Habari zenu Wana JAMII FORUMS, Hususa ni jukwaa la "STORIES OF CHANGE" Nimatumaini yangu kuwa nyote ni wazima na mnaendelea na majukumu ya kila siku.
Andiko hili litaangazia katika ngazi za...
Habari wana JF
Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za...
Kumekuwa na mjadala mzito mitandaoni baada ya Rais Samia kumrejesha madarakani aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila.
Wengi wanaopinga uteuzi wake wanarejea tukio la tarehe 3...
UTANGULIZI
Salaam na Amani ziwe nanyi, Karibuni katika mnakasha huu utakaojikita katika mbinu za namna ya kuutengeneza na kukuza uzalendo,
Imani yangu mnakasha huu utaleta fikra chanya za...
Kuna wimbi kubwa ya biashara haramu ya ngono vijijini hivi sasa. Biashara hii ni mpya kabisa kutokea sio kama inayofanyika mjini.
Wadada wanakuja vijijini ,hasa wakati wa mavuno ,wanaweka kambi...
Kumezuka makundi ya watu wanaoshabikia mabadiriko ya mtaala wa elimu Tanzania wakidai kuwa mtaala huu ni mbovu kwani hauendi na wakati na haumwezeshi mwanafunzi kutatua changamoto halisi za maisha...
Habari watanzania na wadau wote kwa ujumla.
Katika chapisho hili nalenga kukutazamisha angalau kwa sehemu kuhusu msamaha, ninauhakika utakapomaliza kulisoma kwa utulivu utabadili au kuboresha...
Watu werevu na waliofanikiwa zaidi ninaowajua wanatafuta jumuiya kwa bidii.
Wanaajiri makocha, wanajiunga na vikundi vya mitandao rika, huchukua likizo na marafiki na wafanyakazi wenzao, na...
"Ni kweli mnanipinga, lakini naomba ujue na kutambua sababu ya kwa nini unanipinga"
Fanya mazoezi, kuwa na kiasi, kunywa maji safi na salama, Vuta hewa safi, ota mwanga wa jua, ndio jina langu...
The idea of gender balance is a healthy equilibrium between the different demands, responsibilities, activities, and needs of our lives in order to remain balanced and centred. It is a topic that...
Wazo la usawa wa kijinsia ni usawa mzuri kati ya mahitaji tofauti, majukumu, shughuli, na mahitaji ya maisha yetu ili kubaki na usawa na msingi. Ni mada ambayo mara nyingi hujadiliwa lakini...
Wilaya ya Kiteto ipo Kusini mwa mkoa wa Manyara. Kiteto ina kilomita za mraba 16,685 na jumla ya wakazi 244,669 kwa mujibu wa Senasa ya mwaka 2012.
Upande wa Mashariki Kiteto imepakana na...
Habari za muda huu mpendwa, nipende kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kutumia muda wako na kuisoma makala hii "NITUNZE NITHAMINI ILI NIISHI", ni makala iliobeba sauti ya mtu (watu) wanaoishi...
“Kama utaendelea kuishi, acha urithi, weka alama duniani ambayo haitafutika”
-Maya Angelou.
Ellen Johnson Sirleaf, Maya Angelou, Mellody Hobson pamoja na Mo Abudu ni kati ya majina maarufu sana...
Leo nipo ndani ya jukwaa letu, jamii forums nataka kuchangia mawazo naamini mamlaka yetu hasa serikali na wadau wote inaweza kutibu kabisa baadhi ya changamoto kubwa hasa katika mfumo mzima wa...
Muziki, Uchumi na Maisha
Mwandishi: Dr Yassayah – (Daktari wa binadamu, mtunzi na mwimbaji wa muziki tangu 2007)
Muziki ni jambo zuri katika jamii. Muziki umeumba jamii zetu na tamaduni zetu...
MACHO ni sehemu ya mwili inayotuwezesha kuziona taswira zetu zilizondani kwa nje, kile kinachoonekana ni taswira ya kitu namna tunavyokitafsiri katika akili zetu.
Tunaona tulivyo sio kama vitu...
Wengi tunaamini kwamba kila kitu kilichopo hapa duniani kina sababu ya hicho kitu kuwepo. Na hii Ikanipelekea kutafiti sababu zinazotufanya tuwepo katika hali tulionayo kwa sasa.
ZIFAHAMU SABABU...
Viwanda vidogo vidogo ni miongoni mwa sekta muhimu ambazo zinasaidia saaana kutatua changamoto za uhaba wa ajira na kukuza uchumi wa mtanzania mtu mmoja mmoja. Mfano wa viwanda hivyo ni kama...
Kwenye maisha kuna vitu vinakuja na kuondoka wakati tukiwa bado tunavihitaji, pia kuna wakati unapaswa kufanya maamuzi magumu kwa ajiri ya mtu mwingine, haijarishi yatakuathiri kiasi gani. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.