SoC02 Threads

  • Suggestion Suggestion
Umeshawahi kujiuliza kuwa ni nini utakachokifanya ikitokea utapata kila kitu unachokihitaji maishani? Ukiwa na kila kitu unachokitaka. Ukiwa na mpenzi au familia unayoitaka, kiasi cha fedha...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Tunaweza kubadili Familia zetu Mke/Mme/Watoto kupenda Kilimo na Ufugaji Katika Maisha yetu ya sasa sio siri tuna kizazi kisicho penda sana kilimo wala kufuga,na walio oa wengi t mtakubaliana na...
1 Reactions
0 Replies
732 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
UKOSEFU WA AJIRA UNAVYOTOA FURSA KWA WAPIGAJI (MATAPELI) Kila mwaka vijana maelfu kwa maelfu wanahitimu vyuo vya kati pamaoja na vile vya elimu ya juu. Kundi hili ni wale wahitimu wa fani...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kwa majina naitwa Steven J ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo cha Dodoma, Shahada ya utawala katika elimu. Naomba nikuletee makala fupi kuhusiana na Funguo za kupata Fursa zaidi, ambavyo ni vitu...
0 Reactions
4 Replies
429 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
MAMLAKA YA KISERIKALI NA UTAWALA WA SHERIA. (Governmental powers and rule of law) UTANGULIZI. Ni kuhusu madaraka ya serikali na utawala wa sheria je, serikali inapo telekeleza mamlaka yake...
0 Reactions
7 Replies
614 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi. Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Husika na mada tajwa hapo juu. Kwa majina naitwa Mwanachi Tanzania nimzaliwa wa Dodoma mwaka 1961 nimekuandikia barua hii Rais wangu najua utaipata hapa jamiiforamu . MWANZO: Mh Rais na...
1 Reactions
0 Replies
636 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
 Katika mazingira ya kawaida tunayoishi katika jamii yetu Kuna dhana ambayo imejengeka kila kizazi kujiona bora kuliko kizazi kingine hapa nazungumzia kizazi Cha zamani kinachoishi mpaka Sasa na...
2 Reactions
10 Replies
589 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Ujauzito ni hatua muhimu katika maisha ya kila mwanamke. Kuna wamama wanao furahia kipindi chote wanachobeba ujauzito na wengine huanza kuwa na khofu pindi tu anapojigundua kuwa ana ujauzito...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ni swali adimu leo hii kuliskia viongozi wakiulizwa leo hii, pamoja na ukweli kwamba vijana wamefikia 70% ya Watu wote nchini. Isitoshe pale unaposkia vijana wakitajwa au kuzungumziwa mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia...
6 Reactions
5 Replies
926 Views
Upvote 10
  • Suggestion Suggestion
Kila mtu anatamani kufanikiwa katika kila jambo lakini ni wachache wanaoyafikia mafanikio na kuonekana wenye bahati sana. Ulishawahi jiuliza kwanini kuna watu wanaumwa magonjwa yanayosemekana...
1 Reactions
2 Replies
592 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI. Rasilimali ni nyenzo ya muhimu ambayo huleta faida kwa kurahisisha maisha ya mwanadamu kulingana na mahitaji yake. Rasilimali inaweza kuwa ni ya asili au si ya asili kwa mfano vyanzo...
0 Reactions
1 Replies
619 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
MAFANIKIO KAMA ilivyo ada kila mtu anahitaji kuwa na mafanikio katika maisha yake. Vivyohivyo hata mimi ninatamani kuwa miongoni mwao. Swali la kujiuliza ni kwanini tuliowengi hatufanikiwi na...
2 Reactions
2 Replies
570 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Habari Yako mpendwa msomi, natumai uhali njema. Nataka nitumie fursa hii kukupa muangaza ya mengi wanayopitia vijana wenzangu kwani mengi yanaumiza na kusikitisha. Natumai mwisho wa makala hii...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mama ni mwanamke mwenye jukumu la kulea familia. Miaka ya nyuma katika jamii za kiafrika mama alikuwa hapewi kipao mbele katika suala zima la maendeleo, kazi yake kuu ilikuwa Ni kuzaa na kutunza...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
WIVU NA TAMAA NI ADUI MKUBWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU Tamaa ni nini Tamaa ni Hali ya uhitaji Uliopitiliza Juu ya Jambo Fulani au ni Hali ya uhitaji wa Ghafla juu ya jambo Fulani bila kuangalia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Mwaka 2013 nilipataga Binti wa kazi kutoka Mkoa wa Kigoma wailaya ya Kakonko, Binti alikuwa na miaka 13 na ndo alikuwa amemaliza Darasa la Saba na kwa sababu yachangamoto za amaisha ndo ikambidi...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Upvote 14
  • Suggestion Suggestion
Habari wakuu! Niwazi kuwa vijana wanapitia changamoto za ukosefu wa ajira licha ya kuwa na sifa za kuajirika. Wimbi la wasomi linazidi kuongezeka ilhali namba ya waajiri ikiwa pale pale ua...
1 Reactions
2 Replies
798 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kwanza kabisa nipende kumshukuru mungu kwa nafasi hii, Natumai sote tuwazima. Wenye maradhi na shida mbalimbali mungu awaongoze na awasaidie. UTANGULIZI . Nini maana ya utawala ...
3 Reactions
9 Replies
747 Views
Upvote 6
Back
Top Bottom