Ni ukweli uliowazi kwamba jina Reginald Mengi sio jina geni Hapa, kila mmoja alimjua au kumfahamu kwa namna yake, hata kama hukuwahi kuwa karibu naye, kama mimi ninayeandika haya, lakini...
Imani ni hakika na bayana ya mambo yatarajiwayo, ni kuwa na hakika na jambo kutokea au kutimilika pasipo shaka. Kila mtu amekuwa na kile anachokiamini, japo kuwa sote tunaamini uwepo wa Mungu. Ni...
UTAFITI WA KISAYANSI KWA VITENDO
Mama: Selvina nenda kalale kesho shule
Selvina: mama bado kidogo ndio inaishia
Mama: kalale haraka kabla sijafika apo kupiga
Selvina alizima TV na kwenda kulala...
MAKALA: SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Miaka 200 iliopita yaani mwaka 1822 hakukuwa na kiwango kikubwa cha maendeleo ya sayansi na teknolojia. Nchi nyingi duniani hazikujua kuna jambo gani linaloendelea...
UTANGULIZI.
Tupo katika zama za utandawazi; Sayansi na teknolojia imechukua nafasi kubwa Sana katika ulimwengu huu wa Sasa hususan katika shughuli mbalimbali za uzalishaji wa kiuchumi, mambo ya...
Muhtasari wa somo ni kitabu ambacho kinamuelekeza mwalimu jinsi ya kufundisha mada husika,njia ambazo mwalimu anatakiwa kuzitumia wakati wa ufundishaji ,dhana au vifaa ambavyo vinahitajika wakati...
Maana halisi ya elimu
Elimu ni tendo la uzoefu wenye athari ya kujenga akili tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi,vile vile tunaweza kusema elimu ni mafunzo tunayopata kutoka kwa watu...
UTANGULIZI
kwa mtaji wa milioni 5 unaweza kujikwa mua kichumi kwa kuanzisha mradi wa uuzaji wa vipuri na virainishi vya pikiki almaarufu bodaboda kwa maeneo ya pembezoni mwa miji(mji)...
UTANGULIZI.
Sekta ya kilimo ni moja ya sekta muhimu na tegemezi kwa uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara kupitia ardhi. Kwa Tanzania asilimia kubwa ya ardhi yake hutumiwa kwa kilimo cha...
VYOMBO VYA HABARI NA SHERIA NCHINI TANZANIA
Tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani, vyanzo vya habari vikuu vilikuwa ni Televisheni, Redio na...
MAISHA MAPYA YA TEKNOLOJIA
Daah!!! Alishtuka ghafla na kushika simu yake iliyoingia ujumbe ambao ulimpa mawazo na kumnyima usingizi, ilikuwa mida ya saa nane usiku. Ujumbe huo ulimueleza kuhusu...
ELIMU YA AFYA YA MAKAZINI
Ni taaluma ya kisayansi inayoshughulikia uzuiaji WA magonjwa/ majeraha yanayo husiana na kazi.
-Afya ya kazini inahusisha kukuza na kudumisha kiwango cha juu zaidi cha...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeainisha kuwa "kusitasita kwa jamii katika masuala ya chanjo" kumekua ni tishio kubwa kwa afya duniani. Hii husababishwa na watu kukataa au kuchelewa kuchanjwa...
Urithishaji wa maarifa na uwajibikaji katika familia
Uwajibijikaji kwa tafsiri ya kikamusi ni kitendo cha mtu mwenye wadhifa kuchukua dhamana ya kosa lililofanywa ama na yeye mwenyewe au mtu...
Mafanikio ya binadamu yeyote yanategemea namna anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini. Wakati maarifa yanaambatana na teknolojia iliyopo, Imani ni maono ya fikra za dini, falsafa...
Ukisikia kisiwa basi wote tunafahamu kuwa ni sehemu ya nchi kavu iliyozungukwa na maji. La hasha sio hivyo. Plastc Pacific Garbage Patch ni kisiwa kilichojitengeneza kutokana na kurundamana kwa...
Elimu ni nguzo muhimu inayohitajika katika kujenga maendeleo ya taifa lolote duiani. Halikadhalika kwa nchi yetu ya Tanzania, elimu ni msingi mkubwa unaohitajiwa.
Lakini kwa masikitiko makubwa...
Tanzania imebarikiwa watu wengi wenye vipaji mbalimbali vya ubunifu ila tumekuwa tukiwadharau na kuwashusha pale wanapojaribu kuziendeleza ndoto zao kwa dhana ya kusema "hiyo akili kubwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.