Picha kwa hisani ya Haki Elimu
1. UTANGULIZI
Elimu ni moja ya sekta za kipaumbele zilizoainishwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, na katika Sera ya Mafunzo ya Elimu (ETP, 2014) ambayo...
ELIMU BILA AJIRA
Tanzania yetu ni nchi ambayo inawafanya wanafunzi kuwa na fikra ya ajira hivyo unakuta asilimia kubwa ya wanafunzi wa tanzania wanategemea ajira kitu ambacho kwa upande mwingine...
Inafahamika kuwa kilimo na ufugaji ndio fursa pekee maeneo ya vijijini. Ni kweli ni fursa kubwa asilimia 98 ya wakazi waishio vijijini wanajishughulisha na kilimo pamoja ufugaji kuendesha maisha...
SOKA NA UCHUMI WA TANZANIA.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania... Awali ya yote nipende kukushukuru wewe ndugu yangu, uliyetega jicho na kufungua ubongo wako kwa umakini ili...
Dhamira yenye Matunda ya kheri huifanya dira iwe na muelekeo wenye matokeo chanya, naweza nisieleweke vizuri lakini wote tunakubariana kwamba panapokosekana amani pana kilomita nyingi ili kuufikia...
SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Imeandaliwa na Rahul
(CEO @RahulComputerService)
UTANGULIZI
Hii ni habari fupi ambayo itaeleza kuhusiana na SAYANSI NA TEKNOLOJIA ambapo tutaangazia mambo mbalimbali...
Usafirishaji ni kitendo cha kutoa bidhaa au kupeleka watu kutoka sehemu moja hadi nyingine, kitendo hicho kinaweza kufanywa kwa kutumia njia mbalimbali za usafiri( mode of transport) kama kwa...
Chunga sana wenda unachokitafuta kipo kwa unaemdharu.....
Taaluma ya elimu kimaisha yanaambatana na heshima na kujari
kuna wengi wana uwezo mkubwa kiakiri na wa kutambua pamoja...
Mazao mkakati ni mjumuhisho wa mazao ambayo uzalishaji wake umekua hafifu"mdogo" kulingana na huitaji wake sokoni yanaweza kua ya chakula au biashara. Hivyo serikali kuandaa mikakaati kwaajili ya...
UTANGULIZI.
Asilimia kubwa ya jamii inayotuzunguka imekuwa na uelewa mdogo juu ya watoto wenye usonji hivyo kupelekea watoto kunyanyasika na kutojua haki zao na pia kutopewa kipaumbele katika...
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa nafasi hii. Nakala hii si kwaajili ya shindano pekee bali itabadili fikra na mawazo ya jamii kwa ujumla na kuleta mabadiliko ya moja kwa moja ...
"Watu wengi wakimaliza vyuo wanakwenda mtaani mahali ambapo kuna malengo yao, yanawasubiri Lakini hakuna anayejua kama ndio malengo yake"
Mitazamo na mifumo yetu ya elimu, imewapa giza vijana...
TEKNOLOJIA JUU YA MATUMIZI YA GESI MAJUMBANI, OFISINI NA MIGAHAWANI
Naitwa Solomon Bandio ni kijana wa miaka 25 mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nikitunukiwa digrii ya sanaa katika...
Habari,
Wana Jamvii leo naona tujikite kuangazia visababishi vya kutokuwa na Utawala Bora katika Nchi za Afrika. Kwanza kabisa Utawala bora ni dhana inayosimama katika msingi mkuu wa ujumuishaji...
Sensa na mitazamo ya jamii ajira fupi za Sensa.
Imeandikwa na: K.Masanja
DIBAJI
Katika kipindi hiki ambacho nchi yetu pendwa inapoelekea katika utekelezaji wa sensa ya watu na makazi ya awamu...
Utangulizi;
Tangu taifa letu lipate uhuru mnamo tarehe 9 Desemba, 1961 kumekuwepo na hatua kadha wa kadha za kuufanya mfumo wetu wa elimu uendane na mazingira yetu ya hapa nchini na kuendana na...
Mara kadhaa tumekuwa tukiona mali zilizokua chini ya serikali hapo nyuma zikikabidhiwa kwa wawekezaji kwa mikataba mbalimbali kuhakikisha zinaleta matunda kwa taifa. Unadhani ni kwanini miradi na...
Ni zipi adhari na FAIDA za mitandao ya kijamii kwa jamii...
Jamii ni Nini: Ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu.
Haitaji kila kitu ambacho mtu anafikiria kuwa nacho au hana, bali...
Picha na farming Africa.
UTANGULIZI
Nchi nyingi katika dunia ya leo hasa zile zinazoendelea zikiwemo nchi za AfriKa hasa katika ukanda wa Sahara ikiwemo Tanzania watu wake hutegemea sana...
CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KILIMO
Na Amini Nyaungo
Kilimo ni shina la maisha ya Watanzania waliowengi hutegemea chakula chao kupitia kiimo. Kiwango kikubwa tunategemea kilimo.
Lakini bado kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.