UTANGULIZI
Mfumo wa elimu ya juu hasa vyuo vya afya ni mfumo ulio systematic na watu wengi hawaufahamu huu mfumo ndo maana malalamiko yanakuwa mengi wakihisi watu wanaotoa maamuzi ya mwisho...
Andiko hili linahusu ELIMU YA MAZINGIRA. Na hayo Ni mazungumzo baina ya wahusika wawili;
Kao : Mzee shikamoo,
Oka : Marhaba mjukuu, unaitwa nani?
Kao : Naitwa oka, naomba kuuliza mzee wangu...
AFYA BORA KWA WATANZANIA:
Afya ni hali ya kuhisi/kujisikia vizuri kimwili pamoja na kiakili pia.Hivyo afya bora sio kula vizuri tu, bali hali nzuri yenye utulivu katika mwili na akili...
Kumekuwa na hamasa nyingi sana tangu awamu zilizo pita kuhusu Tanzania ya Viwanda, na kumekuwa na mikakati mingi sana ya Tanzania ya viwanda, awamu ya 5 ilifikia wakati tukawa tunapewa na idadi ya...
JE! KAFARA YA AINA YOYOTE INAWEZA KUKUINUA KIUCHUMI?.
Kumekuwepo na upotoshwaji wa kimila kwa baadhi ya makabila katika dhana halisi ya TAMADUNI za kiimani haswa imani za kishirikina, ambazo...
Machozi yakimbubujika Zakia (KE: Sio jina halisi) kamavile mpira wa maji ya kumwagilia bustani, yakidondoka mpaka kwenye kona ya kidevu! jicho jekunduu...akashusha simu kutoka sikioni kwa haraka...
Chapisho hili lina lengo la kutoa ushauri kwa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) kuhusu Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wanaoshindwa kufaulu mitihani ya Taifa wapewe nafasi nyingine ya...
Jina: Hussein Juma Jitihadi
1.0 UTANGULIZI
Elimu ni chachu katika maendeleo ya kila kitu, mfano teknolojia, uchumi, biashara n.k. Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanatokana na athari chanya...
Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO visa vya utoaji mimba takribani milioni 25 hutokea kila mwaka kote duniani, huku nusu ya visa hivyo ambavyo hukadiriwa kama milioni 12 pekee hutolewa kwa...
Sera ya vijana ya mwaka 2007 nchini Tanzania inatambua kwamba vijana ni watu wote wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35, ambapo kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 ni asilimia 34.7 ya...
Habari wana JF
Nipo hapa kushiriki shindano la "stories of change"
Andiko langu limetokana na kisa kinachomuhusu dada mmoja ambaye alifika ninapoishi akiwa na wanawe kutafuta kazi
Mazingira yake...
Baada ya kufeli chuo kikuu akiwa amebakisha mwaka mmoja, kwa kukosa ada, bwana Juma Ramadhani Kingambe akarudi nyumbani na hakuwa mtu mwenye kukata tamaa bali alikubaliana na kile kilichomkuta na...
Kwenye mnakasha huu nitaangazia Ajenda za vijana na matatizo yanayo wakumba na Suluhu ya Changamoto zao.
Kulingana na sensa ya 2012 vijana ndio kundi kubwa kwenye muundo wa demographic ya nchi...
Wenu Mtambo Mtoka mbali
utangulizi.
Makala haya imeandikwa kwa kuzingatia tafiti mbalimbali zilizofanywa na wanazuoni,tume ya makweta (1982),taasisi ya haki elimu (2008),tamko la waziri mkuchika...
Mfumo wa elimu inahusisha sera na Sheria zote zinazoongoza mwenendo wa uendeshaji shughuli zote za elimu nchini. Makala hii ni andiko linalotoa mapendekezo Kwa serikali na wadau wengine wa elimu...
MRADI MDOGO WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI WENYE TIJA
YANAYO HITAJIKA
1. Kuku(tetea) kumi (10) na Jogoo mmoja (1)
2. Banda lenye ubora
3. Vyombo kwaajili ya chakula na maji
4. Chakula bora na kilicho...
Binadamu hupitia nyakati tofauti katika maisha yake. Kuna nyakati za mafanikio na Kuna nyakati za mkwamo. Tofauti hizi za nyakati zinaonesha jinsi maisha ya mwanadamu yanavyopata mabadiliko ya...
Maisha ya wanadamu hupangwa na Mungu ila kijituma na kutokata tamaa ndo msingi wa mafanikio kwa mwanadamu, Katika kijiji kimoja alikuweko kijana aliyeitwa Amour, Amour alikuwa na umri wa miaka 15...
Si kila tajiri amesoma na si kila maskini ndivyo alivyopangiwa na Mungu bali utajiri hupatikana kwa jitihada za mtu katika maisha yake haijalishi hujaingia darasani ila una nini kichwan kwako...
UTANGULIZI
Inatazamiwa kuwa zaidi ya asilimia 75% ya jamii iliyopo kusini mwa jangwa la sahara ni vijana,ikiwa nusu ya hii asilimia 75% wana umri chini ya miaka 25 na hali ya elimu katika nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.