UTANGULIZI
Kama tujuavyo sekta binafsi imekuwa na mchango katika ukuzaji wa uchumi wa nchi yetu, lakini mbali na hilo ni mdau mkubwa sana wa utoaji wa ajira nchini hususani kwa kipindi hiki...
Inawezekana Kwa mwanaume kubaki na Muonekano ule ule Kwa miezi sita au zaidi ila hilo ni ngumu Kwa mwanamke", Mwanamke anajali muonekano wake kwanza kuliko kingine chochote".
Inawezekana Kwa...
Jifunze kuzuia ulimi wako usinene mabaya – Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’...
Leo ningependa kuongelea kuhusu mfumo wa utambuzi unaotumika hapa nchini kwetu. Mimi binafsi nashindwa kuelewa kwanini inapofika swala la utambuzi kunakuwa na uchaguzi kadhaa za utambuzi mfano...
UTANGULIZI
Katika ulimwengu huu wa tatu au miongoni mwa nchi zinazoendelea, hususani Tanzania vijana wengi wanao hitimu Vyuo vikuu wamekuwa wakikosa dira ya maisha, mtaani baada ya kuhitimuelimu...
By Erick Mange
Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla.
Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua...
Mama Janet alimuona Mwanakombo katika haliile watoto wote wa mtaani na Mama Janet alimtambua Mwanakombo kwa jina la Chidy kwa mara ya kwanza anaingia jijini alishuhudia mdada mmoja aliyekuwa...
MATOKEO MAKUBWA SASA YANAVYOLIUMIZA TAIFA
Siku za hivi karibuni tumekuwa na msamiati unaitwa “Matokeo makubwa sasa” Pamekuwapo na juhudi za makusudi kuhakikisha kwamba kila jambo linapata matokeo...
ELIMU ni ujuzi anaoupata mtu ili umsaidie katika kujikomboa katika mazingira yake,na ujuzi unaweza kupatikana katika mifumo miwili ,mfumo rasmi na mfumo usio rasmi.
Hapa nchini Tanzania pamoja na...
Hapana shaka mfuko wa taifa wa Bima ya afya ni hitaji la msingi la ulinzi wa afya kwa wananchi wote, katika kujenga taifa lenye siha linaloweza kupambambana na adui maradhi ili kujenga jamii...
“KIDAWA”
UTANGULIZI
Jioni kama saa 12 hivi na dakika zake, binti mrembo katika kijiji cha Mwembeni, akitoka kuchota maji kisimani ghafla wanatokea vijana wawili wenye nguvu wanamsimamisha na...
Hamjambo ndugu zangu wana jukwaa. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Ni matumaini yangu kwamba jamii imekuwa ikishuhudia matukio ya unyanyasaji wa watoto Jambo ambalo limeathiri kwa namna...
Upo umuhimu mkubwa sana wa kubadilishwa mfumo wa elimu ya hapa nchini Tanzania kutokana kwa asilimia kubwa kutokidhi mahitaji ya jamii ya Watanzania wengi. Kwa kawaida elimu ya hapa nchini...
Utangulizi
Elimu ni ufunguo wa Maisha ni neno ambalo limekua likizungumzwa sana katika jamii yetu. Neno hili limekuwa likitumika kuhamasisha wanafunzi kupenda shule na kuongeza juhudi zaidi katika...
Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii...
UTANGULIZI.
Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU).
Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555)
Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa...
UTANGULIZI
Kiwewe (trauma) Ni moja ya matatizo ambayo kwa sasa yanaiathiri kwa kiasi kikubwa jamii yetu ilhali wanajamii wengi hawatambui au hawana ufahamu mkubwa juu ya tatizo hili. Hivyo kupitia...
Wahenga walisema"Kila nabii na zama zake" kila jambo na wakati wake na katika kila zama kuna namna tofauti ya maisha, na namna tofauti ya utafutaji wa mahitaji muhimu ya binadamu. Kila jua...
Utangulizi
Mfumo wa elimu nchini humfanya mwanafunzi azingatie Sana kusoma, Hali ambayo inamfanya kuwa mbali na harakati za kutafuta pesa zake mwenyewe.
Tunajua namna ambavyo shule huchukua muda...
Ile pesa tuma kwa namba hii 07!!22!!21, jina litakuja ZAMA ZIMEBADILIKA, usitumie tena ile ya zamani,hii ni karne ya 21,Mama anashukuru sana kwa hela uliyomtumia mwezi jana ilimsaidia sana kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.