SoC02 Threads

  • Suggestion Suggestion
Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini...
1 Reactions
0 Replies
784 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Baada ya njaa kali nimejikuta nikifanya uchunguzi na kugundua uhusiano uliokuwepo kati ya mwanaume na jua, na mwanamke na mwezi katika maisha ya kila siku. Mwanaume na mwanamke kila mmoja ana...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu. Pia...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Nina rafiki yangu ninamfahamu tunaishi naye mtaa mmoja, nimecheza naye mpira mara nyingi sana mtaani kwetu, nakiri kusema kuwa katika watu niliowahi kucheza nao mpira pengine yeye alikuwa ndiye...
1 Reactions
0 Replies
780 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utafiti na Maendeleo Tanzania Andiko hili limejikita katika kuangazia sekta ya utafiti nchini hasa kwa kuonesha changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kutoa mapendekezo kwa ajili ya kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Umewahi kupata wazo kuwa mtu kazini kwako hana nia njema na wewe? Je, wakati mwingine unahisi kuna watu fulani unaofanya nao kazi ni wabaya wako? Inawezekana isiwe uadui wa moja kwa moja lakini...
1 Reactions
0 Replies
952 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kijana wangu Sasa umekuwa si mtoto tena, umeingia umri wa kuyajenga, umri wa majukumu, natamani ningekufundisha haya ana Kwa ana ila muda Sio Rafiki hivyo nimekuandikia walaka huu utakaokusaidia...
1 Reactions
0 Replies
271 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mazingira; Ni vitu vyote vinavyo mzunguka kiumbe hai.Tunayategemea mazingira, tunaishi ndani yake, hapana Shaka bila ya mazingira maisha yetu hayawezekaniki, pengine niseme, Sisi ni watoto wa...
1 Reactions
1 Replies
695 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Huenda likawa jambo gumu kwako kuamini, lakini ukweli ni kwamba; kiwango cha unyanyasaji kwa wajawaito katika maeneo ya kutolea huduma za afya ni kikubwa sana. Ni jambo linalosikitisha, kuona wale...
1 Reactions
2 Replies
485 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Je una tatizo? hilo ni jambojema!. Je una tatizo? Na ni jambo jema kwanini? Kwasababu utatuzi wa matatizo yako unakuletea mafanikio makubwa katika maisha yako. Kila mmoja wetu ana matatizo ndo...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Jamii tunayoishi imekuwa na mambo mengi ya kustaajabisha ambayo ukikaa kuyatafakari Kwa undani yanatokana na mambo ya kimila, watu wamekuwa wakiishi Kwa mateso wakijua hayo ndio maisha Yao kumbe...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
25/08/22 Wilayani Kisarawe kata ya Sanze mtaa wa Kibon'gwa ndipo ilipokuwa kiwanda changu kidogo cha kutengenezea silaha bandia kwaajili ya filamu na video za muziki. Ilikuwa saa 10:30 jioni...
1 Reactions
0 Replies
534 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Maskati ni Kata inayopatikana upande wa Kaskazini Mashariki Mwa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. Wakazi wa Kata hii kwa kiasi kikubwa huishi kwa kutegemea shughuli za Kilimo hasahasa kilimo Cha...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kuwepo kwa Teknolojia kumepelekea kutokea mambo mbalimbali ambayo kwa namna moja au nyingine yamepelekea kurahisisha matumizi ya kazi za binadamu ya kutoka katika ugumu na kuwa katika urahisi...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
SAYANSI NA TEKNOLOJIA UTANGULIZI Sjui ni Mimi tu au Kuna wenzangu ambao pia hukerwa na baadhi ya tabia mtandaoni kutokana na matumizi mabaya ya mtandao. kupitia maarfa ya Sayansi na Teknolojia...
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Moja ya vitu ambavyo vinatuchelewesha sana watanzania basi ni ubinafisi, tuna ubinafisi wa kutisha sana na ambao hauna afya kabisa mbele ya safari zetu, nakumbuka kipindi cha nyuma ilianzishwa...
3 Reactions
0 Replies
544 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Ikawa furaha kwa wazazi wote wawili kumpata mtoto wa kiume. Ikawa ni furaha zaidi kwa kuwa walimsubiri mtoto wa kiume kwa miaka mingi kwa hamu na shauku kubwa. Wakazipiga nderemo na vifijo kuuona...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Swala la rushwa ya ngono vyuo vikuu na vyuo vya kati ni jinamizi linalozidi kuitafuna jamii yetu kila uchwao. Rushwa ya ngono si neno geni wala habari mpya kwa wafuatiliaji wengi wa mitandao ya...
3 Reactions
3 Replies
947 Views
Upvote 5
  • Suggestion Suggestion
Tuanzie mbali kidogo katika karne za nyuma hususani kuanzia karne ya 18 hadi ya 19 dunia iliingia katika machafuko ya kivita na biashara za utumwa. Ndani ya karne hizo pia kulitokea na mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Sjui ni Mimi tu au Kuna wenzangu ambao pia hukerwa na baadhi ya tabia mtandaoni kutokana na matumizi mabaya ya mtandao. kupitia maarfa ya Sayansi na Teknolojia tumeona Faida nyingi...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom