SoC02 Threads

  • Suggestion Suggestion
Sheria za msingi za adabu: 1. Ongea na watu kwa adabu, haswa ikiwa unaomba usaidizi. 2. Jitahidi sana usikatize watu wanapozungumza. 3. Kumbuka kusema asante ikiwa mtu amekuwa msaada kwako. 4...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Kati ya maswali mengi ambayo watu wengi wanaweza wakawa wanajiuliza kila iitwapo leo ni; Je ni nini siri ya kupata kile unachokitamani ikiwa hauna uwezo wa kipata? Je ni kweli kwamba kuna watu...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa pumzi ya uzima na uwezo wa kuniongoza katika kuandika Makala hii yenye kuleta tija hapa nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Pia, nawashukuru na...
100 Reactions
75 Replies
3K Views
Upvote 113
  • Suggestion Suggestion
Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa katika nyanja mbalimbali hasa za kiuchumi, kama unahitaji ufanikiwe haraka katika biashara yako au kampuni yako, kasi ni ya muhimu sana. Kama...
2 Reactions
1 Replies
434 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Wakati tulionao jambo kubwa zaidi kwa watu wengi ni kujimudu kimaisha. Kila mtu anaamini ili aheshimike anahitaji kujiepusha kuwa tegemezi kwa watu wengine. Wengi tunaamini kuwa na uchumi mzuri...
1 Reactions
5 Replies
740 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
MBINGU KUMI NA NNE Tanzania ni binti mrembo wa Kiafrika ambaye kwa bahati mbaya alifiwa na wazazi wake pamoja na mdogo wake wa kiume akiwa na umri wa miaka kumi na mitano tu.Ilichukua masaa...
0 Reactions
1 Replies
332 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ndugu wana jukwaa natumai mna afya njema. Naomba nami ni changie kwenye hili jukwaa la story of change 2022. Ndugu wanajukwaa, Tanzania kama ilivyo nchi nyingine, vijana wengi wamechangamkia...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
MAABARA YA AFRIKA. Maabara ni chumba au jengo maalum ambalo linawezesha ufanyikaji wa majaribio ya kisayansi na tafiti mbalimbali za kisayansi. Bara la Afrika limepitia vipindi vigumu vya...
1 Reactions
0 Replies
382 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Siku za hivi karibuni tumeshuhudia katika vyombo mbalimbali na mitandao kuongezeka kwa ajali za mara kwa mara. Ajali hizo zinapelekea vifo kwa wengi, kupata ulemavu wa kudumu na majeraha mbali...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ndugu wana jukwaa na jamii kwa ujumla. Mara nyingi kuna mazingira na namna ambazo wengi huzizingatia na hatimaye kutoa majibu ya hatma ya watu kwamba labda flani anafaa au hafai kutokana na hayo...
1 Reactions
0 Replies
335 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Sekta ya kilimo ni moja ya sekta nyeti duniani, ambayo inauwezo wa kuzalisha ajira nyingi kuanzia shambani hadi maofisini. Kilimo kimegawanyika katika makundi mawili ya mazao ambayo ni...
0 Reactions
2 Replies
482 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
picha kwa hisani ya mtandao(Google) Nani mnufaika wa machapisho yako? Unapoweka chapisho mtandaoni Kuna vigezo unaviangalia?, Nani mlengwa mkuu wa machapisho yako? Je, Chapisho lako linalenga...
18 Reactions
57 Replies
4K Views
Upvote 26
  • Suggestion Suggestion
Afya ni Hali ya kuhisi vizuri kimwili na kiakili, afya ni chachu ya maendeleo katika Kila sekta. Tukianzia na madawa, ningependa kuona serikali inatoa kipaumbele Cha kwanza kwenye uagizaji wa...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Ni katika hoteli moja ya kifahari katika jiji ambapo wapenzi wawili waliopendana sana walikuwa wakivinjari maisha yao kwa kuponda raha kedekede zilizoakisi uwezo wao wa kifedha uliotokana na...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Huduma za afya ni zile huduma ambazo hutolewa kwa wananchi kupitia asasi za kiserikari na mashirika binafsi katika kurefusha maisha, kuzuia magonjwa na kusaidia watu kupata afya nzuri na bora...
3 Reactions
6 Replies
734 Views
Upvote 7
  • Suggestion Suggestion
Kwa majina naitwa ramadhani selemani ramadhani ni kijana wa kitanzania. Leo nimependa kuzungumzia maswala ya imani ya kishirikina na uchawi zinavyo athiri maendeleo ya nchi kwa ujumla. Katika...
1 Reactions
0 Replies
597 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Awali ya yote nipende kuwashukuru waanzilishi na wasimamizi wa jamii forum, kwa mchango wao mkubwa wnaotoa na kusaidia jamii katika kuhakikisha na kuleta mabadiliko katika kila sekta. Ningependa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Alisikika kamanda mkuu wa kanda ya kipolisi ya dar es salaam mwezi wa tano mwaka huu wa 2022 akisema wamefanikiwa kuwakamata vijana wasiopungua thelathini na moja 31 katika operesheni ya...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Usonji ni moja ya matitizo ya afya ambayo mtoto huweza kuzaliwa nayo .hii ni hali ya kudumu tangu kuzaliwa hadi mwisho wa mtu husika. Matatizo hayo hugundulika katika umri wa miaka miwili katika...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 7
  • Suggestion Suggestion
Moja kati ya hotuba maarufu sana ya aliyewahi kua muasisi wa taifa letu, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere ni ile ya mwaka 1995, ambapo kiongozi huyo aliongea kuhusu swala zima la maadui watatu wa...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom