Wengi wetu sisi hatuna "makazi" ni homeles au watoto wetu au ndugu zetu wenye miaka 18+ na kuendelea.
Ni jambo la kawaida kwa wakati fulani kukosa makazi sio kila mtu anabahati ya ndugu au...
KILIMO KWA MAENDELEO YA JAMII
Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba, kilimo kinajumuisha mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama, ndege, nyuki, na uvuvi wa samaki. Kilimo ni uti...
Kwenye jamii yetu vijana wengi wanapohitimu chuo kikuu, wanakuwa wanamawazo mengi sana kichwani kwao. Moja ya wazo ambalo wanalifikilia sana wanapomaliza ni "Ajira", hili jambo limewakosesha watu...
Nimesoma shule ya sekondari kata katika kijiji kimoja huko mkoani Dodoma. Wakati huo, tulipokuwa tukijadili hatima zetu kimasomo na kimaisha kwa ujumla tulikuwa tukiwaweka kando wasichana kwa kuwa...
Hodi! Hodi! Hodi! nilibisha mara tatu pasipo na jibu. Mlango ulikuwa wazi na kimya kilitawala nilijongea ndani taratibu nikijua huenda bado wamelala. Au wamehama? nilijiuliza kimoyomoyo...
Na Amour A. Mawalanga
Ilikua ni mwaka 2005 kwenye uchaguzi mkuu ndipo sera ya uanzishwaji wake ilipoanza chini ya mzee wa Msoga Rais wa awamu ya nne Jakaya M. Kikwete huku mtendaji wake mkuu wa...
Utangulizi
Mkulima ni nani? Mkulima ni mtu yeyote anaye jihusisha na shunguli za kilimo.
Aina za mkulima, mkulima mdogo, mkulima wa kati, mkulima mkubwa.
Uelewa juu ya kilimo
Wengi wetu hawajui...
Kwa majina naitwwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa Kitanzania leo ningependa kuzungumzia sifa za mwanamke alio bora kwa mumewe.
Wote tunafahamu kuwa duniani kila kiumbe hai mungu...
JE INAWEZEKANA KUAHURU KIUCHUMI
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao.
Huru wa Kiuchumi ni uwezo wakua huru katika shughuli za uzalishaji kwaajiri ya...
Mimi Si duni si dhaifu ni mwingi wa suluhu jamii yangu niamini, Mwenyezi Mungu si dhalimu kukuweka karibu na mimi mwanadamu amini, Niwe kwako kwanza, wanyama nchini, ndege angani Kitambaacho juu...
Ni katika kijiji kidogo kilichopo kusini mwa nchi ya Tanzania ambapo shughuli za kilimo na ufugaji zikiwa ndizo shughuli mama zaidi katika eneo lile ambapo msingi mkuu wa shughuli hizo ukiwa ni...
Na; Mashaka Siwingwa
Hata siku moja isitokee mtu yeyote akuambie kwamba mafanikio katika maisha ni rahisi. Majaribio ya kutimiza ndoto za mtu ni vita kubwa sana.
Ni vita ambayo kila mtu...
UTANGULIZI
Mfanyabiashara ni mtu anayeuza bidhaa au huduma katika soko fulani. Mfano soko la mifugo la Vingunguti. Lengo kuu huwa ni kuuza, na kuuza ni lazima apate wateja wanaohitaji bidhaa au...
Kwanza nisema huwezi kuunganisha nguvu ya Tajiri na Mtu mnyonge maskini zikawa kitu kimoja, Simba yenyewe pamoja na kwamba Ina Mashabiki wengi na wanachama Bado inajiita Nguvu Moja!! (Hapa...
Bado nipo nashangaa sayari hii, tena nashangaa kiasi kwamba moyo wangu unapata matu matu na hakuna mtu wa kunifariji katu.
Nashangaa sayari hii ambayo mahusiano mengi yanakufa kwa kuwa, ndani...
Kwanza, salaam kwako msomaji wa andiko hili, lakini pili sifa nyingi na utukufu kwake Allah mwenye enzi hakika ni kwa neema yake pekee mimi na wewe tu wazima wa afya njema.
Kwa kuanza niseme...
To know where we come from is not difficult thing or it is not imposible and we don't need to believe or having any theory.
We dont need to be told where we come from only we need the way through...
''Kilio cha figo kimekuwa ni cha kimya kimya kinachotoa madhara makubwa kadri mda na wakati unavyosonga,mataabiko na misukosuko ambayo figo inapitia,mtaani kwetu imezua gumzo na watu wameanza...
UTANGULIZI
HUDUMA YA AFYA YA AWALI; Ni mtazamo wa jamii nzima ambao unalenga katika kuhakikisha huduma za afya zilizo bora zinatolewa na kwa jamii nzima kwa usawa na kujali mahitaji ya wanajamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.