Tanzania ni moja ya nchi zilizopo mashariki mwa bara la Africa. Na ndani yake huishi Watanzania na asilimia ndogo ya watu kutoka nchi zingine duniani. Tanzania sasa angalau haipo katika nchi...
UTANGULIZI
Sayansi na teknolojia ni maneno mawili tofauti lakini yana maana zinazohusiana, Sayansi ni elimu inayoambata na majaribio kuhusu kitu fulani lakini teknolojia ni matumizi ya...
KILIMO
Sekta inayolisha na kuleta neema kwa mabilioni ya watu imeendelea kupata changamoto za kila aina, Mungu si Athumani, bado imeendelea kutulisha na kutupa afya na ustawi wetu wa kila siku...
Mtu huwa makini afanyapo jambo kwa juhudi na uangalifu wa hali ya juu. Mwanafunzi anayesoma kwa bidii anaonekana na umakini katika kusoma kwake, mfanyabiashara anayejituma kwenye biashara yake...
UTAMBULISHO
Andiko hili limeandikwa na Mkalimani Nyakaya, kama mwandishi mkuu wa andiko, kwa upana, linakwenda kuangazia nyanja ya utawala bora na demokrasia, likigusa sheria kandamizi na vitendo...
Elimu ya fedha, uhuru wa kiuchumi
Na Binti Msakuzi
Kwa kipindi kirefu mazungumzo kuhusiana na suala la fedha yamekuwa ni gumzo baina familia mbalimbali za kiafrika. Ukimya huo uliyotamalaki juu...
Bado tunasafari ndefu
Na Binti Msakuzi
Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo wananchi wanazidi kupoteza Imani na vyombo vya habari nchini. Kwa kiasi kikubwa wana haki hiyo baada ya tasnia...
Pembejeo za kilimo kama vile trekta na mashine za kusaga, kukoboa, kukausha nafaka na kukamua mafuta na vitu vingine bado upatikanaji wake kwa wakulima umekuwa ni kitendawili mfano wakulima...
Zaidi ya asilimia sabini ya Watanzania ni wakulima, ili Tanzania ipate mabadiliko chanya shughuli zifanywazo na hawa hazina budi kutiliwa mkazo mno. Wakiwemo ndugu zao wafugaji na wavuvi. Idadi...
Elimu ni ile hali ya kusambaa kwa maarifa,akili,ubunifu,uwezo na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwengine, au kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine. Pia Elimu ni msingi mkuu wa...
Mwenye degree asiye na ajira kuna wakati huwa anaona bora angeishia form four na angefanya shughuli nyingine.
Na aliyeishia darasa la saba kutokana na hali ya maisha aliyonayo kuna wakati anaona...
Utofauti wa mawazo kati ya binadamu na binadamu, utofauti kati ya mawazo ya mtu mmoja mpaka mwingine na utofauti wa shida kati ya huyu na na yule, hii ni siraha bora ya kukuwa kiuchumi, licha ya...
Kuna watu ambao walipitia shida nyingi sana enzi za utotoni na ujanani mwao; kuanzia kula yao, kusoma kwao, kulala kwao, kuvaa kwao, nk kulikuwa ni kwa shida sana. Kiufupi tu ni kwamba walipitia...
KILIMO KWA MANUFAA YA UCHUMI WATAIFA LA TANZANIA
Kilimo, ni sayansi na sanaa inayohusisha ufugaji wa mifugo, na kilimo cha mazao mbalimbali ya shambani, ikiwemo mazao ya biashara na chakula...
Napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia afya njema pia kukupa nafasi ya kufuatilia matini yangu kikamilifu
Pia shukran zangu za dhati nazielekeza kwa waasisi wa dawati la jamii forum stories of...
AFYA
Afya ni Hali ya kuhisi vizuri kimwili na kiakili, afya ni chachu ya maendeleo katika Kila sekta.
Tukianzia na madawa, ningependq kuona serikali inatoa kipaumbele Cha kwanza kwenye uagizaji...
Uchumi ni utafiti wa uhaba na athari zake kwa matumizi ya rasilimali. Masomo ya uchumi huwa yanalenga kuelewa namna gani watu hu badili tabia ili kukumbana na hali inayoendelea. Uchumi hauna...
Kama ilivyo kwa sehemu kubwa duniani, Afrika pia ni sehemu ambayo inajengwa na nguvu kazi ya vijana kwa asilimia kubwa na kama inavyojulikana kwamba vijana ni watu wenye nguvu, akili na uwezo wa...
MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA MITANDAO YA KIJAMII
Mara nyingi tumekua tunatumia mitandao ya kijamii bila kujiuliza juu ya usalama wa taarifa zetu. Tumekuwa kama mateka katika mitandao hii ya...
KUPIGA MSWAKI, SAYANSI NA UTARATIBU? AU SHAGHALABAGHALA ALIMRADI MENO YAWE SAFI?
Wote tunaweza kukubaliana kuwa kupiga mswaki ni kati ya zoezi rahisi sana kufanya mithili ya kunywa maji au uji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.