Tunaishi katika ulimwengu unaounganishwa na teknolojia, ambapo teknolojia imewezesha shughuli nyingi za kielimu, kiafya, kibiashara n.k. Teknolojia ina athari kubwa kwa jinsi wanafunzi...
Jamii ya sasa imekuja na nadharia ya maendeleo ya Leo ambayo kwa kiasi Fulani imeshika hatamu katika kuifanya jamii iache kufata utamaduni wao .
Nadharia hiii ndiyo iliowavisha dada zetu vimini...
UTANGULIZI
Sekta ya afya ni sekta yenye wadau na wahitaji wengi lakini bado imeonekana kutokuwa na tija katika maendeleo ya taifa na watu wake kwa ujumla Ili hali watumiaji na wahitaji ni wengi...
Utangulizi
Natumauni ni mzima wa afya, leo nitagusia baadhi ya kozi zinazohusiana na masuala ya teknolojia. Katika karne hii inakupasa ufahamu baadhi ya vitu ili uweze kuelewa tupo wapi na...
Nchi ya Jamhuri ilikuwa inaongozwa na katiba ya vyama vingi, katiba hio ilikuwa inaruhusu kila chama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika nyanja mbalimbali za uongozi ili kurahisisha...
Samadi ya maji ya majumbani ni mchanganyiko wa samadi ya kuku, kinyesi cha wanyama wa kufugwa katika hali zote mbili yaan unyevu au ukavu. Wanyama hao ni ng'ombe, nguruwe, mbuzi na kondoo pamoja...
Wengi watanzania tumekua ni watu wa kulalamika, kuhuzunika, kunyanyasika, kunyanyasana na kubaguana wenyewe kwa wenyewe kwasababu za kiuchumi, elimu, nyadhifa, makabila, ujinga/upumbavu, imani...
UTANGULIZI "MITAALA YA ELIMU NA AJIRA KWA VIJANA" miongoni mwa sekta ambayo nchi ya Tanzania imekuwa ikifanya juhudi ili kupata maendeleo ni sekta ya Elimu,katika awamu ya Tano ya Raisi John...
Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza itakua utangulizi hapa nitaelezea maana ya mfumo wa malipo ya mishahara ya waajiriwa, Sehemu ya pili hapa nitatoa changamoto au madhaifu...
Maendeleo ya nchi yetu yamekuwa ya polepole sana sababu kuu ni matumizi makubwa ya pesa kwa watu wachache yasiyo ya lazima,vnchi yetu inakadiriwa kuwa na watu 60M. Nni nchi inayokabiliwa na...
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na wimbi kubwa la Imani potofu ambayo watu kutoka nje ya kisiwa Cha Pemba wanaifanya iendelee kuota mizizi siku hadi siku. Hiii ni kutokana na baadhi ya watu...
Bunge letu bado ni dhaifu katika maamuzi
Leo naomba nizungumzie bunge hasa nikizungumzia kazi zinazohusu bunge na wajibu wa muhimili huu mkuu wa nchi katika ile mihimili mitatu mikuu nchini...
KAMA NINGEKUWA MIMI.
Leo nazungumzia vijana na ajira kupitia Mikopo inayotolewa na serikali kwa vikundi vya vijana, akina mama na watu wenye Ulemavu. Utaratibu wa sasa ili kupata mkopo watu...
Kwenye maisha kila mtu Mungu alimleta kwa makusudi yake na wakati wake pia. Lakini wengi husahau kuwa kupitia kusudi aliloitiwa duniani, yampasa akubali pia njia atakayopitia kufikia kusudi hilo...
Niliamka asubuhi na mapema sana kuwahi kazini. Nadhani ungeniona mida nnatoka nyumbani ungeamini mimi nnaondoka asubuhi sana kwelekea kazini lakini hapana sio kawaida yangu.
Niliondoka asubuhi...
Kwenye swala la kuhustle watanzania wengi tumekuwa na juhudi za kuanzisha kitu cha kando au biashara au miradi ya kando ili basi iweze kutusaidia kupambana na miasha ikisaidiwa na mshahara tunao...
Mwili wa binaadamu hujengwa kwa vyakula na lishe bora ya kiasili isiyo na kemikali ikiwemo kula mboga mboga, kunywa maji kwa wingi, kula matunda, kula vyakula visivyokua na mafuta mengi, kula...
Kutokuwa na haki na usawa ndio mwanzo wa matatizo yote tulionayo, iwe vita, iwe umaskini au uongozi mbovu yote yanasababishwa kutokuwa na haki pamoja na usawa.
Na bila kujenga haki na usawa hata...
Saratani ya matiti ni ugonjwa ambao seli kwenye matiti hukua bila kudhibitiwa na huweza kutengeneza uvimbe. Saratani ya matiti inaweza kusababishwa na mchanganyiko wa vinasaba, mazingira, homoni...
Najiuliza kama tusingetawalia kimabavu Africa nila ukoloni tungekuwa wapi leo hii, je teknolkjia ingetupita ? au elimu ingekaa kando nasi?
Napata jibu kuwa bila Africa hamna nchi yoyote ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.