatu na wizara ya elimu, sayansi na teknolojia. Mwaka 1961...
MAANDALIZI YAKO; MAFANIKIO YAKO
Maisha ni mnyororo wa matukio. La leo litazaa la kesho, na la kesho litazaa kesho kutwa yake, hadi mwisho. Japokua sisi tunapita tu, maandalizi yanaweza tupatia...
Asili ya mwanadamu ameumbwa na MUNGU na akajaaliwa kuwa na neema tofautitofauti katika mwili wake. Neema hizi amepewa mwanadamu ili apate urahisi katika kuendesha maisha yake hapa ulimwenguni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.