Ngazi ni kifaa muhimu kinacho msaidia mtu kupanda na kufikia mahali anapohitaji. Mtu anaweza kutumia kupanda kuelekea juu au kushuka chini, ngazi hutumika sana wakati wa ujenzi, kama vile nyumba...
SAYANSI NA TEKNOLOJIA TANZANIA
Katika nchi yetu ya Tanzania sayansi na teknolojia imekua chini sana na imekua vigumu katika kuboresha sayansi na teknolojia kwani nchi nyingi za afrika tupo nyuma...
Uhaba wa walimu.
Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za...
TUPO KATIKA DUNIA YA MASHINDANO, WASHINDI NA WATU WAO NDIO WATAPATA RAHA NA AMANI YA DUNIA.
Maisha yetu ya kila siku yanahusisha harakati tofautitofauti ambazo tunazifanya katika mazingira...
Mada kuu: UWAJIBIKAJI
Uwajibikaji ni hali ya kutimiza majukumu bila shuruti. Uwajibikaji unahusisha kufanya kazi kwa bidii, kujitoa katika shughuli za kijamii, kutunza familia na kulitumikia...
Upendo ni muunganiko was hisia,akili na tabia
Kuna Aina name za upendo
1 hakuna upendo
Ni Aina ya mahusiano ya KIMAPENZI ambayo hakuna mtyu anapenda mwezake
2 urafiki
Ni Aina ya upendo ambao...
Kama ambavyo Jasusi anahakikisha anaifanya kazi yake kwa uweledi ndani au hata Nje ya mipaka ya Taifa lake ili kuifanya NCHI yake iwe mahala salama na penye maendeleo ya uhakika dhidi ya wazandiki...
Kiswahili ni miongoni mwa lugha za kibantu zinazokua kwa kasi barani Afrika na duniani kwa ujamla ikiwa na watumiaji zaidi ya milioni 120 Kama alivyosema Audrey Azoulay " ikiwa na wazungumzaji...
Elimu ni tendo la kupata maarifa, ujuzi na maadili anayorithishwa mtu au watu kutoka katika mazingira yanayo mzunguka, kutoka kizazi kimoja hadi kingine .Enzi za mkoloni nchini elimu dhumuni lake...
Hatimaye!, usiku wa deni haukawii kukucha. Ujumbe kutoka kwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kumsihi kila mtazania mwenye simu ya mkononi kushiriki sensa kikamilifu umenifikia. Nipo...
Matatizo ya afya ya akili ni nini?
Ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikra, na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za...
Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima.
Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla...
Nianze Kwa kusema “kwa kuwa uliamini hivyo ndiyo Maana hujapata, umechelewa sana kupata au hujapata Ile Ajira unayoihitaji”.
Hapa kwanza tuliza akili ili uweze kupokea kitu, hasa vijana. Napenda...
JANGA LA NJAA MPWAPWA
Mpwapwa ni wilaya inayopatikana mkoani Dodoma nchini Tanzania , ni wilaya yenye ardhi iinayosifika zaidi Kwa kilimo kikubwa Cha mazao ya biashata na chakula . Baadhi ya...
UTANGULIZI
Tanzania ni miongoni mwa nchi nyingi zilizoko kusini mwa Jangwa la Sahara ambazo zimepiga hatua kubwa katika suala la utoaji wa elimu kwa watu wake. Kwa miaka ya hivi karibuni...
MLO KAMILI KWA AFYA BORA.
Mlo kamili, ni mlo ulio na aina ya makundi ya chakula tofauti tofauti, vyenye virutubishi bola, ambavyo hupatia mwili afya iliyo bora. Mlo kamili unaudwa na makundi ya...
1. UTANGULIZI
Jamii ya Tanzania kama jamii nyingine za nchi za Afrika zenye historia ya kutawaliwa, inakumbwa na changamoto ya kustahimili maendeleo endelevu katika kila secta, iwe Elimu, Afya...
Babu yangu Mzee Mkulima alijulikana sana kijijini kutokana na jitihada zake katika kilimo. Ingawa jamii yetu ilikuwa na uchaguzi wa mazao ya kilimo, na tulipendelea haswa kahawa, ndizi na magimbi...
WAZO LA UCHAKATAJI WA MAFUTA YA KUPIKIA KWA KUTUMIA TUNDA LA PARACHICHI.
UTANGULIZI.
Kutokana na uhaba wa mafuta ya taa, gesi asilia, petroli na diseli Ulimwenguni kote iliyosababishwa na...
Elimu ni kitu muhimu sana kwetu sisi sote katika nchi yetu na dunia nzima kwa ujumla wake, kupitia elimu tunaweza kua na uwezo wa kufanya vitu vingi vyenye kuleta tija katika jamii zetu maana hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.