Mwanangu sasa watu weupe wanapoteza sifa yao ya uwajibikaji na ufataji wa sheria, hatuoni hata mmoja akikemea hili zaidi ilisikika kauli moja enzi zile nayo ilisema "hizo ni za kiwi tu" dah...
Wapo watu wanaowakejeli waajiriwa wanadai eti kama "Mtu asiye na Elimu anaweza kuosha Magari mtaani na akaweza kukuza kipato” kuna sababu gani ya kuishi Maisha magumu Kazini au Ofisini ?
Upo...
Jamii yetu inaamini sana kuhusiana na elimu. Mtoto akisoma kwa bidii anakuja kuwa na mafanikio makubwa.
Je, in kweli kwamba watoto wote waliosoma wanafikia malengo yao?
Embu tuingalie elimu yetu...
Ndugu msomaji wa stories for change nakuandikia uzi huu wa kusisimua unaomuhusu Majuto kama kijana aliyepitia changamoto ya kiuchumi wakati wa mahusiano yake na mpenzi wake aitwae Chawote katika...
Nini nikasome baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari..?
Inawezekana likawa swali ambalo linajirudia mara kwa mara kutoka kwa ndugu, marafiki hata wazazi wakitafuta kitu Bora Cha kusoma baada...
DARASA LA MAISHA
Nikiwa kijana mdogo, kila wakati niliambiwa niote ndoto kubwa. Hata hivyo, haikuwa hadi nilipoanza kwenda chuo ndipo nilipogundua kuwa ulimwengu halisi ni mgumu zaidi kuliko...
KUISHI NA HEKIMA
Hekima inaweza kuja kwa namna nyingi. Inaweza kuwa kipande cha ushauri, somo la kujifunza, au hata tukio la maisha. Hekima ni kilele cha uzoefu na maarifa, ni matokeo ya kuishi...
Utangulizi.
Zaidi ya miaka 50 Tanzania imekuwa ikipiga hatua katika kuhakikisha wananchi wake wanapata elimu iliyo Bora.Baada ya Tanganyika kupata Uhuru mwaka 1961 serikali ilianza kutengeneza...
BEING HONEST
Telling the truth can be difficult. Sometimes it's difficult to tell a truth that can cause someone else pain. Sometimes we don't want to hurt someone's feelings, and so we choose to...
Maktaba ni jengo au sehem yenye mkusanyiko wa vitabu majarida magazeti, tamani, kumbukumu mbalimbali nk vilivyopo kwenye mfumo wa ki electroniki au vilivyochapwa(printed), vyenye tarifa zinazo...
Nani asiyefahamu hii ni moja ya biashara kongwe duniani ambayo imeshindwa kufutika toka dahari.
Karne mpaka karne mamlaka mbalimbali duniani zilijaribu kuitokomeza aina hii ya biashara ila...
Naandika makala hii nikiwa kitandani kwangu vyeti vyangu vya chuo kabatini kwangu,miezi saba nyumbani sina lolote sina chochote sina ajira nimekuwa mtu wa kuwaza hivi kesho yangu ikoje.Siku zote...
Michael nguma
0693110405
Inakuaje taifa kubwa kuwa na wasomi wengi wasio na maarifa katika rasilimali za taifa hilo?
Inakuaje taifa lenye mifumo ya elimu kuanzia ngazi za chini mpaka chuo kikuu...
MAMA YANGU NI MWANAMKE JASIRI
Naitwa Moza Nilizaliwa Migato iliyokuwa wilaya ya Bariadi Mkoa wa Shinyanga, Ambayo Hivi Sasa Ipo wilaya ya Itilima Mkoa wa simiyu. Mimi Ni mtoto wa sita (6) Kati ya...
Sensa ya Watu na Makazi inatarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu kote nchini, wengi tunaamini na kufahamu Sensa ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu. Bila shaka kuna baadhi ya watu hawajatambua...
MFUMO WA AJIRA NCHINI UBADILISHWE
Wakati ni sasa wa serikali pamoja na sekta binafsi kuja na mbinu au mkakati mpya wa ajira na kuajiri nchini.
Sote tunajua hivi sasa kuna malalamiko mengi kwa...
Mambo vipi mwanajukwaa? Hivi una mdogo au mtoto wa kike? Sasa huu ndio wakati wa kumuwaza huyo binti yako aisee, wamombo wanasema ‘Imagine’ yani unaweza hata kufumba macho na kumvutia picha binti...
Kuna migogoro mingi duniani na inaweza kuwa vigumu kuiona kutoka nje. Jambo muhimu unaloweza kufanya ni kufikiria kile unachoweza kufanya ili kuifanya dunia kuwa mahali pazuri zaidi. Unaweza...
CHANGAMOTO KWENYE MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA.
Utangulizi
Siku za nyuma nikiwa kidato cha kwanza, katika Shule ya Sekondari Uluguru, tuliwahi kuwekewa mada ya kujadili kwa hoja. Mada hiyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.