Siri ya Mafanikio ya Kudumu
Maisha ni vita. Hasa wakati uchumi ndio hoja kuu. Hivyo ni muhimu kuwa na nyenzo za ushindi. Nyenzo kuu itakayo kupa nafasi ya kupata ushindi, tena wa kudumu, ni...
“MANDONGA”
UTANGULIZI
Katikati ya kiwanja inapigwa pasi mpenyezo anakutana nayo mchezaji wa Insta united ambae ni namba tisa tishio, anapiga shuti kali ambalo uwanja mzima uliamini ni goli...
MAZINGIRA NI UHAI WETU
Mazingira yanatengenzwa na vitu vingi sana. Vitu hivyo vinaonekana na vingine havionekani, vipo vilivyo hai na vingine haviko hai. Mfano wa vitu hivyo ni pamoja uoto...
Matumizi ya teknolojia katika kilimo, technologia ni muhimu katika kuchangia maendeleo ya kilimo katika taifa la Tanzania. Ukosefu wa matumizi ya technolojia muhimu kwawakulima kuna sababisha...
UTANGULIZI.
Yamkini ndoa ni suala linalotambulika na takribani kila mtu dunia mzima,zipo ndoa kadhaa lakini mimi ninazungumzia ndoa ya mwanamke na mwanaume.
Sheria nyingi dunian ikiwepo ya...
Bajeti ya taifa ni mpango unaoonyesha namna serikali itakavyo kusanya na kutumia fedha kutoka vyanzo mbalimbali. Hii inaelezea namna fedha zitakavyo kusanywa kutoka vyanzo mbalimbali na namna...
Would like to Congratulate Government Officials regarding their tirelessly efforts devoted in Addressing different registered Problems/Challenges that CALLS your intervation for furthering and...
Utangulizi
Ushindani ni namna ya kupima uwezo, uzuri, uimara, umaridadi, au ubora baina ya pande mbili kwa kutumia vigezo takikana.
Ili kupata mshidi husika vigezo huzingatiwa kupima pande zote...
UTANGULIZI:
Sensa ya watu na makazi ni nini?
Ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na...
ELIMU BORA ILENGE KUTIMIZA MAMBO MANNE KWA MWANADAMU.
Na PrMujuni
ELIMU BORA inahitajika sana na kila siku inaimbwa na wanaharakati wa kisiasa na kijamii. Leo nakuja na wazo kuwa ELIMU yoyote...
KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI...
Miaka ya nyuma yaani miaka 90 na kuendelea hadi 2000 taifa lilikuwa na kampeni kubwa sana dhidi ya Ugonjwa wa ukimwi yaani HIV ila kwenye ile kampeni kikubwa kilicho jengwa pale ni hofu kubwa sana...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...!
Ni kawaida kusikia Tanzania kufananishwa na nchi mbalimbali barani Afrika hasa katika nyaja za kiuchumi, kisiasa, kijamii na utamaduni...
(Picha mtandoni)
Utangulizi
Ugumu wa maisha umesababisha ongezeko la umaskini hapa nchini. Wananchi wengi wamekosa mahitaji kwa sababu ya mapato yao kuwa madogo hali ambayo imewafanya wananchi...
Miaka yangu miwili kama muumini wa Imani hii, niliamini hakuna mtu anaweza kusikia maagizo ya Mungu kama hajafunguliwa kutoka kwenye nguvu za giza zinazomshikilia katika ulimwengu wa kiroho...
ELIMU ni muhimu katika jamii ili kujikwamua katika umasikini na kuleta maendeleo katika taifa lolote lile, Tanzania ikiwemo. Wasomi na watu wengi Tanzania wamekuwa wakijadiri sana elimu...
UTANGULIZI: 🔖Hivi sasa dunia 🌎imeangaza na kutumia teknolojia mbalimbali katika nyanja tofautitofauti ili kuweza kurahisisha mambo mbalimbali kidijitali💻, teknolojia sasa inafanya watu kujipatia...
TAIFA HURU GIZANI (TANZANIA)
Chanzo cha picha: Vectorstock.
Taifa ni jumla ya watu wanaojitambulisha na eneo, lugha, rangi na mila, kwa ujumla ni nchi.
Neno taifa linatokana na Kilatini...
Mitandao ya kijamii ikiwemo jamii forums,twitter, linkedin, instagram, facebook n.k vimekuwa nyenzo mhimu katika kutoa habari za ki-eliumu, mazingira, afya, uchumi, kilimo, biashara, jamii...
Mara kwa mara mitaala ya elimu hufanyiwa marekebisho lakini bado haijakidhi wala kufikia robo ya matarajio kwa watanzania. Nilikaa nikatafakari nikagundua kuwa kuna mahali lazima hapako sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.