Mauajia yahusishayo wivu wa kimapenzi limekuwa Janga kubwa kwa Jamii na Nchi kwa ujumla,Inasikitisha kuona wivu wa kimapenzi ukiteketeza nguvu kazi ya Taifa Kwa vijana kuwa Wahanga wa Janga hili"...
SOMO LA KWANZA
MAANA YA GRAFTING NA BUDDING
Grafting na buddinging ni maneno ya kiingereza ambayo kwa lugha ya kiswahili ni 'kupandikiza'. Kwenye somo letu ni sawa na kusema 'kupandikiza mche'...
Tanzania ilikumbwa na hofu ya sintofahamu kuhusiana na ugonjwa ulionekana kuwa mpya ambao, wengi hawakuwahi kuuona Wala kuusikia hali iliyopelekea maneno ya hofu wengine wakisema Sasa ni mwisho wa...
Kujiajiri si jambo rahisi kama wengi wanavyodhani.Wanasiasa na viongozi wanasisitiza kujiajiri wakisahau wajibu wao wa kuweka mazingira wezeshi ya kujiajiri.Japo wakati mwingine tunawajibika...
Habari wanaJF,
Napenda kushiriki nanyi kwenyw mjadala huu wa elimu "Mitaala ya elimu ni chanzo cha vijana wengi kuwa maskini"
Mitaala ya elimu ya Tanzania haimuandai kijana kuingia kwenye soko...
Leo Tena kwenye story of change naleta njia rahisi Kabisa kwa mazingira yetu ya kitanzania Kuboresha mazingira mazuri ya kujifunza na kufundisha kwa walimu na wanafunzi Tanzania. Kwa asilimia...
Cha Mzazi si cha Mtoto ila cha Mtoto ni cha mzazi hivyo jukumu na juhudi za kubadili maisha yao ni zao wenyewe.
Na Waambieni Wakumbuke kuwatendea wema Nyinyi Wazazi Wote wawili Maana Pepo zao...
Ndani ya giza nene lisiloweza kuruhusu aina yoyote ya mwanga kupenya ndipo vijana wenye uthubutu wakafanya kila bidii katika kuonyesha kile kilicho ndani ya fahamu zao ili kurudisha uaminifu tena...
Ni wakati vijana kujivunia kile wanachokifanya. Kazi iwe ndogo au kubwa ukiifanya kwa kujivunia unaweza kufikia ndoto zako.
Ni kweli kwamba vijana hasa waliohitimu elimu ya juu (tertiary...
Utangulizi
Maisha ni kuzaliwa kukua kujifunza kuzeeka na hatimaye kufa. Sio kila mmoja wetu anapitia hatua hizi. Baadhi hufa kabla hata hawajaliwa. Wengine mara tu baada ya kuzaliwa. Kadhalika...
Tanzania Haijachelewa Kuufikia Uchumi wa Viwanda
Tanzania ya Viwanda ni sera iliyopewa kipaombele sana na Raisi wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli akiamini kupitia uwekezaji na maendeleo...
UKOSEFU AMA UPUNGUFU W NGUVU ZA KIUME
Mwandishi: DR. Yassayah M, 0752591744/0682080069 wa -Tegeta DSM
UTANGULIZI
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume kitaalam – Erectile Dysfunction ni hali ya...
UTANGULIZI
ELIMU YA TANZANIA
Elimu ya Tanzania ni elimu ya kumjenga mwanafunzi kitaaluma ila sio kujitegemea. Asilimia kubwa sana ya wanafunzi wa Tanzania hawatumii elimu waliyo ipata katika...
Mwenye macho namwambia atazame na asome ijapokuwa imesemwa mwenye macho haambiwi tazama.
Hizi mbio sio zetu, wametulazimisha, tumekimbia kuliko uwezo wetu, tumeanguka, hatuwezi kuinuka tena...
WATU NI MTAJI
Mtaji ni Fedha ambayo ni lazima uwe nayo katika mwanzo wa biashara yoyote ile. Mtaji ndio msingi mkuu wa biashara yoyote ile ili iweze kukua na kufikia malengo na matamanio ya...
Naitwa Kendrick de hustle ningependa kuchangia mawazo yangu ili kiweza kuboresha mabadiliko kwenye Nchi yangu🇹🇿.
Kwenye sketa ya ELIMU.
Ningependa kuona mabadiliko ya kuongezwa mishara kwa WALIMU...
Kilimo ni Uti wa mgongo katika nchi yetu ya Tanzania. Kilimo ndio chanzo cha chakula na ajira katika kaya nyingi zinazoishi katika nchi ya Tanzannia. Ili nchi yoyote iweze kuendelea basi sekta ya...
Yaliyomo:
UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO
MTOTO NA ELIMU
MTOTO NA JAMII
TABIA NA MATENDO
MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA
ATHARI ZA MALEZI DUNI
UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA...
Wanafunzi kuelewa wanachojifunza.
Mnamo mwaka 2011, nilikuwa miongoni mwa wanafunzi 80 tuliokuwa tukisoma masomo ya sayansi katika shule fulani ya sekondari mkoani Tabora. Sikuwa miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.