SERIKALI ITEKETEZE KICHAKA HIKI CHA RUSHWA BARABARANI
UTANGULIZI.
Maana ya rushwa; Rushwa maana yake ni matumizi mabaya ya mamlaka au nafasi fulani iliyo rasmi kwa lengo lakujipatia...
Kichwa cha andiko letu: Mkopo maalumu kwa kila kijana kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania.
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa...
JULIUS NYERERE: “MAANDISHI NI CHOMBO CHA KUENEZA ELIMU NA KULETA MABADILIKO”
Imeandikwa na: MwlRCT
Utangulizi
Maandishi ni chombo muhimu sana katika kueneza elimu na kuleta mabadiliko katika...
MICHEZO ni mazoezi yahusuyo mwili, ambayo huhusisha ushindani ndani yake.
Ushindani huo hua na taratibu na kanuni kutokana na jamii au mchezo husika.
Kumbuka:michezo ni ajira
Michezo...
SAUTI ZA WANANCHI: KWA NINI SERIKALI INAHITAJI KUSIKILIZA MAONI YAO
Imeandikwa na: MwlRCT
1: UTANGULIZI
Katika nchi nyingi za Afrika Mashariki, sauti za wananchi hazipewi kipaumbele na...
Mabadiliko katika suala la uchumi ni muhimu sana katika kuleta utawala bora na uwajibikaji katika nchi yoyote. Uchumi imara na wenye kustawi ni msingi wa maendeleo ya jamii na kupunguza umaskini...
Utoaji wa dhamana mahakamani hasa kwa kesi za ukatili wa kijinsi kwa watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti kwa kiasi kikubwa zimeendelea kuathiri mwenendo wa kesi hizo kutokana na mtuhumiwa kuwa nje...
Sekta ya michezo ni miongoni wa sekta mbalimbali za serikali, ambapo hii sekta inajihusisha na masuala ya kukuza na kuendeleza michezo Tanzania, mfano mpira wa miguu, mpira wa mikono, ghofu...
Miongoni mwa Mikoa ambayo nimewahi kutembelea nchini Tanzania ni Mkoa wa Mwanza 'rock city' ambao umebarikiwa vitu vingi vizuri; Ziwa Victoria lenye samaki pendwa na watamu aina ya Sato na Sangara...
Bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2023/24 imeondoa 10% ya kuwakopesha vijana, wanawake na watu wenye ulemavu ambapo wataangalia utaratibu mzuri wa kutoa fedha hizo kama mikopo kwa kuwa kwa sasa...
Mkataba wa Huduma kwa Wateja ni nyaraka muhimu inayoweka bayana huduma zote zinazotolewa na Taasisi husika, muda unaotumika kutoa huduma hizo pamoja na viwango vya huduma vinavyopaswa kutolewa kwa...
Yapata miaka mingi tangu Mzee MBUGI kuwaaidi wananchi wake kuwa atawajengea barabara, madarasa kwa wanafunzi, vituo vya afya na kuzuia vifoo vya mama na mtoto pia Mzee MBUGI alienda mbali zaidi...
UTANGULIZI:
Fomu ya Polisi namba 3 (PF3) nchini Tanzania ni hati rasmi inayotumiwa na polisi kuandika ripoti za matukio mbalimbali yanayohusisha madhara ya mwili au ajali. Inatumika kama chombo...
Ajali za barabarani nchini Tanzania zimekuwa ni janga ambalo limekosa ufumbuzi na linaloendelea kugharimu maisha ya watanzania wengi na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.Licha ya kupoteza nguvu kazi ya...
Ni kwa muda sasa,WATANZANIA tumekuwa tukipitia maumivu makali ya Kupoteza Ndugu zetu wapendwa kwa ajali za moto mara kwa mara mashuleni..
(picha kutoka JAMII FORUM)
Lakini je? ni...
JEURI YA SISIMIZI: KUJIFUNZA KUTOKA KWA WADOGO WENYE UWEZO
Imendikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Sisimizi ni viumbe vidogo vyenye uwezo mkubwa wa kushirikiana, kujifunza, kuhifadhi chakula, kujenga...
Kama mawazo hasi, mawazo ya kujiua, mawazo ya kujihisi mpweke, mawazo ya kukataliwa au mawazo yoyote yanayokufanya ukose amani ya moyo basi ujumbe huu unakufaa sana, ujitahidi ufanye hivi.
Kila...
Rushwa ni tatizo kubwa sana katika nchi yetu na linahitaji kushughulikiwa kwa njia ya uwajibikaji na utawala bora. Kwa miaka mingi, rushwa imekuwa ikiathiri maendeleo ya taifa letu kwa kuzuia...
picha: mtandaoni@JamiiForums
UTANGULIZI.
Rushwa kwa maana iliyo nyepesi ni kitendo cha kutumia nafasi za kimadaraka na kiofisi au hadhi za kiofisi kutumia rasilimali za umma kujipatia manufaa...
Utawala ulio boraa ni mchakato ambao una lengo la kukuza ufanisi, uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji katika utendaji wa serikali. Katika kujenga utawala bora, ni muhimu kuwa na mabadiliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.