VYOMBO VYA HABARI: SAUTI YA HAKI ZA BINADAMU
Imeandikwana: MwlRCT
UTANGULIZI
Je, unajua kuwa ufisadi na ukiukaji wa haki za binadamu ni matatizo makubwa yanayoikabili dunia leo?
Haki za...
--------------------------------------
Utawala bora na uwajibikaji ni misingi muhimu katika kukuza maendeleo na ustawi wa jamii. Nyanja mbalimbali za maisha yetu yanahitaji kuwa na uwajibikaji na...
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Uhaba wa fursa za kiuchumi na kijamii ni changamoto kubwa kwa watu wengi, hasa katika nchi zinazoendelea.
Fursa za kiuchumi na kijamii ni nafasi au hali...
UTANGULIZI
Ukatili wa kijinsia ni tatizo kubwa nchini Tanzania, kama ilivyo katika maeneo mengine duniani. Ukatili wa kijinsia unajumuisha aina mbalimbali za unyanyasaji na dhuluma ambazo...
Picha na Microsoft Designer
Uongozi ni sanaa ya kuwaongoza wengine ili kufikia lengo fulani. Ni mchakato wa kuhamasisha, kushirikisha, kuonyesha na kuongoza wengine kufikia mafanikio...
UTANGULIZI:
Mtaala wa elimu unaotumiwa nchini Tanzania unajulikana kama "Mtaala wa Elimu ya Msingi na Sekondari". Mtaala huu umewekwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na hutumiwa katika...
Kasi ya ukuaji wa sayansi na teknolojia imepelekea shughuli mbalimbali za kijamii, uzalishaji na mawasiliano kufanyika kidigitali zaidi kupitia mitandao ya kijamii. Dhana ya mitandao ya kijamii...
UTANGULIZI.
Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao...
TANZANIA yangu ni nchinzuri yakuvutia inavitu vingi vyakuvutia kama mrima Kilimanjaro mbuga za selengeti mikumi na hifadhi yakitulo saadani makumbusho ya bagamoyo Zanzibar forodhan na vivutio...
TANZANIA NAKUPENDA nchi yangu napenda vyote ulivyo jaaliwa na mwenyez mungu TANZANIA imejaaliwa vitu vingi vinavyo vutia nakupendeza macho mwakila mtu mito, maziwa, bahari, mbuga za wanya na...
Sote tunajua kuwa, kulalamika ni haki ya mtu yoyote pale ambapo anakuwa hajaridhika na jambo alilotendewa na upande wa pili. Hii husaidia kumjulisha mtendaji wa jambo hasi kujua kuaw, alilolifanya...
KUFIKIA HAKI, UHURU, NA AMANI YA KWELI: VITA DHIDI YA UKANDAMIZAJI NA UNYONYAJI
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Haki, uhuru, na amani ya kweli ni mambo muhimu katika maisha ya kila mtu. Haki...
Rushwa ni kitendo cha kupokea pesa, ushawishi usiokuwa halali kisheria, rushwa yaweza kuwa kubwa au rushwa ndogondogo ambayo mtu anaombwa kwa lengo la kupatiwa huduma fulani mfano hospitali...
Habari! Ndugu wana JamiiForums, ni matumaini yangu kuwa sote tu bukheri wa afya. Leo hii ninapenda kuwashirikisha katika uzi huu unaoangazia tathimini yenye madhumuni ya kuibua njia madhubuti...
Kutokana na Sensa ya mwaka 2022, Zaidi ya watanzania milioni 40 wana umri wa kushiriki kuchagua kiongozi, yaani kupiga kura. Kutokana na namna chaguzi zinavyoendesha miaka yote tumekuwa na idadi...
Umewai kujiuliza umuhimu wa elimu ya Uraia kwa umma?
Kwanza kwa tafsiri isiyo rasmi ' ELIMU YA URAIA ' ni aina ya elimu ambayo ulenga kukuza mahusiano ya kijamii kwa lengo la kuimarisha nafasi...
UFUNGUZI
kutokana na teknolojia ya uchanganyaji wa vyakula inavyokua kwa kasi na kutuletea vyakula vyenye uwiano sahihi ,sasa basi kwa namna moja ama nyingine baadhi ya wafugaji wamekuwa...
Ni muhimu kwa Tanzania kuendelea kufanya marekebisho ya sera na sheria zake za usimamizi wa rasilimali ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika matumizi ya rasilimali za umma. Katika...
UTANGULIZI
TCRA NI NINI ?
Ni mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali inayosimamia sekta ya mawasiliano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. TCRA ilianzishwa chini ya Sheria...
NI JUKUMU LANGU KULETA MAPINDUZI YA KIJANI KWA MAENDELEO YA TAIFA
Tanzania ni nchi iliyojaliwa kuwa na rasilimali mbalimbali ambazo huifanya Tanzania kuwa katika orodha ya nchi zilizobarikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.