Mwandishi Efrahim Mabena
mawasilino:0745323576
mahali: Makambako_Njombe
Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba...
Kwanza kabisa, wengi wanaweza kutokubaliana na mimi kwamba bado Tanzania inayowainua walemavu kwa vitendo zaidi na sio kwa maneno na sera haijatenengenezwa, tunaishi kwenye nchi ambayo mengi...
Na
Malle Hanzi
_______
Mwanzoni mwa miaka ya kuanzia 2010 kuja 2020, Tanzania ilibadili mfumo wa urushaji wa matangazo ya vituo vya Luninga kutoka Analojia kwenda Dijitali.
Sababu kuu ya kuhama...
Si Kila unapoteleza na kujikuta umeanguka kwamba wewe ni mvivu sana au wew hujui chochote,la hasha! Ni muda na wakati uliamua tu kushindwa kwako kutokee Ili kufanikiwa kwako kung'are kama nyota ya...
Kwa Dunia ya sasa, vijana ndio binadamu walio kwenye hatari kubwa ya kupotea kuliko wazee. Kutokana na ukuaji wa teknolojia, vijana wengi wamejikita kwenye kuigiza maisha mtandaoni huku hali...
Kazi ngumu na Uvivu
Katika nyumba kubwa, aliishi Kijana mvivu. Aliamka mchana, akala chakula chake kisha akalala kitandani tena. Alikuwa na kasuku aliyeitwa Polly. Alimwangalia mtu huyu mvivu na...
Watu maarufu waliowahi kula udongo.
Mwaka 2014, Muigizaji mashuhuri wa Hollywood nchini Marekani, Shailene Woodley, aliwashangaza watu alipofichua kuwa yeye hula udongo kila siku kwa kupima...
Mwandishi: RAYMOND NOEL Namba za simu: 0758659963
Asubuhi moja yenye baridi ilinikuta kwenye bonde dogo karibu na mtaa wetu, nilifika katika bonde hilo kwa lengo la kuchota maji katika chemchem...
Utangulizi
Huenda hulijui hili, kwa wewe ambae unalijua basi nakukumbusha. Sionekani ila nipo kila mahali ambapo binadamu huishi. Mataifa makubwa duniani na nchi nyingi zinazoendelea zinatambua...
IWEKE DUNIA KUWA SEHEMU SALAMA NA SAHIHI YA KUISHI BINADAMU HATA KAMA HUNA DINI.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la makundi yanayotendeana wema na mazuri wao kwa wao ndani ya kundi lakini hawawezi...
Nakusalimu kwa lugha ya Kiswahili na vyovyote utakavyonijibu ni sawa tuu. Hahaha! Hebu kumbuka ulivyokua mtoto zile ‘kamba’ wazee wako walikua wanakupiga? Sasa kuna hii moja ambayo nadhani kila...
UTANGULIZI
Hivi karibuni tumeshuhudia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanasiasa na mwanasheria kijana akihoji juu ya sheria inayotaka mgombea Wa nafasi za ubunge awe na umri wa zaidi ya miaka...
Kuna changamoto kadhaa katika mavazi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Changamoto hizi huathiri matendo ya ufundishaji na ujifunzaji hali kadhalika mielekeo ya wanafunzi kwa namna...
Saikolojia inasema ukifanya kitu kila siku kwa siku 21 kitu hicho hugeuka na kuwa tabia, hivi Ulishawahi kujiuliza kwanin nafanya kitu au biashara kama anavyofanya mwingine lakini sifanikiwi, au...
Mpaka sasa nchini mwetu kuna tatizo kubwa sana la ukosefu wa ajira, ni ukweli usiopingika kwamba hakuna taifa lolote duniani sio hata Marekani inayofahamika kuwa na maendeleo makubwa yenye uwezo...
“TEKINOLOJIA HUWA HAIOMBWI HUIBWA, HUCHUKULIWA KWA HILA”
Mwanamuziki Mbarak Mwinshehe aliacha kumbukumbu ya wimbo wake; “kwanza tunatoa shukrani kwa serikali yetu ya Tanzania. Kwa kutupatia...
Dhamira Dhamira Dhamira
Marudio ama msisitizo huakisi juu ya umuhimu wa jambo,dhamira ni hitaji kuu na lengo katika kila hatua ambayo kijana huichukua katika kuyaendea mafanikio.
Je, ni ipi...
MAZARA YATOKANAYO NA SHUGHULI ZA KILIMO KARIBU NA MTO
Shughuli za Kilimo katika nchi zinazoendelea ni kama uti wa mgongo wa uchumi wa nchi hizo. Shughuli za kilimo katika nchi mbali mbali...
Tozo
Tozo ni ushuru au kodi ambayo wananchi wanatozwa na serikali. Pia hii ni aina moja wapo ya chanzo cha mapato kwa serikali za sasa hasa zile za ulimwengu wa tatu ambayo pia huchangia...
Katika maisha tujifunze kuwa watu wa mabadiliko na sio watu wa kukomaa na misimamo isiyo na tija kwakuwa misimamo ya namna hii huwa inagharimu sana
Kuna mzee mmoja ana mabinti watano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.