Soko la fedha za kigeni linaweza kuwapa fursa nzuri wafanyabiashara katika zote maishani.Inaewezekana kabisa kupata matunda mazuri ya uwekezaji wako na kufanikiwa kugeuza biashara hii katika kazi...
Ijapokuwa changamoto za mfumo huu huwa zipo maeneo mbalimbali lakini napenda kujikita zaidi kwa wahitimu wa kada za Afya nchini ambao ni Madaktari, Afisa Tabibu, Wauguzi, wateknolojia Dawa...
MAZOEA YANA TABU
Mazoea ni nini Mazoea ni kufanya /kuchukulia vitu au watu kikawaida kawaida. Nini maana ya neno kawaida, Kawaida ni kutotoa heshima inayostahiki juu ya kitu /jambo au watu Fulani...
Kiswahili ni nini?
Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye asili ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi katika bara la Afrika.
Kiswahili ni lugha yenye mawanda mapana kimatumizi na katika mwendo...
Na Dibwi
Tafiti mbalimbali duniani, zimeonyesha Bara la Afrika na Asia kuongoza kwa kuwa na utitiri wa Mashirika na Taasisi nyingi hasa zile za Umma, kutozingatia suala la kuajiri watendaji walio...
1. Upendo ni kuthamini, Kisicho Thamini,
Na sioni Kunufaika, Kwa kuondoa upendo,
Bora niondoe kosa, Kuliko upendo,
Upendo ni kuthamini, kisicho thaminika.
02. Kuondoa kosa, si maringo...
Utawala ni uongozi ambao unakuwa madarakani katika kipindi fulani, utawala huu unaweza kutokana na kuchaguliwa, kurithi kama ilivyo katika baadhi ya nchi kama Korea Kaskazini ama mapinduzi...
1. Acha iende
Usije ukaharibu siku yako njema ya leo, siku yenye furaha, siku yenye nuru njema kwa sababu ya siku mbaya ya jana. Jambo linalorudisha sana watu nyuma pengine kimaendeleo...
Abeid Abubakar
Katuni ya Kipanya katika gazeti la Mwananchi Julai 21 mwaka huu ukurasa wa 10, inafikirisha. Ni tafakuri tunduizi.
Katuni inamuonyesha kipanya mdogo akisema: Msitusahau kwenye...
Ni mchakato wa kupanga sera ya fedha na biashara, ambayo mojawapo ya mgao na mfuko wa kuelekea mafanikio. Na kazi ya mpangilio wa kibiashara kwa mfano nyaraka inayoonesha mahitaji ya kifedha...
Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa...
UTANGULIZI.
Kwanza kabisa,nisemi mimi sio mkinga wala sina vinasaba na wakinga.Ila nimewahi kuishi na wakinga na nimekuwa nikiwauliza masuala mengi.
Kutokana na kukaa nao kuna vitu nimejifunza na...
ELIMU NCHINI TANZANIA
Mwandishi: Shida Masuba
1.0. Fasili ya Elimu
Kwa mujibu wa sera ya Elimu na Mafunzo (2010:1) inafasili elimu kuwa ni “mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua na...
Na mwandishi Nosim.
Elimu ni ujuzi, utambuzi au maarifa. Kwa kulitambua hili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano
waTanzania imejidhatiti katika sekta ya elimu kwa kuipa kipaumbele. Serikali...
Swali kubwa linaloibuwa mijadala miongoni mwa jamii ni kwa namna gani inawezekana kukidhi mahitaji ya muhimu ya ki-jamii bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao wenyewe. Katika...
“NIPE DILI”
NYUMBANI
Ni saa tatu asubuhi naamka napiga miayo aaaaaaaahhhhh, naamka toka kwenye kitanda cha nyumbani kwa mzee Wamwise, kinachoniamsha ni kelele za kufoka za mzee Wamwise na mkewe...
SERA YA MFUMO MPYA WA ELIMU.
Binafsi, Kama kijana naumia sana kuona watoto, vijana na watu wengine kwenye jamii zetu wanapoteza uwezo wao wa kipekee walio zaliwa nao eti kisa, MFUMO WA...
Abeid Abubakar
Asubuhi moja mwaka huu namuona utingo wa lori lenye tela, akihangaika kuvuta kibao kilichowekwa barabarani kuashiria kuwa hapo kuna kituo cha abiria.
Lengo lake ni kukipindisha...
Abeid Abubakar
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu katika habari iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi la Julai 23, 2022 ukurasa wa 23, alinukuliwa akisema kuwa Watanzania wapo hatarini kupata upofu kwa...
TUWALINDE WATOTO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA.
Utangulizi
Ni dhahiri kwamba ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini ni tatizo linaloumiza hisia za wengi hasa kwa kuzingatia ongezeko la taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.