Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathiriwa na janga la UVIKO-19 pamoja na vita kati ya Urusi na Ukraine katika Nyanja ya uchumi wa mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla. Majanga haya...
UMUHIMU UTOAJI WA ELIMU YA AFYA NA MAZINGIRA KATIKA JAMII.
Mazingira ni jumla ya vitu vinavyomzunguka mwanadamu.
Elimu ya mazingira ni namna/taratibu/njia au mafunzo yanayoelekeza njia za...
Katika nchi ya Tanzania tangu tulivyoingia kwenye mabadiliko ya mfumo wa kidunia tulibeba dhana kwamba elimu ni mojawapo wa msingi wa ukombozi wa fikra kati yetu lakini pia elimu ndio nyenzo kuu...
ELIMU NDANI YA JAMII
-Elimu nini?
-jamii nini?
-faida ya elimu katika jamii nini?
-Aina ya elimu na inamahusiano gani ndani ya jamii?
Hivi ndio vitu ambavyo tutavizingatia ndani ya andiko hili...
UHIMU WA KUWEPO KWA DARASA MAALUMU KUHUSU ELIMU YA KUJITEGEMEA KWA VIJANA WA KITANZANIA
Ni hali ya kawaida sana kwa jamii ya kitanzania kuona kijana aliyehitimu chuo au masomo yake, au kijana...
Huu ni Utumwa Katika Elimu.
Ni wazi kuwa hakuna umuhimu wa Elimu bure maana cha bure hakina Thamani.
Udogoni tumekimbia sana kukwepa kujisomea jioni na wazazi walituacha tu ila hatukujaribu...
UTANGULIZI
Ufugaji Nyuki ni sanaa na ni sayansi pia inayohusisha ukusanyaji , usimamizi na uongezaji wa makundi ya Nyuki kwa lengo la kuzalisha mazao ya mbalimbali ya Nyuki kama vile Asali, nta ...
Kwenye maisha yetu ya kila siku usalama na haki ya kuishi ni jambo muhimu sana kuliko mahitaji yote lakin kwa dunia ya Leo swala la usalama wa maisha linazidi kuwa changamoto kila kukicha. Ni wazi...
Uraibu hutazamwa kama ugonjwa au utumwa wa ndani unaotokana na hali ya kuzoea kufanya kufanya kitu chenye madhara bila kujizuia . mara nyingi watu huzingatia Zaidi uraibu wa dawa za kulevya na...
(ANDIKO) KUWAJIBIKA SIO USHAMBA, NI HESHIMA.
Kutokana na mfumo wetu wa siasa tumeaminishwa lazima mwanasiasa awe msemaji na kiongozi wako, marehemu Mtikila aliona mbali hasa katika kupambania...
Ni matumaini yangu kwamba ewe msomaji ubuheri Wa afya.
Leo nimekuja na makala fupi ambayo itatupa mwongozo na kutufanya tujikwamue Kutoka gizani(kwenye kiza) na kutufanya tuifikie nuru. Makala...
Athari za Matumizi ya Simu Barabarani na Sheria
Utangulizi
Kulingana na tafiti za Shirika la Afya Duniani(WHO) za mwaka 2022; ajali za barabarani zinaongoza duniani kwa kusababisha vifo, ambapo...
ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NA ATHARI ZAKE
BY : RASHID ABUNAYA
Email : rashidabunaya@gmail.com
Assalaam aleykum ndugu wana jamii,
Ni matumaini yangu mu buhery wa afya kwa wale mlio na shida za...
Kwa sababu hii kurasa inaelezea vingi.
Kwenye Maisha sio mapenzi, kazi, mahusiano ya kindugu au siasa tu, ndio vya msingi bali akili ya fedha ni sehemu Mojawapo muhimu.
Leo hatutazungumzia...
Ilikuwa kwamiaka 23 au nazaidi sikumbuki, ninachokumbuka nikwamba ulifanya kila uwezalo kuipatia nchi uhuru, ukaweka jitihada kubwa za kuliunganisha Taifa na mwisho mikakati madhubuti yakuleta...
Mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla, umeandaliwa kuandaa kundi la watu ambao wataajiriwa.
Hivyo kupelekea kutengeneza kundi kubwa la Vijana wasio na ajira kutokana na ushindani...
Malezi mengi ya watoto kwa sasa yamekua majukumu ya mama hili linachangiwa na sababu mbalimbali ikiwemo talaka, mimba za utoto, ubakaji,utelekezwaji pamoja na mtindo wa maisha.
Katika mada ya Leo...
UCHUMI WA KIMKAKATI WA KIKANDA NA ELIMU KWA WAKAZI WAKE
Kwa nionavyo mimi, ili kukuza UCHUMI unahitajika mpango mkakati wa kuzipeleka fursa maeneo jumuishi.
Upande wa Mbuga za Wanyama...
Diamond Platnumz alizaliwa katika hospitali ya Amana iliyopo jijini Dar es Saalam tarehe 02 Oktoba 1989. Jina halisi alilopewa na wazazi wake ni Naseeb Abdul Juma. Akiwa na umri mdogo wazazi wake...
KIJANA mwenye ndoto za kuwa na maisha bora huonekana kwa namna mbali mbali akijituma,kujishughulisha na kutumia mda wake mwingi kwa asilimia kubwa kuzalisha fedha ili aweze kutimiza malengo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.