SoC02 Threads

  • Suggestion Suggestion
Kwakuwa nna uzoefu mzuri na wa mda mrefu sasa na bado naendelea kusoma nitoe mtazamo wangu. Mimi ni bint na nasoma kidato cha sita sasa katika elimu yangu nimesoma shule zote za serikali mpaka...
1 Reactions
0 Replies
552 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
EDUCATION IS KEY OF LIFE ______________ Godson Kitomary Tunapozungumzia swala la "ELIMU" Kuwa "UFUNGUO" Wa maisha tunazungumza kijana kuweza kujitegemea mwenyewe na kusimama katika harakati za...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra kusikia mijadala inayohusu uwezo wa mwanamke katika kuongoza, ilionekana mwanaume ndiye anafaa. Dhana hii inazidi kukosa mashiko kadiri siku zinavyokwenda kutokana...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Chagamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini imekuwa ni tatizo sugu ambapo kama lisipotafutiwa ufumbuzi basi linaweza kulitumbukiza taifa katika dimbwi la unyang’anyi na...
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Kwa kipindi kirefu kumekuwa na changamoto ya ushiriki wa wananchi katika kufuatilia na kuwajibisha viongozi wa serikali katika jamii zao. Hii imepelekea ufujaji wa radimali za umma...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Mabadiliko ya haraka na kuongezeka kwa utata(complexity) wa dunia ya leo, huleta changamoto mpya na kuweka mahitaji mapya kwenye mfumo wetu wa elimu. Kwa ujumla, kumekuwa na mwamko...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
NI wazi kuwa Kasi ya maisha imekuwa Kali kiasi kwamba si baba Wala mama ambaye anataka kukaa nyumbani na kusubiri bili za mwisho wa mwezi kuanzia , umeme, maji,usafi,ulinzi,school bus fees n.k...
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi` Mazingira ni jumla ya ardhi, maji, hewa na kila kilichopo ndani yake, mwanadamu akiwa sehemu ya mazingira anawajibu mkubwa katika usimamizi wake. Aidha, mwanadamu ana mchango mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Giza totoro la usiku wa manane liliendelea kukumbatia kibanda alimoswekwa Marina, binti wa miaka kumi wa mzee Pakishu. Hakuwa amepata usingizi tangu aliposokomezwa humo na baba yake. Angepataje...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Paraphilias Hii ni tatizo ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI kwa kupitia vitu ambavyo sio binadamu,kwakuumizwa au kuumiza na kwa watoto Aina za paraphilias. 1 fetishistic Hili ni tatizo la...
1 Reactions
2 Replies
592 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI; Tangu utoto nimesikia usemi “elimu ni ufunguo wa maisha” Tunakuwa tukiwa na ndoto kubwa na kuamini elimu ndio ufunguo wao.Lakini je funguo zimebadilika au mlango umekuwa mbovu? Elimu...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Chakula, malazi na mavazi ni miongoni mwa mahitaji muhimu ya mwanaadamu kwa karne nyingi, ijapokua karne ya ishirini na moja imekua na ziada ya mahitaji ikiingiza gharama za elimu, afya pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022) UTANGULIZI Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye...
0 Reactions
1 Replies
616 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Babu yangu amenisimulia kuhusu athari zinazotokana na kupuuza mambo au kuchukulia "poa" kila kitu. Kupitia simulizi hii nataka nawe ujifunze, na ikibidi ikufanye kuwa mpya kabisa. Bwana mmoja...
1 Reactions
0 Replies
583 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kwa kutumia Upeo wa kati wa Ufahamu kuhusu Uchumi kwa Mujibu wa tunaowaita Wabobezi wa Masuala ya Uchumi, Tunautafsiri Uchumi kama ifuatavyo,UCHUMI ni Mahusiano yaliyopo kati ya Uzalishaji...
0 Reactions
2 Replies
419 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Habari za kazi wanajamvi, Leo hii nimeona niandike kuhusiana na umuhimu wa kuwepo kwa MAABARA za kufanyia majaribio mbalimbali katika Somo la sayansi kwa shule za msingi hapa nchini kwetu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
Kaka Shabani, ni kijana mwenye historia ndefu na ya kipekee katika maisha yetu ya siku hizi. Huyu ni mkaka anayemiliki pikipiki zipatazo ishirini na tano na viwanja katika maeneo mbalimbali...
0 Reactions
12 Replies
705 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tatizo la ajira nchini limekua kitendawili kwa muda mrefu sasa bila ya kupata majibu. Taasisi zetu za elimu hutoa wahitimu wengi ambao hutegemea ajira ili waweze kujikwamua kiuchumi. Takriban kila...
1 Reactions
1 Replies
524 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania! Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema anbayo imenipa fursa hii ya kuandika haya kwa manufaa ya ustawi wa nchi...
1 Reactions
0 Replies
528 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Mada kuu: Elimu Jina la mwandishi: Omary Frank Manispaa: Morogoro Mjini Mkoa: Morogoro Mawasiliano: 0767408787 Email: hamadiomary07@gmail.com KUHUSU MWANDISHI Omary Frank ni Mwalimu...
1 Reactions
8 Replies
490 Views
Upvote 4
Back
Top Bottom