Kuna msemo mmoja wa kiswahili unaosema"MAJUTO NI MJUKUU"bila shaka wote tumeshawahi kuusikia.
Majuto ni maumivu yanayozalishwa kwa kutotumia wakati na nafasi kwa usahihi na Mjukuu ni matokeo...
UUGUZI KADA MUHIMU
Uuguzi ni moja ya fani muhimu katika sekta ya afya. Ni kada inayohusiana na huduma kwa ukaribu Zaidi na mgonjwa. Lakini kuna changamoto nyingi na mabadiliko mengi tunayopaswa...
Utawala Bora ni kipengele kipana kwa kiasi chake kwasababu ya kila mtu kuwa na mtazamo wake akiingia kwenye uongozi,nianze kwa kusema huwezi kuwa katika mfumo wa utawala Bora ukijiangalia wewe...
Siasa ni maisha,siasa ni kazi siasa ni imani ya kiitikadi katika nafsi ya mtu.Ili uwe wanasiasa yakupasa uwe mtu mwenye ujasiri wa hali ya juu na mwenye kujiamini kwa kila jambo lakini kwa kufuata...
Hakuna maisha kamili pasi na sheria za kuyaongoza, sheria za Mungu waamini tunamini kuwa zimekamilika lakini nijiulize mimi na wewe je sheria wanazoandaa wanaadamu zitakuwa na ukamilifu milelee...
Kamari ni mchezo wa kubahatisha unaohusisha pesa au kitu kingine chenye thamani kama tuzo kwa mshindi.
Tuzo hilo la kubahatisha ndio lengo kuu la mchezo. Sheria za nchi mbalimbali zinatofautiana...
MADHARA YATOKANAYO NA MATUMIZI HOLELA YA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
UTANGULIZI
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo...
Utandawazi unaweza kufafanuliwa kuwa ni kuongezeka kwa uhusiano na kutegemeana kwa watu na nchi. Kwa ujumla hujumuisha vipengele viwili vinavyohusiana kufunguliwa kwa mipaka ya kimataifa na...
Utawala bora tunaweza kusema ni namna ambavyo waliopewa dhamana wanaendendesha taasisi na shughuli za umma katika kusimamia rasilimali za umma, haki za binadamu kwa kuzinagatia sheria ambazo kama...
Miongoni mwa mada muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu ni Nishati ya kupikia. Historia inasomeka kuwa mwanadamu alianza kupata maendeleo makubwa (evulution) baada ya kujua namna ya kudhibiti...
Utangulizi
Habari za wakati huu mwana JF. Karibu kwenye makala haya ya kimtazamo yanayoangazia changamoto za mitaala ya shule pamoja na elimu kwa ujumla.
Katika hali ya kawaida Msingi wa elimu...
Mwandishi mmoja wa kitabu alimaarufu "Ngoswe penzi kitovu Cha uzembe" Muhusika mmoja alisema KUHESABIWA KUNAENDANA NA IMANI ZA KICHAWI!!!!
KUHESABIWA (SENSA)
Nchi ya Tanzania inategemea kufanya...
SAHANI YAVUNJWA NA WAKUU
Katika nchi yetu ya Jamuhuri ya Tanzania na ulimwengu kiujumla, swala la WANYONGE kutopata HAKI Yao limekua jambo la kawaida sana hususa ni kwa wale wasiokua na uwezo...
Ngoja nikuambie kitu kitakachokushangaza,siku moja nikiwa ninarudi nyumbani jioni,baada ya kumaliza shughuli zangu za kujenga taifa, nilimuona mzee mmoja akiuza matikiti maji kandokando ya...
Katika pitapita zangu na harakati za kutafuta maisha nilijikuta katika Kijiji cha Tupo nyuma, Mji wa Tumechoka, Nchi ya Ahadi nyingi yenye ziwa kubwa sana liitwalo 'Ziwa jeupe'.
Ziwa hili ni...
Wizi wa kimtandao umekuwa ni jambo la kawaida sana katika jamii yetu hii inatokana na ukuaji wa teknolojia na uelewa mdogo wa watu wengi katika mayumizi ya vifaa vya kidijitali vya mawasiliano...
MAHUSIANO NA UCHUMI.
Imekuwa ni kiitikio cha taifa katika ule wimbo wa ukosefu wa ajira; “Connection! Connection! Hatuna connection” hiyo ni sehemu katika kiitikio cha taifa kwa vijana wa leo...
Kuna mambo fikirishi kidogo, kwamba Wakenya wanakuja Tanzania wananunua mazao, mathalani Mahindi, vitungu hata matunda yakiwemo Machungwa na Parachichi (Hass Ovacado), lakini kilio kikubwa na hata...
Ajira! Ajira! Ajira! Nimekuita mara tatu kwa maana umekuwa hafifu katika mboni za macho ya vijana wengi. Nikikumbuka wosia tofauti za babu na wazazi wangu, kichwa kinazidi kuchanganya zaidi huku...
Uchumi limekuwa jambo ambalo kila taifa duniani linapambania, huduma nyingi za kijamiii zinatolewa ili watu wawe na wasaha wa kusonga mbele kiuchumi.
Vijiji vimekuwa na mchango mkubwa sana kukuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.