UTANGULIZI:
Kulingana na takwimu za hivi karibuni(Sekta ya Mifugo)Idadi ya mifugo hapa nchini imeongezeka ambapo idadi ya ng’ombe imeongezeka kutoka milioni 33.9 hadi milioni 35.3; mbuzi kutoka...
Elimu kama kama zilivyo sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla,ni muhimu sana.Jamii nyingi na mataifa mengine yameitumia vizuri na wamefanikiwa sana.
Ili elimu yetu iweze...
Dingii alikuwa mshua ambaye life style yake ilikuwa ya Kipedeshee. Wale madingi hongahonga wa mjini. Ambao huingiza milioni moja na kuhonga laki tisa nzima. Hata hajutii!
Alipokuta mkwanja mwingi...
MFUMO DUME KUISHA LABDA IBILISI AJITOKEZE POSTA AKILA DAFU
Kikao cha mama zetu kina Gatrude kule Beijing. Hawakuchonga funguo ya ukatili dhidi ya watoto wa kiume. Lengo lilikuwa jema juu ya...
Mtaala wa elimu ni mpangilio wa kozi au mafunzo ambao shule,vyuo na taasisi za elimu hutoa na katika muda ulio sahihi mwanafunzi aweze kuhitimu.
Mtaala wa elimu unaotumika katika nchi yetu ya...
Miaka kadhaa nyuma familia ya Mzee Masega wa kijiji cha Mkata kamba ilipata mtoto mzuri wa kiume mwenye afya njema ya kuridhisha na mwenye tabasamu mwanana. Mama wa mtoto akapewa Heko na hongera...
Kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya, pia natumia fursa hii kukusalimia mpendwa wangu. Mimi naitwa Seif Ahmed Sambila mkazi wa kijiji cha Hanihani wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora, kazi...
Kila mmoja atafakari,ni nini kitatokea endapo kila kaya/familia/nyumba itapanda miti miwili tu kuizunguka nyumba hiyo,nini kitatokea baada ya miaka michache tu ya kupanda miti hiyo.
Kila taasisi...
Tanzania ni nchi huru inayojitegemea katika mfumo wake mzima wa Elimu pasipo kushuritishwa na Taifa lolote duniani.
Mfumo mzima wa Elimu ya Tanzania umetokana na sera na mitaala ambayo...
Umewahi kusikia msemo wa kiswahili unaosema “Wema hauozi?”. Inawezekana umesikia lakini inakuwa vigumu kuamini na kubaki kujiulizau maswali mengi kwamba unawezaje wema kutokuoza?. Bila mifano...
Waswahili husema "Pafukapo moshi basi pana moto" naam kwa hakika.
Leo hii kilio na malalamiko kila mahali juu ya utawala bora, Elimu bora na hata mfumo mzuri wa maisha, ndugu zangu watanzania...
Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha.
Nitasimulia Hadithi ya maisha...
Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili isiumize wananchi
Ikusanye kodi kweny vilevi na sigara.
Serikali itumie rasilimali zake kujiendesha mf.
Madini, gesi, utalii, bandari n.k.
Haiwezekani...
MAISHA YA MTANZANIA KIUCHUMI TANGU MWAKA 2021-
Maisha ni jumla ya mambo yanayokuzunguka na uyafanyayo kila iitwapo leo. Maisha yanajumuisha uchumi wa mtu, utamaduni, siasa, teknolojia na...
UTANGULIZI
Ndugu msomaji wa makalia hii, nilicho kiandika hapo juu, kuhusu jinsi nchi yangu pendwa, Tanzania inaweza kuipita Uchina katika technologia Miaka ijayo, kama Tuu tutaamua kuwekeza...
1) Wabunge 20 wataalamu waongezwe
Tofauti na wabunge wa majimbo.
- Hawa watakuwepo bungeni kuwakilisha taaluma au fani mojawapo muhimu katika maisha ya watanzania. Mifano ya fani hizo ni Elimu...
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, kumekua na changamoto kubwa sana ya ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa elimu ya vyuo mbalimbali, iwe elimu ya juu au elimu ya ufundi. Vilevile kumekua na...
MAZUNGUMZO NA YANGU KIPOFU MWENYE PhD.
Utangulizi,
Toka nilipoanza shule nilipitia mikono ya waalimu wengi sana. Shule ya msingi tu nilifundishwa na waalimu wasiopungua 18, sekondari...
JINSI HALI YA UVIKO 19 ILIVYO LETA ATHARI KATIKA UPATIKANAJI, UTUNZAJI NA UZALISHAJI WA CHAKULA.
UTANGULIZI
UVIKO 19 ni ugonjwa ulio anza kusambaa mwishoni mwamwaka 2019, ukianzia huko nchini...
Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu.
Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.