SoC02 Threads

  • Suggestion Suggestion
“Sababu ya MOYO watu muhimu wamepotea” Nawasalimu wote wana ukurasa huu wa stories of change na wana Jamii Forum kwa ujumla. Leo kwa mara nyingine nawaletea habari nzuri ambayo haijasahulika sana...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Ndoa ndoano ni msemo wa muda mrefu sana ukimaanisha kuwa wawili waingiapo kwenye ndoa hawawezi kuachana na wanapaswa kuvumiliana katika hali zote za shida na raha.Ni kama wavuvi wanavyovua Samaki...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Habari wakurungwa wa Jamii Formu. Nakumbuka nilipokuwa mdogo yapata kama mtoto wa darasa la tatu hivi, siku moja nilikuwa na mzee wangu akaniambia jitahidi sana kusoma kwani elimu yako ndio...
2 Reactions
8 Replies
627 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kwa kitambo sasa nchi yetu imekua ikiamini kuwa kilimo ndio uti wa mgongo kwa ukuaji wa uchumi wa taifa letu. Lakini vijana wengi bado wanakosa moyo wa kuamua kufanya kilimo. Kila kukicha...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Mara baada ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani mwaka 2015 chini ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliamuru mara moja kuwa elimu itolewe bila malipo ikiwa ni utekelezwaji wa sera zake...
0 Reactions
2 Replies
433 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Moja ya majukumu yangu ni kuwasaidia wafiwa kuandaa nyaraka muhimu za mirathi na kuwapa ushauri ni namna gani wanaweza kulinda mali za wapendwa wao marehemu na haki za warithi wao kisheria pindi...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kilimo Kwa jamii nyingi hususani za kitanzania kinategemewa kuwa ukombozi mkubwa dhidi ya umaskini na hasa kwaajili ya maendeleo ya nchi kwa ujumla.Bado kuna utajiri wa ardhi katika nchi yetu...
1 Reactions
0 Replies
467 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Maisha yanabadilika jamii inaelimika na kupata maarifa mapya mbivu na mbichi sasa bila kikwazo tunajua kuzitofautisha, Ofisi ya Mbunge kila jimbo huwa ina mtu ambaye anafanya shughuli kwa niaba ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI. Ni miaka mingi sasa, kuna ukakasi katika mfanano wa Matokeo ya Kidato cha Nne na Sita, Licha ya kuwepo mfanano huo kuna Utofauti wa Matokeo hayo baina ya Skuli na Skuli, wilaya na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Taasisi za elimu lazima zipime uwezo na ujuzi wa wanafunzi na sio kumbukumbu zao. Leo hii mitihani inawasukuma wanafunzi kuhifadhi topic zaidi ili wapasi mitihani yao badala ya kupima ujuzi wao...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Neno 'HAKI' ni changamani ambalo linahusiana na namna ambavyo mtu anapata jambo analostahiki bila ya kikwazo chochote, na neno 'MSHANGAO' Linamuangazia mtu ambae ameshindwa kuamua baada...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kumekuwa na tatizo kubwa kati ya makondakita wa hizi dalaldala na wanafunzi wa shule za msingi na sekondali kwa walioko mbali na shule zao unakuta mtoto kawahi kuamka hata saa 11 asubuhi ili awahi...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
ZINGATIA HAYA KIJANA ILI UWEZE KUAJIRIKA AMA KUJIAJIRI MAPEMA Wimbi la ukosefu wa Ajira ni kubwa duniani kote sio tu Tanzania. Ni tatizo linalohotaji suluhisho la kimkakati ili kulipunguza kama...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Mfumo wa elimu haumuandai mhitimu kutimiza ndoto kwa kiasi kikubwa, hii ni kutokana na kuwepo kwa mzunguko mkubwa wa kusoma kama vile. Wakati wa Elimu ya msingi na sekondari: Kipindi hichi...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Yanga (Young Africans Sport Club), ni klabu moja wapo ya mpira wa Tanzania iliyoanzishwa 1935 ambapo makao makuu yakiwa Jangwani Kariakoo, Dar es Salaam. Ikiongonzwa na Rais Engineer Hersi Ally...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Aliesema kilimo ni uti wa mgongo wa taifa hakukosea,lakini ni uti wa mgongo kwa wajanja wenye pesa na SI mtu wa Hali ya chini. Kilimo ni sayansi ya uzalishaji wa mazao ya chakula na...
2 Reactions
6 Replies
546 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani na ni bara lililobarikiwa kuwa na utajiri mkubwa ulimwenguni. Afrika pia inatajwa kuwa ni bara muhimu la kimkakati katika maendeleo ya dunia, Lakini...
0 Reactions
3 Replies
615 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Msomi ni mtu aliyemaliza elimu ya chuo kikuu kuanzia walau degree moja. Tunapozungumzia msomi ni mtu ambaye ameandaliwa ili aweze kutatua changamoto za jamii kutumia elimu yake aliyo ipata...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Bado naukumbuka usiku ule vizuri, nilikuwa nimekaa nikifunikwa na giza nene wakati mshumaa mwembamba ukimulika mwanga mdogo. Muda huo nilijaribu kumaliza chakula kilichopo kwenye sahani yangu...
1 Reactions
0 Replies
632 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazotenga kutolesha mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali...
1 Reactions
0 Replies
755 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom