Ngoja nikwambie kitu kuhusu kijana wa leo wa kitanzania.
Vijana hatulali, vijana tunawajibika kufikia malengo yetu;
Kila kijana ana ile ndoto kubwa anayoitamani kuifikia, na katika harakati za...
Magonjwa yasiyo ambukiza ni wimbi ambalo limeendelea kupiga katika kingo ya jamii zetu. Pamoja na kujulikana visababishi vyake kama matumizi ya sigara pombe pamoja na matumizi yasiyo sahihi ya...
ULIMWENGU WA SHAMSA
Mama! Mama! Ilisikika sauti huku akiwa anatembea kuelekea chumbani kwa Mama yake.
Inamaana Mama hajarudi mpaka sasa ivi tangu alivokwenda shamba asubuhi. Alianza kupata...
Utangulizi
Taifa letu ni miongoni kati ya nchi zinazo toza kodi kwenye biashara, uwekezaji na ajira. ikiwa na maana ya kwamba ni mpango endelevu utakao saidia kutatua changamoto mbalimbali za...
ELIMU YA KITANZANIA NI TIKETI YA KWENDA DUNIA MPYA
Tanzania ni kati ya nchi hapa Africa ambazo zinapigana kukuza elimu yake ila bado ina changamoto nyingi. Wengi husema “Elimu ndio ufunguo wa...
Julai Mwaka 1992 Tanzania iliutangazia ulimwengu kuwa itaanza uchaguzi mkuu ambao utashirikisha vyama pinzani(mfumo wa vyama vingi) na mnamo mwaka 1995 ndipo uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama...
Habari wanaJF?
Nami nimeona nishiriki katika jukwaa hili la soc kwa kutoa mawazo yangu kuhusiana na mada tajwa hapo juu.
Kumekuwepo na tabia ya watu wengi sana katika familia, jamii, kazini...
Je, umewahi kupanda basi ukakaa kwenye siti ambayo ni maalumu kwaajili ya walemavu wakati wewe si mlemavu na wala haukuwa na ulazima wa kukaa kwenye siti hiyo? Au pengine umewahi kuona mtu asiye...
Elimu ya msingi ni eneo nyeti sana katika safari ya maisha ya mwanafunzi au mtu yeyote.
Ni katika elimu ya msingi tu ndipo mtu anafundishwa kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ambayo ni mambo...
Utawala bora unajengwa kwa kuwa na katiba imara na madhubuti, inayoendana na wakati. Katiba yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa katiba kongwe ambayo pasi na shaka yako mambo...
Ndio ndio nimeanza na gia kubwa kama Mandonga mzee wa mbwembwe ila ulingoni yeye ndio anafilimbwa.
Hakuna Muungano wa hivyo duniani kama huu uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ile ambayo...
Kwenye kutazama tazama huku na kule jicho la mwandishi limetua kweneye suala hili linaloikumba sana jamii yetu ya Tanzania. Na suala leyewe lililogusa jicho la mwandishi si jingine ni suala la...
Habarii, Leo ningependa tujadili kuhusu Elimu itolewayo nchini Tanzania je? Inakizi viwango vya Dunia kulingana na utandawazi unavokuwa kwa Kasi na pia inawaandaa wahitimu kujiajiri au laa...
Siasa za upatikanaji wa elimu nchini Tanzania
Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa
Je, kuna sababu za uchaguzi katika kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari? Katika makala hii, tunauliza na...
Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu...
Ikisiri
Nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na kunipa nafasi ya kuandika makala hii kuhusu elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum kwa makundi yao. Katika makala...
Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya...
Vijana wengi wame kua wakitoa malalamiko mengi kuhusu kukosa ajira hasa kwa wale walio hitimu elimu zao za juu. Ukweli wa jambo hili ni asilimia zaidi ya 95% vijana kukosa ajira hasa kwa inchi...
Ni Tanzania, mahala ambapo rasilimali zimezagaa lakini hakuna anaejua namna ya kuzifaidi. Watoto wanapelekwa darasani ili waweze kutwaa maarifa yanayoweza kuwasaidia kunufaika na rasilimali lakini...
Thamani ni Chakula, fedha ni namba huna uhakika nazo.
Utajiri ni chakula, Walioamua kulima wakisema hawauzi chakula chao, sijui kama tutaweza kula hela. Chakula ndio utajiri kwa kuwa ni mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.