UTANGULIZI
"Ajira kwa vijana" umekuwa ni wimbo wa Kila siku ambao watu kama wanasiasa na viongozi wengi wa serikali na wasio wa serikali(NGOs) wamekuwa wakiuimba Kila siku na mara nyingine...
Ni nafasi nyingine tena kukutana katika jukwaa hili. Leo nataka tuzungumze kwa habari ya ushauri vile ambavyo unafanya kazi, na vile ambavyo unaweza kubadilisha maisha ya mtu yakawa mazuri au...
MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA KUHIFADHI MAZAO YA KILIMO YANAYO HARIBIKA HARAKA MFANO MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI ILI KUMKWAMUA MKULIMA
Ilikuwa ni jioni moja nimetoka nyumbani kwenda...
Mwendapole hajikwai ndivyo wanenavyo wahenga, salamu kwa wasomaji ndiyo sifa yangu njema.
Jioni kabla ya jua kuacha kutuandama, wanakoo hujikusanya barazani kwa mzee Ndama. Watoto hujaa mapema...
Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli...
Siasa ni kitu chenye athari kubwa katika maisha yetu, ukiacha dini na fedha. Ni siasa ambayo inaweza ikampandisha au kumshusha mtu bila kujali uchumi na uwezo wake. Hata ukiwa kwenye sekta binafsi...
Saadan! Mbuga iliyopo pembezoni mwa bahari ya hindi, ukanda wa bagamoyo ni eneo la thamani sana ambalo serikali imelisahau, ama limeifumbia macho ama haijui kama inaweza kuwa sehemu ya kuiongezea...
Ili KUBADILIKA wafuatao ndiyo wanaopaswa KUBADILIKA kwanza
JE, NI NANI AANZE KUBADILIKA?
Kabla ya kuitaka jamii yetu ibadilike ni kheri tufahamu kuwa wanajamii ndiyo wanaopaswa KUBADILIKA kwanza...
Ua la Faraja riwaya iliyoandikwa na William.E. Mkufya mwaka 2001. Katika makala haya najadili kwa ufupi jambo moja tu linalojitokeza zaidi kuanzia kurasa wa 356 mpaka 364.
Kusudi la makala haya...
Habari wana JF
Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za...
"Niliyesimama mbele yenu siyo mbunge ni msanii
Natumia sanaa kuitetea jamii
Naongea nikiwa Bongo sitakimbia kama Roma
Mkiniteka mkinifunga bado dunia itasonga"
(Ney Wamitego, 2021)
‘Ney Wamitego...
Ushirikishwaji wa vijana katika kilimo imekuwa mada kuu hivi karibuni na imeibuka katika ajenda ya maendeleo, kwani kuna wasiwasi unaokua ulimwenguni kwamba vijana wamekata tamaa na kilimo.
Huku...
Kuipitia hadithi hii n wazi kuwa jamii itabadilika na kutupilia mbali Imani zinazogubikwa na wimbi la udanganyifu.
Basi, binti mkurugenzi alikuwa na rafiki Yake aitwae Sikujua ambae alikuwa ni...
Unapotazama maamuzi ya serikali wakati mwingine inashangaza sana. Ukisikiliza kauli za wanasiasa inashitua mno. Lakini kubwa kuliko na kinachonyong'onyesha akili, mifupa, mapafu na nyoyo ni...
Dili kubwa Afrika na Tanzania ikiwemo, ni siasa. Wahadhiri na wasomi wanatoweka vyuoni kama sauti za tausi pale Ikulu. Wanajiingiza kwenye siasa na harakati za kipuuzi kwa mgongo wa demokrasia...
Iliaminika kuwa bara la Afrika lipo nyuma katika kila kitu. Dhana ambayo hadi hii leo bado inatumikakulididimiza bara la afrika na waafrika kwa ujumla. Kipindi cha ukoloni karne ya 19 hadi 20...
Ni majira ya Saa Kumi na Mbili jioni anaonekana Kijana mwenye furaha huku mbele yake kukiwa na watu takribani kumi na nane furaha hiyo inakuja pale kijana Shahibu Abdallah anayefahaamika kwa jina...
Mkeka au Mikeka "ni kauli zinazotamkwa kutoka kwa vijana wengi kwenye kila kona ya nchi yetu haswa vijana wa kiume ukilinganisha na wale vijana wa kike ,kwa hakika vijana ni miongoni mwa nyenzo...
Ninayoimani kubwa kuwa Tanzania tumepoteza hazina kubwa ya ubunifu, maarifa na mapato kwa kukosa watu sahihi wa kuyaibua na kuyaendeleza mawazo ya kibunifu.
"Siku neema ya kuweka alama kwenye...
Vijana wengi hujiuliza ni nini nifanye baada ya kumaliza elimu yangu , haijalishi elimu ya ngazi gani japokua walengwa hasa ni wanao maliza kidato cha nne na vyuo katika ngazi mbali mbali, Lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.